KERO Threads

Anonymous
KERO 
Kuna haja kubwa sasa ya kuzungumzia changamoto inayowakumba Maafisa Ustawi wa Jamii nchini. Pamoja na kwamba Wizara ya Afya na Wizara ya maendeleo ya jamii jinsia, wanawake na makundi maalumu...
1 Reactions
1 Replies
134 Views
Anonymous (0fd1)
KERO 
Mimi ni mfanyakazi wa Kampuni ya Ulinzi inayoitwa (G4S COMPANY LTD) inapatikana Dar es Salaam, mkabala na ubalozi wa Ufaransa kuna changamoto kadhaa: 1. Hatupewi likizo ya siku 28 kwa mwaka...
5 Reactions
17 Replies
377 Views
Anonymous
KERO 
KERO: MATUMIZI MABAYA YA MAKUNDI YA WHATSAPP WILAYANI SIHA Mimi ni mkazi wa Wilaya ya Siha. Nina kero kuhusu uwepo wa makundi ya WhatsApp yanayotambulika kwa majina ya Siha Development, Siha...
4 Reactions
12 Replies
438 Views
Anonymous
KERO 
Wananchi wa Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma tuna changamoto ya huduma duni ya maji safi na salama, huwa tunapata maji mara moja tu baada ya siku tatu hali hiyo huwafanya wengi kushindwa...
0 Reactions
1 Replies
72 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Watumishi Wilaya ya Mpwapwa Sekta ya Afya tangu tumeajiriwa Mwaka 2022 hatukuwahi kulipwa fedha ya kwenda likizo.
0 Reactions
0 Replies
65 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Bandari kilichopo Tandika Jijini Dar es Salaam, sisi tunaosoma kozi fupi ya Reach Stacker tunapokwenda kwenye mafunzo kwa vitendo pale NASACO Bandarini hukuta mashine...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Mimi ni mwananchi wa Arusha kata ya muriet-intel karibu na idara ya maji , ni mwezi sasa wananchi wa mtaa huu hatuna maji kutoka hapo idara ya maji na hili tatizo limeota mizizi sasa maji hakuna...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Anonymous (2ac0)
KERO 
Mimi ni mwananchi nipo mkoa wa Rukwa, Sumbawanga Municipal, Kata ya Sumbawanga, Mtaa wa Makutano. Tunapitia kero mtaani kwetu ya mwekezaji kulipua mabomu kila wakati wa kupasua mawe angali tayari...
0 Reactions
1 Replies
157 Views
Anonymous
KERO 
Ni kweli hospital inakusanya mapato kwa wingi lakini sisi watumishi tunadai stahiki zetu kwa muda mrefu tu hatulipwi extra duty na call allowance tangu 2024, 2025 na 2026. Ikitokea zimelipwa ni...
2 Reactions
9 Replies
219 Views
Anonymous
KERO 
Chuo cha ujenzi- ICoT chini ya wizazra ya ujenzi mkoani morogoro kinachotoa coz ya udereva kimekuwa kikiendesha coz hiyo kwa utapeli na kinyume na utaratibu. Wapo wanafunzi wa mwez wa 11, 12 ...
0 Reactions
0 Replies
109 Views
Anonymous (9713)
KERO Responded 
Wakati Serikali ikiendelea kutekeleza mipango mbalimbali ya kuwakopesha vijana ili kuwawezesha kujiajiri, bado kuna kundi kubwa la vijana waliowahi kufanya kazi katika sekta binafsi ambao...
1 Reactions
5 Replies
516 Views
Sijui ni Mimi mwenyewe naona au hata nyie watanzania wenzangu.naona hii michezo ya wanawake hasa mabinti wadogo wadogo kucheza Ngoma za Uchi maarufu kama Baikoko mitaani hasa kwa Jiji la daresalam...
2 Reactions
48 Replies
3K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mwijiriwa mpya upande wa afya Mkoa wa Lindi, Wilaya ya Nachingwea Mwaka 2026, kero yetu, mimi na wenzangu ni mpaka sasa hatujapewa pesa ya kujikimu ila Walimu ambao tumeajiriwa nao wote...
0 Reactions
5 Replies
204 Views
Anonymous
KERO 
Walimu Ajira Mpya ya Mwaka 2025 katika Halmashauri ya Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara tumelipwa shilingi laki 4 kwa ajili ya Pesa za Kujikimu badala ya laki 9 na elfu kumi. Tukilalamika...
0 Reactions
7 Replies
144 Views
Anonymous
KERO 
Pesa za kujikimu halmashauri ya wilaya ya kyerwa ajira mpya hatujapewa bado, na uongozi ulituambia pesa zipo tangu February/March 2026 tunaomba uongozi utupe mrejesho nini kinaendelea. Soma Pia...
2 Reactions
3 Replies
185 Views
Anonymous (e473)
KERO 
Wakuu, Naomba nitoe kilio cha wananchi wa Kijiji cha Nyanjage kilichopo wilaya ya rorya Tanzania . Kwa muda sasa, kuna mgodi umeanza kufanya kazi tangu mwezi wa 1 mwaka huu, lakini kinachoumiza...
1 Reactions
1 Replies
108 Views
Anonymous
KERO 
Hospital ya KAMANGA Nyegezi Mwanza kitengo cha Upasuaji kunafuka rushwa ya matibabu hasa kwa wagonjwa wa BIMA, Baada ya mke wangu kusumbuliwa na tatizo la tumbo la muda mrefu, hospitali ya KAMANGA...
0 Reactions
2 Replies
122 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Njiro, Arusha. Siku ya Ijumaa tarehe 8 Mei 2026, nilifika katika Ofisi za NIDA Kisongo kwa lengo la kuchukua vitambulisho vya jamaa zangu ambao kwa sasa wako nje ya mkoa wa...
17 Reactions
149 Replies
2K Views
Anonymous
KERO 
Jamani sisi Wanangorongoro tunateseka sana wakati wa kusafiri kutoka Arusha Mjini kwenda Loliondo, kinachotusumbua ni upandashwaji wa nauli kiholela bila ya kufuata utaratibu uliowekwa na LATRA...
2 Reactions
17 Replies
258 Views
Anonymous (8e0c)
KERO 
Kumekuwa na changamoto ya maji kutotoka katika manispaa ya mji wa Lindi katika maeneo mengi haswa Lindi Mjini, Ng'apa, Mchinga, Mitwero. Na ni zaidi ya wiki moja sasa bila maeneo haya kupata maji...
0 Reactions
1 Replies
101 Views
Back
Top Bottom