KERO Threads

Meneja TARURA Arusha CC, Mkurugenzi wa Jiji la Arusha, Mayor Baraza la madiwani Arusha jiji na Diwani. Kuna kero kubwa sana na hata hatari kwa watumia barabara pale stendi ya hiace/ pikipiki...
3 Reactions
1 Replies
139 Views
Ni zaidi ya miaka 2 sasa mbolea za YARA ukiulizia kwa wauzaji hawataki kuuza kwa Ruzuku, wanadai hawalipwi kwa wakati na wananunua “cash” na wao wakiuza kwa ruzuku pesa yao inachelewa sana...
1 Reactions
7 Replies
622 Views
Anonymous
KERO 
Kuna chuo cha afya kinaitwa City College Mwanza kinawanyanyasa sana Wanafunzi na Wazazi, Wanafunzi wanafukuzwa hovyohovyo kisa hawakamilisha michango. Mfano chuo kimefunguliwa mwezi Novemba...
0 Reactions
4 Replies
253 Views
USSR
KERO Responded 
Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Yah: Changamoto ya Gharama Kubwa na Usumbufu wa Kuunganishiwa Huduma ya Maji – Makurunge, Kiluvya Madukani, Kisarawe...
4 Reactions
52 Replies
641 Views
Anonymous
KERO 
Ajira zikitangazwa na sisi tutangazwe au TAMISEMI watupe majibu kwa nini hatuajiriwi, kwa fani tuliosomea wanaajiriwa wengine tu. Ni sisi Walimu tuliosomea BACHELOR OF EDUCATION IN PRIMARY...
0 Reactions
4 Replies
253 Views
Anonymous
KERO 
Ajira Mpya Mtama DC Mkoani Lindi bado hatujalipwa pesa za kujikimu na hatujui tunalipwa lini na hamna taarifa yoyote kuhusu hizo pesa tunalipwa lini. Kwa kweli tunapata shida sana. Naomba...
1 Reactions
9 Replies
341 Views
Katika Jiji la Dar es Salaam, changamoto ya kelele kupita kiasi kutoka katika nyumba za ibada imekuwa ikilalamikiwa kwa muda mrefu na wakazi wengi. Ofisi ya NEMC Kanda ya Mashariki imeonekana...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Anonymous (a103)
KERO 
Wakazi wa Kigamboni kwa muda mrefu tumekuwa tukitumia Vivuko vipya ambavyo ni vya Azam maarufu kama SeaTax kazi yao ni nzuri, lakini kuna hii Kampuni N-CARD ambayo imekuwa ikihudumia upande wa...
2 Reactions
0 Replies
157 Views
Anonymous (a103)
KERO 
Naomba msaada nili deposit Shilingi 250,000 kwenye Kampuni ya Kubet ya THRONE BET tangu tarehe 24 December 2025, mpaka sasa pesa yangu kwenye account ya Airtel imetoka lakini kwenye App yao...
3 Reactions
15 Replies
265 Views
Anonymous
KERO 
Mtu anasota mtaani zaidi ya miezi 6, hana ajira, NSSF ukidai mafao hayatoki subiri utapata ajira sio haki kwa maisha halisi ya mtanzania
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Hapo vip! Kwa kawaida hata katika maisha ya kawaida hauwezi kunyooshewa kidole wewe kila siku eti usiwe na kosa. Mangungu kwa taarifa za ndani ndio chanzo cha Club ya Simba kufanya vibaya. 1...
0 Reactions
19 Replies
551 Views
Anonymous
KERO 
Mimi na wenzangu tumefanya kazi ya ujenzi katika Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima Mkoani Shinyanga kujenga shule tangu tarehe 1/11/2025 hadi leo hatujalipwa pesa yetu. Sisi tulikuwa vibarua na...
0 Reactions
1 Replies
118 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu, Kumekuwa na tabia ya wakurugenzi wa halimashauri na makatibu tawala mikoa kuzuia vibali vya uhamisho wa watumishi bila sababu zozote za msingi. Mfano halisi mkoa mwanza. Aidha...
0 Reactions
7 Replies
323 Views
Anonymous (a103)
KERO 
Kero yangu ni kucheleweshwa kwa mradi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Alinato mpaka Posta inayojengwa na kampuni ya CRJE. Imefika miezi mitatu sasa haijafanyiwa marekebisho tangu walivyoichimbua...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Hawa jamaa ni very conservative, slow, backward and premitive institution. Upande wa customer care ni wabovu na wameoza. Unaweza kuweka hela zako vizuri kabisa ila kuzitoa sasa utazungushwa kama...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
Anonymous (a103)
KERO 
Mimi ni Mwananchi wa Wilaya ya Mbeya Vijijini nina kero ambayo inatutesa sana wakazi wa huku. Kero kubwa iliyopo ni ubovu wa barabara ya kutokea Mbalizi, hadi Iwiji ambapo inapita Isangati...
0 Reactions
0 Replies
140 Views
Anonymous
KERO 
Kuna daraja lipo Kibaha Mji, Kata ya Pangani, Mtaa wa Lumumba (liko karibu na Daraja la Jeshi) liliharibika wakati wa mvua ya Mwaka juzi (2024) ile kubwa lakini mpaka leo halijatengenezwa tunapata...
1 Reactions
0 Replies
185 Views
Anonymous
KERO 
Huku kwetu kuna Shule ya Serikali inayoitwa Shule ya Msingi Tambani, ipo Mbande Mwisho, Wilayani Mkuranga Mkoani Pwani ina changamoto ya uhaba wa madarasa na madawati na pia miundombinu yake...
0 Reactions
0 Replies
209 Views
Ujenzi wa barabara ya Ali H. Mwinyi eneo hili la Mbuyuni, Ada Estate, Kinondoni umeathiri miundombinu ya maji taka. Bomba la maji taka linamwaga maji hapa jirani na Gudal Petro Station zaidi ya...
2 Reactions
0 Replies
81 Views
N'yadikwa
RESOLVED KERO 
📍 – Bunju “B” Kwa wanaopita barabara ya Bagamoyo jioni, hasa eneo la Bunju ‘B’, hali ya foleni imekuwa ya kawaida kila siku. Tatizo kubwa ni: Daladala kuegesha kiholela barabarani badala ya...
3 Reactions
1 Replies
291 Views
Back
Top Bottom