Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari.
Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu...
Wakuu hi barabara tunasubiri Nini Kuitanua? Niliona kafulila kamfurusha Mbia ambaye alitaka Kufanya huu mradi na Serikali Kwa mode PPI ajenge halafu a impose Toll fee,
Baada ya Kuongea vile...
Tunaomba mtusaidie huku halmashauri ya Busega ajira mpya wanakata vyama viwili (Tuge na Twalbu) kwa pamoja bila kutoa maelekezo yoyote, mimi nipo Kada ya Afya.
Na pesa za kujikimu pia changamoto...
Kuna jambo linaendelea naona kuna dalili ya kitu fulani ambacho hakipo sawa, kuna ujenzi wa kituo cha mafuta (Sheli) umeanza Mitaa ya Luguruni.
Wameanza kujaza kifusi katika sehemu ambayo...
Mimi ni ajira mpya mwezi wa 10 Halmashauri ya Mbogwe, nilikopa kupitia ESS mkopo wa Shilingi Milioni 10 kwa miaka 8 kufanyia biashara ya madini bahati mbaya nimefeli.
Kinachoniumiza kwa sasa...
Habarini za mchana,
Wakuu mimi huwa situmii pombe, ni juice na soda tu na soda yangu pendwa ni Pepsi.
Kila siku huwa nakunywa Pepsi tena napenda ikiwa baridi sana. Nilianza kunywa moja kwa siku...
Kuna changamoto katika waombaji wa kazi katika mfumo wa ajira.go.tz kutokubaliwa na mfumo na ikitokea ukiitwa interview wakaguzi hawaturuhusu kufanya usaili.
Tulivyouliza shida ni nini jibu toka...
Kuna kero kubwa inayowakumba vijana wengi waliokuwa wakijitolea kama waongoza watalii (Tour Guides) katika Taasisi ya TAWA kwa muda mrefu sana. Wapo vijana wamejitolea kwa miaka mingi wakifanya...
Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa...
Kuna watu walifanya interview za LGA & MDA kupitia Sekretarieti ya ajira Serikalini 17/12/2025 oral ila hadi leo majibu hayajatoka hata kwa mtu mmoja.
Tunachowaza ni kwamba walifeli wote au nini...
Kuna Watumishi ambao wana nafasi katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa hapa Arusha wamekuwa ni kero kubwa kwa baadhi ya Wafanyakazi.
Kati yao kuna Mhasibu na Katibu Tawala Msaidizi (Utawala), wamekuwa...
Halmashauri ya Kilosa kuchukua Sh 2,000 kwa kila gunia la mpunga kwa Wakulima wa mpunga katika Kata ya KIMAMBA A na KIMAMBA B Wilayani KILOSA mkoani MOROGORO, ni maumivu makali kwetu kwa kuwa ni...
Ofisi za Happy Nation ya kupokelea mizigo DSM siyo salama kwa mizigo. Mzigo ya wateja umerudikwa nje na kunyeshewa mvua. Ndani ya store ya mizigo,mizigo ya mafuta na isiyokuwa na mafuta...
TANROADS wanajisahau sana kuhusu alama za wavuka kwa Miguu ya PUNDAMILIA/ZEBRA, zimefutika kiasi kwamba sasa zimekuwa chanzo cha ajali.
Changamoto hiyo ipo sana maeneo ya Barabara ya Bagamoyo...
Hili jiji kuna sehemu nyingi sijui zibomolewe tu halafu zianze kujengwa upya
Nyumba nyingi ni below standard halafu Skyline yake imejaa slums kwa kiasi kikubwa halafu ni kama uwekezaji upo chini...
Serikali itusaidie kuhusu suala la kalavati sisi Wakazi wa Matosa Uzaromoni, Mtaa wa Mikumi, Kata ya Goba, Wilaya ya Ubungo Jijini Dar es Salaam, huu unaenda mwaka wa tatu sasa tangu tuombe...
Mimi ni mmoja wa mzazi wa mwanachuo wa mwaka wa kwanza radiology kutoka Chuo cha Nkinga Health Institutes, Igunga Tabora.
Kumekuwa na gharama zisizo na tija na kuzijurudia, huko nyuma wanafunzi...
Wakazi wa kigamboni tuna changa moto juu ya card za N-CARD, card hizo tumekua tukiweka hela na kuisha tofauti na kiasi ulichoweka, pesa inaenda wapi ?
Na kwanini ukiacha Card kwa muda ukija...
Juzi kati niliona kuna Mdau amelalamika kuwa kuna kampuni imekuwa ikimtumia ujumbe na wakati mwingine kumpigia kwamba wanataka kununua mkopo wake uliosalia kutoka Bosi ya Mikopoy a Wanafunzi wa...
Watu wa Mapokezi ya Wagonjwa katika Hospitali ya Rufaa Mbeya hawana huduma nzuri kabisa kwa Wananchi wanaofika kituoni hapo.
Mfano kuna mtumishi mmoja anaongea na simu muda mwingi bila kujali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.