KERO Threads

Anonymous
KERO 
Sisi ni vijana tunaofanya kazi za vibarua katika sekta binafsi zinazohusika na sekta ya uchukuzi, tunajulikana kwa jina maarufu kama Makuli au wabeba mizigo viwandani na ma-godwn/tunabeba mizigo...
2 Reactions
4 Replies
178 Views
Wakazi wa Sinza Madukani wanakabiliwa na kero kutokana na kuchelewa kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya kutoka Sinza Madukani kwenda Namnaan Hotel, baada ya barabara hiyo kuchimbwa na kuachwa...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Anonymous (c518)
KERO 
Kwa kawaida Serikali huajiri kwa bajeti, kwanini wanashindwa kulipa fedha hizo kwa wakati ikiwa huweka bajeti ya ajira na kutenga fedha za malipo ya kujikimu kwa mwaka husika wa kifedha kulingana...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Anonymous (8896)
KERO 
MCHANGO WA MAONI KUHUSU MATANGAZO YA KIDIGITALI NA MATUMIZI YA DATA KWA MTUMIAJI Kwa heshima kubwa, ninaomba mamlaka zinazohusika na mawasiliano nchini, hususan TCRA, kuangalia uwezekano wa...
1 Reactions
0 Replies
93 Views
Kutofanyiwa ufumbuzi wa tatizo la kujaa maji katika njia ya Vianzi kutoka Vikindu Hospitali kuelekea Masister inaleta shida sana kwa watu kupita. Hii ndiyo njia pekee inayotumiwa na wanafunzi wa...
0 Reactions
8 Replies
269 Views
Anonymous
KERO 
Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, mvua ikinyesha huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande...
3 Reactions
10 Replies
209 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Tabata Chang’ombe. Naomba kuwasilisha kero yangu hii mtusaidie kupaza sauti. Kwanini Halmashauri ya Jiji wanatoza ushuru wa stendi Tsh. 2000 kwa kila gari ilhali hakuna hiyo...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Anonymous
KERO 
25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza Madereva wa Tax Mtandaoni tunanyonywa sana hasa Kampuni ya Bolt inakata kamisheni 25.6% katika kila safari...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Anonymous
KERO 
Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa! Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Walimu Ajira Mpya mwezi wa pili na watatu 2025 katika Wilaya ya Rorya mpaka sasa hatujadhibitishwa kazini, tukiuliza majibu hatupewi mazuri hatujui tatizo ni nini tunaomba ujumbe wetu ufike...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Anonymous
KERO 
Afisa Utumishi katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, mkoani Ruvuma anatumia Madaraka yake vibaya: Uhamishaji Watumishi Kinyume na Taratibu: Afisa huyo anahamisha watumishi wa umma bila kufuata...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwanafunzi wa uchumi, ninachokiona ni kuwa ajira za uchumi zinatoka chache sana kwa serikalini, tunaomba serikali kupitia mamlaka zake husika hasahasa Sekretarieti ya Ajira kuweka ajira...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Anonymous
KERO Responded 
Kuna tatizo kubwa la upungufu na ukosefu wa maji kwa vitongoji kadhaa kwenye vijiji hivi viwili ambapo baadhi ya wananchi wanapata maji kwa mgao na wengine hawapati kabisa. Mamlaka ya maji...
0 Reactions
1 Replies
161 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwanafunzi niliyehitimu Chuo cha Uhasibu Arusha, tangu mwaka 2025 lakini mpaka sasa hivi baadhi yetu hatujapatiwa vyeti na vigezo vyote tumekidhi lakini kila tukienda chuoni hapo tumekuwa...
0 Reactions
0 Replies
99 Views
Anonymous
KERO 
Mtumishi wa chuo cha SUA kampasi ya Solomon Mahalangu Patricia Benedicto office assistant idara ya sayansi ya viumbe hai amekuwa kero kwa watumishi wake kwa kuficha vocha za madeni. Anawatishia...
1 Reactions
0 Replies
142 Views
Anonymous
KERO 
Bodi ya Mikopo (HESLB) wametoa nafasi za ajira za mkataba lakini wameweka kigezo cha umri, yaani ambao wanaruhusiwa kuomba ni graduates kuanzia Mwaka 2020-2026. Kero yangu ni kwamba tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Anonymous
KERO 
Hali ya barabara katika mitaa yetu ya TABATA (NSSF) sasa imefika hatua ambayo si kero tena, bali ni janga la miundombinu linalohatarisha usalama, afya, na uchumi wa kila mkazi. Kama picha...
1 Reactions
0 Replies
99 Views
Anonymous
KERO 
Miezi mitatu imepita watumishi hawajalipwa posho zao na hakuna taarifa yeyote juu yao, zaidi kuna matumizi mabaya ya makusanyo ya fedha mbalimbali zinazosababisha watumishi wasilipwe posho zao...
1 Reactions
0 Replies
114 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ni Askari wa Usalama Barabarani maeneo ya Magari Saba Mbezi Luis hawafanyi kazi yao ipasavyo 1. Maskari wanajazana hapo Magari Saba Mbezi Luis halafu hamna bango la speed 50...ina...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Anonymous
KERO 
Mamlaka ya Maji Iringa IRUWASA inakatia wateja maji hadi wanaodaiwa bili ya shilingi elfu moja kwa mwezi mmoja na kuwalazimu kulipa garama za kurudisha maji elfu 15. Wanafanya hivyo ili mamlaka...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Back
Top Bottom