KERO Threads

Anonymous
KERO 
Mitaro iliyopo kwenye barabara kutoka Shoppers Mikocheni Dar es salaam kuelekea Hospitali ya Kairuki imejaa maji machafu na taka, hali inayosababisha harufu mbaya na kuwa kero kwa wakazi wa maeneo...
0 Reactions
0 Replies
163 Views
Anonymous
KERO 
Sisi wakazi wa Bagamoyo na Kilole, Wilaya ya Korogwe Mjini, tunalalamikia changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji safi na salama katika maeneo yetu. Kwa muda mrefu sasa kumekuwa hakuna ratiba...
0 Reactions
4 Replies
169 Views
Anonymous
KERO 
TECU imekuwa kama sehemu wa vigogo wa TANROADS kujinufaisha ndo maana miradi yote mipya wanafanya figisu ili isimamiwe na TECU ambayo inaleta conflict maana Client ndo huyo huyo Consultant...
0 Reactions
2 Replies
159 Views
Anonymous (0f4d)
KERO 
Mimi ni miongoni mwa Watu 178 walioitwa kuripoti kazini na VETA tangu tarehe 14 Februari 2026. Tulifika Ofisi za VETA Dodoma tukajaza taarifa binafsi, kisha tukaambiwa tusubiri maelekezo mengine…...
0 Reactions
7 Replies
239 Views
Anonymous
KERO 
Wilaya ya Same kuna upotevu wa pikipiki, mfano mimi mwenyewe nimeibiwa pikipiki yangu lakini polisi wa Same hawatoi ushirikiano wowote, hili suala linaumiza sana, ni zaidi ya pikipiki 16 zimepotea...
1 Reactions
4 Replies
183 Views
Anonymous
KERO 
Tunaamini kupitia jukwaa hili tutapata haki zetu. Asilimia kubwa ya Watumishi wa Hospitali ya Sekou Toure ya jijini Mwanza tumekuwa tukidhulumiwa malipo ya Extra Duties ya mwezi wa 5&6 kila mwaka...
0 Reactions
2 Replies
110 Views
Anonymous
RESOLVED KERO 
VETA Habari za wakati huu. Mimi ni mmoja wa watumishi wapya walioajiriwa na Veta tarehe 19/02. Baada ya kufika makao makuu Dodoma na kukamilisha zoezi la kusaini mikataba ya ajira, tuliombwa...
0 Reactions
3 Replies
164 Views
Anonymous
KERO 
Mkoa wa Geita wafanyakazi wa idara ya afya kupitia shirika lisilo la kiserikali ICAP wanacheleweshewa mshahara wao kila mwezi na wakiuliza kwa mratibu wa mkoa hatoi majibu mazuri na kutishia kama...
0 Reactions
2 Replies
219 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwanakaya wa familia iliyotoa eneo la shamba kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bunda kupitia makubaliano na Serikali ya Halmashauri mwaka 2019. Kupitia makubaliano hayo...
0 Reactions
3 Replies
138 Views
Anonymous (c723)
KERO 
Wafanyakazi wengi katika Halmashauri ya Wilaya ya BUCHOSA Mkoani Mwanza huwa hawalipwi hela za kujikimu pindi wanapopata ajira mpya kutoka Serikalini. Mfano, Mwaka jana 2025 hawakupewa hela zao...
0 Reactions
1 Replies
200 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mfanyakazi wa TANESCO wa kazi maalumu S.T.E (Specific Task Employee) kutoka Mkoa wa Katavi viongozi wetu wa juu wa Shirika wasikie ujumbe huu ili watusaidie maana tunapitia changamoto ya...
1 Reactions
0 Replies
120 Views
Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam(Ilala) kuna afisa Utumishi (Afisa Rasilimali Watu), afisa huyu ana huduma mbovu sana na manyanyaso kwa watumishi waotaka huduma za kiutumishi toka kwake...
0 Reactions
7 Replies
216 Views
Anonymous
KERO 
Madereva tunapata changamoto kubwa pale kwenye Kituo cha SGR kilichopo Stesheni, Dar es Salaam, wanatukamata tukienda kubeba abiria, wanataka tuingie ndani ili tulipie shilingi 1,000, wakati sisi...
0 Reactions
6 Replies
130 Views
Anonymous
KERO 
Barabara ya Kiluvya Madukani mpaka Makurunge imeachwa bila matengenezo licha ya eneo hili kupata wakazi wengi miaka ya hivi karibuni. Shida kuu: 1. Miundombinu mibovu: Barabara ni ya udongo wa...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Anonymous
KERO Responded 
Naomba kuwasilisha kilio cha wananchi wa Mtaa wa PPF, Kata ya Kiseke ndani ya Manispaa ya Ilemela kuhusu tatizo kubwa la ukosefu wa maji ambalo limekuwa likiendelea kwa muda mrefu sasa. Kwa sasa...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Anonymous
KERO 
Naweza kusema kuwa kwa ninavyoamini kutokana na mazingira, Askari wa Barabarani wanatengeneza foleni njia ya Kimara kwa Makusudi wanaanza kuwaambia watu wapite mwendokasi kipande cha Baruti then...
0 Reactions
1 Replies
82 Views
Anonymous
KERO 
Kuna uzembe wa kukithiri katika utendaji wa Wakala wa Huduma ya Ununuzi Serikalini (Government Procurement Services Agency - GPSA) Mkoa wa Arusha kipindi hiki kigumu, unaletaje gari moja ya mafuta...
0 Reactions
0 Replies
150 Views
Anonymous
KERO 
Kuna kikundi kinaitwa KIMAUCHA kinafanya kazi za umeme chini ya TANESCO Wilaya ya Chanika, Dar es Salaam, watu wanaohusika hasa viongozi wa kikundi hicho wamekuwa na tabia ya kudhulumu hela...
0 Reactions
0 Replies
120 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kero yangu ni kuhusu vituo vya mafuta vya mitaani kuhusika katika uuzaji wa mafuta ya diesel kinyemela katika Kijiji cha Sukamahera, Wilaya ya Manyoni. Lori za mafuta zimekuwa na kawaida ya kuuza...
2 Reactions
11 Replies
232 Views
Anonymous
KERO 
Nilikata tiketi online tarehe 08 Mei 2026 kwa ajili ya safari ya tarehe 09 Mei 2026 kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama. Kituo nilichopangiwa kupandia ni Mlandizi. Nilifika kituoni mapema saa...
3 Reactions
3 Replies
202 Views
Back
Top Bottom