Upatikani wa maji safi katika jiji la Mwanza maeneo ya Nyakato umekua usioridhisha kwa muda wa wiki mbili sasa.
Kuna siku maji hayapatikani hata siku tatu. Kuna siku yanakuja asubui na kukatika...
Ajira Mpya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) hatujalipwa hela ya kujikimu, tukiuliza wanatuamia watatulipa, lakini kwa experience iliyopo posho ya kujikimu Watu hawalipwi hadi Mwaka unapita...
FIDELIS Mutakyamilwa bado ana uchungu wa kuona mama yake akifariki kwa kuwa alikosa huduma ya gari la wagonjwa wa dharura kumfikisha hospitali.
Mama mzazi wa kijana huyo mwenye umri wa miaka 43...
Mimi najiuliza sana, inakuwaje ofisi ya Mkuu wa Mkoa Njombe, wanatuma barua kwa Wafanyabiashara wakiomba mchango kwaajili ya Meimosi na kiasi wamekuandikia kabisa, ina maana hauna machaguzi hapo...
Asanteni sana kwa kubuni na huku fursa ya kuwasilisha changamoto au kero za Jamii zetu nchini.
Kero yangu ni madaraja yaliyopo Mkoani Manyara hapa Wilayani Kiteto Kata ya Kibaya Mjini, haya ni...
Kuna Halmashauri iliyopo mkoa wa Kigoma, suala la malipo ya likizo haipewi kipaumbele na ukiomba malipo yanakatwa bila kupewa sababu ya msingi.
Unachoambiwa ni ujaze Vendor Form alafu unaingiziwa...
Narudia kuwaonya kama rafiki yenu, ndugu wa karibu.. usije kurogwa kukopa huo mkopo wao kama utakuwa na shida sana na ikakulazimu kukopa mara 100 bora uuze hata kitanda chako au godoro..
Huu...
Mimi ni mtumishi wa Halmashauri ya Nsimbo. Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu utekelezaji wa mfumo wa ESS (Employee Self Service) ambao ulianzishwa kwa lengo la kurahisisha na kuboresha huduma...
Watumishi wa Halmashauri ya Kibaha, haswa walimu hatulipwi fedha za likizo kwa wakati
Toka nianze kazi kwenye Halmashauri hii ya Kibaha mpaka Sasa nina nina takribani miaka 18 kazini, lakini...
Hali ya Barabara Kuu kutoka Dareda Mkoani Manyara hadi Singida ni mbaya kwa kweli, magari yanalazimika kutembea kwa mwendo mdogo kwa kuwa mashimo ni mengi na ukienda kwa mwendo wa kasi unaweza ama...
Wilaya ya Tunduru Mkoani Ruvuma tunakabiliwa na uhaba mkubwaa wa Watumishi wa afya inayosababisha kufanya kazi kuliko inavyotakiwa, mfano tunakosa hata muda wa kuwa na jamii, hali hiyo inatufanya...
Taasisi ya Chuo cha City College Mikwambe kipo Kigamboni, Mikwambe, Dar es Salaam., walituita kufanya kazi ya kusahihisha mitihani na walisema wangetulipa baada ya kazi kuisha, lakini tangu mwezi...
HABARI JAMII FORUM.
Poleni na majukumu naomba utupazie sauti sisi Watumishi wa Nzega DC tumeajiriwa tangu mwaka 2024 ila mpaka leo tunazungushwa kupewa barua zetu za uthibitisho tumemuuliza mpaka...
Wakulima waliouza mahindi Hifadhi ya Taifa ya Chakula kanda ya Songea hatujalipwa fedha zetu tangu September 2025 Hadi Sasa kimyaa.
Wakulima wameshindwa kurudi shambani wengine mahindi...
Huyu Mkurugenzi ndio amekuwa kipingamizi kikubwa cha wafanyakazi waliofanya vizuri kwenye tathmini ya utendaji kazi ya mfumo wa PEPMIS kupanda madaraja wanayostahili.
Pia tangu ahamie kwenye...
Hivi hili shirika DAWASA vipi?Waziri mwenye dhamana ya maji uko wapi? Inakuwaje wakazi wa Mbezi-Goba tunaishi kama tupo jangwa la Sahara? Miezi ya nyuma mlisema kina cha maji kwenye vyanzo vya...
Kwa zaidi ya wiki tatu sasa, maeneo ya karibu na Chuo Kikuu cha SAUT hususan mitaa ya Nyamalango, Maduka Tisa–Buhima na Sweya yanaishi bila maji kabisa. Hali imekuwa mbaya kupita kiasi na...
Bara bara ya kwenda na kutoka hospital ya mkoa wa pwani (Tumbi hospital) Ambayo ni ya kiwango cha rami imeharibika na kuwa mbovuu kwa muda mrefu na imejaa mashimo yanayo tanuka kila siku.
Mwezi...
Mkoani Arusha, Shule ya Secondary KIUTU haina maabara mpaka sasa Machi 2026, form four wanatarajia kuhitimu na shule haina maabara.
Haina Walimu wa kutosha, wapo Walimu 10 wa 11 ni Mkuu wa Shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.