Tulionunua viwanja vya mradi wa serikali vilivyotangazwa na Halmashauri ya Kigamboni eneo la Tundwi Songani tunaomba kujua hatma yetu ya kupewa hati kwasababu wananchi tulionunua hivyo viwanja...
Hili tatizo limekua sugu na la muda mrefu. Tabora tunatumia maji ya vyanzo tofauti. Kuna maji ya mradi wa ziwa Victoria na maji yanayotoka bwawa la Igombe.
Sasa haya maji yanayotoka bwawa la...
Je, hii ni haki kulazimishana michango isiyo ya maendeleo? (WAKATI HUOHUO WALIMU WA AJIRA MPYA KAKONKO MPAKA LEO HATUJALIPWA PESA ZETU YA KUJIKIMU). Na watumishi wengine sioni wakichangia.
(Je...
Mimi ni mtumishi kwenye Halmashauri mojawapo ya mkoa wa Mwanza.
Kutokana na changamoto za kuishi mbali na mwenza wangu kwa sababu za kiutumishi, niliomba uhamisho na kibali cha TAMISEMI kikafika...
Nilifanya kazi katika Kampuni ya Erolink Limited kwa takriban miaka mitatu lakini nikiwa hapo moja ya changamoto kubwa ambayo niliiona na nimeona bado ipo ni Muajiri kutowajibika katika kulipa...
Hebu na sisi ajira mpya wa Mbeya jiji tupige kelele huenda tukafikiwa kama wa Mwanza, huku kuna ajira mpya ualimu wamefikisha mwaka na wengine tunakaribia kumaliza mwaka wa kwanza kazini ila pesa...
Kero yangu naipeleka kwa Taasisi ya OSHA - inayoshughulikia usalama katika eneo la kazi, niliomba training kuanzia mwezi wa 10, 2025.
Nikalipa ada ya Sh 300,000 kwa ajili ya training sasa imepita...
Habari Jamii forum naomba utupazie kero yetu wahusika wangazi za juu watusaidie
Watumishi wanawake wa Hospital ya Mji kondoa katika Wilaya ya Kondoa -Dodoma tunakero kubwa wanawake ambao...
Maelekezo mbalimbali za viongozi wetu yanasema mtumishi wa umma anayo haki ya kuhama kufuata mwenza wake lakini ukija kwenye uhalisia hatupati hizo haki kutoka kwa viongozi wetu wa wilaya na...
Mimi ni Muhimu Chuo Kikuu kutoka Chuo Cha Uhasibu Arusha 2025 KERO yangu ni Kuna baadhi ya wahitimu wakienda kuchukua vyeti vyao unakuta matokeo yaliyoandikwa kwenye TRANSCRIPT ni Tofauti na Yale...
Wafanyakazi wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Tabora (Kitete) hawalipwi posho zao kwa maana ya call allowance na extra duty kwa muda mrefu sasa zaidi ya mwaka.
Hii inawafanya wakose morali ya kazi...
YAH: KILIO CHA WANANCHI – ZAHANATI YA OLBALBAL HAINA DAWA, MAISHA YA WATU YAPO HATARINI
Ndugu Wanajamii,
Sisi Wananchi wa Kata ya Olbalbal, Wilaya ya Ngorongoro, tumefika mahali pa kuchoka na...
Ndugu Wahusika,
Napenda kuwasilisha malalamiko rasmi kuhusu hali isiyoridhisha ya njia ya kupita kwa watembea kwa miguu katika eneo letu, ambayo kwa sasa imegeuzwa kuwa dampo la kutupia takataka...
HR haswa upande wa halmashauri nyingi ni kero, hawashughulikii swala la uthibitishwaji kazini watu wamekaa takriban miaka miwili hawajathibitishwa.
Hakuna maelezo kamili ni uzembe uliopitiliza
Nilikuwa Mtumishi wa CBWSO Kata NKOME kwa sasa inaitwa BUGANDO, Wilaya ya Geita Mkoa wa Geita, niliondolewa kwa shinikizo la Meneja wa RUWASA (W) 28.08.2025.
Licha ya changamoto zilizokuwepo...
Watumishi wa Afya Halmashauri ya Wilaya ya Kasulu Mkoani Kigoma walioajiriwa mwaka 2024, mpaka leo bado hawajathibitishwa kazini.
Ukienda Ofisi ya Utumishi kuulizia wanakujibu bado hawajakaa...
Kwa niaba ya wakazi wa Kisemvule, Vikindu, Mwandege na Kongowe mkoa wa Pwani, tuna changamoto ya ukosefu wa Umeme wa uhakika.
Haiwezi kupita siku bila umeme kukatika, pamoja na kuwa tunapeleka...
Hali ya barabara kuu ya Njombe–Songea, kuanzia eneo la Soko Kuu la Njombe hadi Uwanja wa Ndege wa Njombe Mjini, imezua malalamiko kwa wakazi na watumiaji wa njia hiyo baada ya kuharibika na...
Maafisa ya Maliasili na Uvuvi walioko Mwanza wanatunyanyasa sana sisi Wafanyabiashara wa dagaa, unakuta wanakuja pale Kirumba Kivukoni wanakamata mizigo hovyohovyo, hata kama una kibali wao...
Hapa ni Kibirizi, jirani na Msikiti wa Mtendeni Manispaa ya Kigoma Ujiji, hii barabara ni kubwa, inaelekea katika Bandari ya Kibirizi na kuelekea Kigoma Mjini.
Eneo hili limekuwa kero ya muda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.