KERO Threads

Anonymous (c9be)
KERO 
Ninaomba mamlaka husika ziangalie kero za Wafanyakazi kwenye baadhi ya kampuni za ujenzi wa barabara nchini. Mimi ni mmoja wa wafanyakazi kwenye kampuni ya ujenzi wa barabara na tunakutana na...
2 Reactions
2 Replies
151 Views
Anonymous
KERO 
Nipo Wilaya ya Ubungo Mkoani Dar es Salaam nimedhulumiwa meza yangu na Soko la Mabibo na meneja wa soko hilo akishirikiana na mtumishi mwenzie. Viongozi hao wamefanya hayo baada ya mimi kuwaaga...
8 Reactions
23 Replies
472 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni Mkazi wa Mbezi Mwisho, Mitaa mingi haipati maji kwa muda mrefu, hivi utawala wa DAWASA wanajua kuwa kuna Watu wengi tu wana bili za 0 unit kwa miezi zaidi ya mitatu? Serikali ipo kwenye...
2 Reactions
2 Replies
102 Views
Anonymous
KERO 
Imefika wakati sasa wa kuizungumzia tamaduni inayozidi kushamiri katika baadhi ofisi zetu za umma: Kitendo cha kufanya likizo ya mwaka ionekane kama "kosa la jinai." Kwa watumishi wengi, kitendo...
1 Reactions
0 Replies
219 Views
Kuna jambo nimeliona mara kwa mara katika Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis au Mbezi Mwisho, nimekuwa nikilinyamazia kwa muda mrefu nikidhani labda linatokea mara chache, lakini kadri siku...
2 Reactions
1 Replies
177 Views
Anonymous
KERO 
1. Usafiri Mafia ni kero tutoka Bara kuja huku. 2. Rushwa zimetawala kila idara toka mlinzi kwenye meli mpaka mkatisha tickets...huko kwingine ndiyo usiseme... 3. Watu wa mafia wamwogope Mungu...
3 Reactions
6 Replies
235 Views
Anonymous
KERO 
Natokea Mkalama Singida Tanzania. Mhitimu Wa Shahada ya Kwanza ya Maendeleo ya Miji na Usimamizi Wa Mazingira kutoka chuo cha Mipango Dodoma (Bachelor Degree in Urban Development and environmental...
3 Reactions
2 Replies
219 Views
Anonymous
KERO Responded 
Barabara ya Mwanza Mjini kwenda Kangaye ni mbovu sana magari hayapiti kiasi cha kuleta adha kwa wanaoitumia kwenda mjini, wanalazimika kutumia gharama kubwa ikiwemo kupanda Bodaboda. Tunaomba...
3 Reactions
9 Replies
269 Views
Anonymous
KERO 
NAFICHUA UOVU KUTOKA HALMASHAURI YA WILAYA YA RORYA Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, Mimi ni mtumishi katika ngazi Elimu Msingi tuna kero ya kutolipwa kwa fedha yetu ya...
1 Reactions
1 Replies
152 Views
Anonymous (fdc6)
KERO 
Mamlaka husika ishughulikie maana bili ya maji inakuja tunalipa lakini huduma ya maji ni ya kuvizia. Maji yanatoka dakika kumi mpaka tano yanakata. Na mamlaka husika zinalijua hili, tunaomba...
0 Reactions
0 Replies
102 Views
Anonymous (fdc6)
KERO 
Ni Mwaka Sasa Tangu Tumeajiriwa katika Halmashauri ya Wilaya Ya Ruangwa Ila Mpka Kufikia Hivi Sasa Hatuelewi Ni Kipi Haswa Kinachopelekea Kuchelewesha Kwa Barua Za Kuthibitishwa Kazini. Tunaomba...
1 Reactions
1 Replies
141 Views
Anonymous (fdc6)
KERO 
Mamlaka iliyoanzisha Kozi hii ya BACHELOR OF SCIENCE IN INDUSTRIAL ENGINEERING MANAGEMENT katika Chuo Kikuu Mzumbe Morogoro. Sioni nafasi zikitangazwa kutoka Serikalini ingali kila mwaka wanachuo...
3 Reactions
3 Replies
253 Views
Anonymous
KERO 
Binafsi nina kereka sana na tabia ya trafiki kuzidi barabarani, kuwa kero na kuchukua rushwa kwenye Daladala, unakuta tunatoa hela Makumbusho Stendi Sh 5,000 siku nyingine 2,000. Kituo cha...
5 Reactions
8 Replies
136 Views
Anonymous (fdc6)
KERO 
Naomba tuwasilishe changamoto ya Hospital ya Wilaya ya Ubungo kutowaruhusu wagonjwa kuingia na simu wodini (wodi ya wazazi na emergency kwa watoto). Hii ni hatari sana kwani ni kumnyima mgonjwa...
2 Reactions
6 Replies
179 Views
Anonymous (fdc6)
KERO 
Ndugu admin, naomba lifikishwe hili kwenye Wizara kama siyo Idara zinazohusika tutatuliwe hii kero. Serikali imejitutumua kusambaza Nishati ya Umeme huku kwetu Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga...
0 Reactions
0 Replies
100 Views
Anonymous
KERO 
Kiukweli mimi ni mtumishi Halmashauri ya Chemba - Dodoma tusaidieni kuhusu vibali vya uhamisho. Mpaka sasa tangazo lilitolewa na TAMISEMI kuwa wametoa vibali vipo kwa Wakurugenzi na kama...
2 Reactions
1 Replies
115 Views
Habari wakuu, Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inayotolewa katika chuo cha ufundi arusha (ATC) ambayo ina miaka 5 toka iyanzishwe inapitia magumu sana kwa wanafunzi...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Anonymous (f836)
KERO 
Kwa sasa kuna usumbufu mkubwa sana wa trafiki barabarani ususani maeneo ya mijini, mfano Dar es Salaam. Sinza Makaburini kuna trafiki wanasimamisha daladala wanaweza kukusimamisha zaidi ya dakika...
1 Reactions
3 Replies
162 Views
Anonymous
KERO Responded 
Tumeona ziara ya Waziri Mkuu ikitupa picha halisi juu ya uzembe na kutokuwa na uwajibikaji wa uwazi katika Ofisi za Umma. Tunaomba pia Waziri wa UTUMISHI (Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais...
0 Reactions
0 Replies
220 Views
Anonymous
KERO 
Jana nilikuwa nafanya muamala wa Shilingi Laki 4 kutoka kwenye Akaunti ya simu kwenda kwa mdogo wangu ambaye alikuwa asafiri kutoka Mbeya kuja Dar kwa matibabu. Kukawa na shida ya Mtandao, fedha...
0 Reactions
3 Replies
172 Views
Back
Top Bottom