Vibarua katika Kampuni ya uchimbaji madini ya Ruby International iliyopo Mkoani Morogoro, Wilayani Ulanga wanalalamika kuwa jinsi wanavyosachiwa baada ya kazi ni udhalilishaji.
Maana...
Kuna kero iliyokithiri huku Mbondole Kata ya Msongola, Wilaya ya Ilala, Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam, kwanza ni kuhusu miundombinu ya barabara zetu, hazipitiki nyakati zote za mwaka si...
Mimi nina dukuduku langu kuhusu recruitment process za sekretarieti ya ajira kupitia Ajira Portal.
Tarehe 26/03/2026, nilihudhuria written interview ambayo tarehe na venue nilielekezwa pale IAA...
Watumiaji wa Stendi ya NaneNane Mkoani Mbeya tuna changamoto inayohusiana na usalama wetu, kwani nyakati za Usiku abiria wanaoshuka hapo wanakutana na giza kwa asilimia kubwa.
Taa zipo ila...
Sisi wanakikundi tuliomba mkopo wa Halmashauri na tukafanikiwa kukopeshwa shilingi milioni tano kwa ajili ya mradi wa mama lishe, tulifuata taratibu zote za kuhudhuria mafunzo, kusaini mikataba ya...
Eneo la Stendi ya Mbezi Luis katika miaka ya hivi karibuni limekuwa na ongezeko kubwa la watu. Hali hii imekuwa kichocheo cha ukuaji wa biashara na fursa mbalimbali, hasa ikizingatiwa ukaribu wa...
Kuna mwalimu mmoja anaitwa Nandi, anafundisha Shule ya Msingi Katusa iliyopo Manispaa ya Sumbawanga Mkoa wa Rukwa anafundisha darasa la tano.
Yeye anafundisha tuition kwa shilingi 300 na mtihani...
Kuna eneo ambalo ni kama pori linalomilikiwa na Mfuko wa NSSF lipo huku Kiluvya kutokea kwa Sumaye mpaka Shule ya Secondary Makurunge, Wanafunzi wanapita mpaka mida ya usiku wakitoka shule na sio...
Mkoani Geita, wakulima tunanyanyasika sana, katika suala la kuuza mazao (mahindi ), kwa sasa vipimo vinavyotumiwa na walanguzi ni gunia na ndoo ambazo hazina uhalisia ukizingatia ukubwa wa gunia...
Hii ni barabara ya Tarime Mjini – Nyamongo, iko katika hali mbaya na wahusika wala hawajali. Viongozi wanaohusika na Barabara na wale wengine wote hawalioni hili? Ubovu huu ni chanzo cha...
Watumishi Kada ya Elimu na Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bunda wanafanya kazi kwa presha sanaa, maana Wananchi wanawapigia viongozi sana kulalamika wakati kazi inafanyika.
Kinachotokea...
Kwa shehia ya Jang'ombe, Kidongo Chekundu na Baraza la Manispaa mjini ishughulikie takataka zinazozagaa na kutelekezwa katika jalala la Jang'ombe, Kidongo Chekundu.
Hii hali imekuwepo muda mrefu...
Hawa jamaa wanadai mfumo wao una matatizo, ni wiki ya pili sasa huwezi kuongeza umeme wala kufanya chochote, watumiaji wa hizo submita tunapata shida sana, mimi wiki nzima sasa chumba changu...
Sisi ni Wadau wa JamiiForums natokea Manispaa ya Ubungo Kada ya Elimu Kero yetu ni Juu ya Pesa za Likizo tangu nihamie Manispaa ya Ubungo ni Mwaka wa tano lakini mpaka leo hatujawahi kupewa hela...
Kuna kero inawakumba wazazi wenye katika shule ya sekondari Ipala. Mwaka jana serikali ilitoa mahindi kwa ajili ya chakula shuleni na mwanafunzi ikalazimu kwenda na mia sita kila siku kwa ajili ya...
Kuna Shule inaitwa Bugumbikiso Secondary ipo Sengerema Mwanza, wanafunzi wanapigwa sana kwa sababu ya michango.
Michango ya kuwalipa walimu wa kujitolea, na majengo. Wasipopeleka michango...
Kuna chemba ya maji taka inayotiririsha uchafu kando ya Soko jipya la Kariakoo, ambalo limezinduliwa hivi karibuni na Rais Samia Suluhu Hassan. Chemba hiyo ipo kwenye kona ambapo daladala za...
Sisi kitu tunaweza ni kupambana na Upinzani tu na wapinzani.
Tunakwama wapi ?
TTCL wana juhudi kutuma Control number lakini Mfumo haufanyi kazi
DAWASA wanafungua maji siku 1 wanatuma bills...
Mimi ni moja ya Walimu wenye professional ya biashara tulioajiriwa kufundisha somo jipya la Business Studies ngazi ya Shule za Sekondari.
Kutokana na kwamba hatuna professional ya Ualimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.