Mimi nimesoma fani ya misitu katika chuo cha misitu Olmotonyi kilichopo Arusha nimehitimu mwaka 2019, jana tarehe 23/03/2026 tumefanya usaili wa kwa ajiri ya nafasi za kazi zilizo tangazwa mwezi...
Ninaomba mtusaidie kupaza sauti kuhusu suala la kupata pesa za kujikimu sisi ajira mpya upande wa TAMISEMI Sumbawanga Municipal Council.
Nimepata ajira yangu huku lakini ninayoyasikia na kuyaona...
Nilipita jana barabara hii, kipande cha kutoka Endasaki mpaka ufike Dareda Barabara Kuu ya Singida Babati, kwa kifupi ina mashimo mengi na makubwa sana jambo ammbalo ni hatari kwa watumiaji wa...
Walimu wamekuwa na tabia ya kuwapeleka wanafunzi muda wa vipindi kufanya kazi za shamba, ikiwamo kulima, kupalilia, kuvuna na kupukuchua mahindi pamoja na kuwachotea na kuwapelekea maji walimu...
Naomba kuwasilisha kero yangu huku nikiomba faragha yangu ilindwe, hivyo sipendi kutajwa au kujulikana kuwa mimi ndiye mtoa taarifa hii.
Mimi ni mkazi wa Kigamboni, eneo la Geza Ulole. Kumekuwa...
Natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfano likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha ajabu...
Walimu wa Shule za Sekondari katika Halmashauri ya Wilaya ya Singida (Singida DC) tuna malalamiko yetu kadhaa hasa yanayohusu kutolipwa malimbikizo ya fedha za kujikimu kwa muda mrefu.
Tatizo la...
Kampuni zinazo usika na ujenzi kama CJIS na CRJ za kichina zinapewa tenda na Serikali yetu ya Tanzania ili zijenge miundombini na zitoe ajira.
Lakini zinafukuzisha sana wafanyakazi kwa sababu...
Kuna Taasisi inaitwa Fanikiwa Microfinance inajishughulisha na utoaji wa mikopo, Makao Makuu yapo Dar es Salaam na pia wana matawi mengi Mikoani.
Alipoingia Rais Madarakani waliambiwa waongeze...
Jengo la RITA Tower lililoko Posta Dar es Salaam, naona wameamua kulisahau mpaka siku maafa yatokee ili waunde tume.
Jengo lile lina ghorofa 26, mnaweza kuelewa limebeba watu wengi kiasi gani...
Hili suala la NSSF kuzuia mtu kupata mafao yake, ikiwa amemaliza mkataba wa kazi, au kufukuzwa, wanaleta hoja ya ndani ya mwezi utakua umepata kazi nyingine na inahusika na NSSF, si sawa sababu...
Mimi ni mwanafunzi wa DIT, tunatumia mfumo unaitwa SOMA katika usajili na ufatiliaji wa matokeo.
Kwa zaidi ya mwezi sasa mfumo umekuwa na changamoto, Huku baadhi ya wanafunzi wakiwa NOT PROMOTED...
Mimi natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfani likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha...
Mimi natokea Halmashauri ya Tanganyika Mkoa wa KATAVI, kuna tatizo kwenye malipo ya likizo kwa Watumishi wa Serikali, mfani likizo ya December 2024 kuna Watumishi hawajalipwa pesa hata mia, cha...
Ni jambo la kusikitisha na linaloumiza moyo kuona hali ya miundombinu ya barabara na daraja katika Kata ya Bunamhala, iliyopo Wilaya ya Bariadi Mjini. Mbunge wetu, Mhe. Kundo Andrea Mathew...
Upatikani wa maji safi katika jiji la Mwanza maeneo ya Nyakato umekua usioridhisha kwa muda wa wiki mbili sasa.
Kuna siku maji hayapatikani hata siku tatu. Kuna siku yanakuja asubui na kukatika...
Ajira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu, tukiuliza wanatuamia watatulipa, lakini kwa experience iliyopo posho ya kujikimu Watu hawalipwi hadi Mwaka unapita...
FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali.
Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43...
Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.