KERO Threads

Anonymous
KERO 
Taa za barabarani karibu na Cafe ya College of Humanities katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) zimekuwa hazifanyi kazi kwa takriban miaka miwili sasa. Eneo hilo ni muhimu kwa Wanafunzi wanaokwenda...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Anonymous
KERO 
Ni jambo la kusikitisha na linalokatisha tamaa kuona kuwa ofisi yetu imeamua kupunguza kwa kiwango kikubwa ubora wa huduma za bima ya afya kwa wafanyakazi, bila kuzingatia athari zake kwa afya na...
1 Reactions
1 Replies
261 Views
Anonymous
KERO 
Viongozi wa kijiji cha Mlimba 'B' katika Halmashauri ya Mlimba wamekuwa kero kwa wananchi kwani wamekuwa wakitoza faini ya Tsh. 10,000/= kwa kila mwananchi asipohudhuria kwenye mkutano wa serikali...
3 Reactions
10 Replies
209 Views
Hakuna wanachokifanya huduma MBOVU Kwa wananchi, rushwa, wizi na utapeli vimetamalaki Yapata miezi sita Sasa wananchi walotuma maombi ya passport na wanao omba passport wanaambiwa mfumo...
0 Reactions
13 Replies
227 Views
Anonymous (6565)
KERO 
Wilaya ya Mlee Mkoani Katavi tunadai fedha za Uchaguzi, Waziri Mkuu alipokuja viongozi wakatuziba mdomo msiongee, tutawalipa, hadi leo imekuwa danadana Mkurugenzi hataki kutulipa sisi mgambo na...
7 Reactions
28 Replies
375 Views
Anonymous
KERO 
Shule yetu ya Mkondogwa Primary School iliyopo Kata ya Chamazi Wilaya ya Temeke, Mkuu wa Shule anatutoza rushwa sana, tukihamishia watoto wetu pale anatutoza hadi shilingi laki moja kwa madai ni...
5 Reactions
9 Replies
188 Views
Mnamo mwaka jana 2025 mwanzoni, serikali ilitangaza kuboresha barabara ya Kinondoni kuanzia Wakulima Road (usalama) mpaka Mtaa wa Binti Matola (mtaa opposite na mwembe jini, unaoenda mpaka V Ways)...
1 Reactions
16 Replies
305 Views
Kwa ufupi, Sijui mipango ya hii miji inapangwa vipi. Kipindi serikali inafanya juhudi kutanua Morogoro road moja ya sababu kuu ilikuwa ni kuzidiwa kwa wingi wa magari. Hivi nani aliamua mabasi...
4 Reactions
13 Replies
351 Views
Anonymous
KERO 
Mfumo mpya wa Registration kwa Madaktari, Medical Council of Tanganyika (MCT) uliobadilishwa hivi karibuni unaitwa HPRS (Health Practitioner Registration System) una changamoto nyingi ambazo...
1 Reactions
3 Replies
242 Views
Anonymous
KERO 
Sisi ni vijana tunaofanya kazi za vibarua katika sekta binafsi zinazohusika na sekta ya uchukuzi, tunajulikana kwa jina maarufu kama Makuli au wabeba mizigo viwandani na ma-godwn/tunabeba mizigo...
2 Reactions
4 Replies
178 Views
Wakazi wa Sinza Madukani wanakabiliwa na kero kutokana na kuchelewa kukamilika kwa ujenzi wa barabara ya kutoka Sinza Madukani kwenda Namnaan Hotel, baada ya barabara hiyo kuchimbwa na kuachwa...
0 Reactions
1 Replies
171 Views
Anonymous (c518)
KERO 
Kwa kawaida Serikali huajiri kwa bajeti, kwanini wanashindwa kulipa fedha hizo kwa wakati ikiwa huweka bajeti ya ajira na kutenga fedha za malipo ya kujikimu kwa mwaka husika wa kifedha kulingana...
0 Reactions
0 Replies
105 Views
Anonymous (8896)
KERO 
MCHANGO WA MAONI KUHUSU MATANGAZO YA KIDIGITALI NA MATUMIZI YA DATA KWA MTUMIAJI Kwa heshima kubwa, ninaomba mamlaka zinazohusika na mawasiliano nchini, hususan TCRA, kuangalia uwezekano wa...
1 Reactions
0 Replies
93 Views
Kutofanyiwa ufumbuzi wa tatizo la kujaa maji katika njia ya Vianzi kutoka Vikindu Hospitali kuelekea Masister inaleta shida sana kwa watu kupita. Hii ndiyo njia pekee inayotumiwa na wanafunzi wa...
0 Reactions
8 Replies
269 Views
Anonymous
KERO 
Hii ni njia ya Vijibweni Kigamboni, kero hii kabla ya uchaguzi na baada ya uchaguzi, mpaka sasa hatujapata utatuzi, mvua ikinyesha huwezi subiri chombo cha usafiri wa umma hapo, unasimama upande...
3 Reactions
10 Replies
209 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Tabata Chang’ombe. Naomba kuwasilisha kero yangu hii mtusaidie kupaza sauti. Kwanini Halmashauri ya Jiji wanatoza ushuru wa stendi Tsh. 2000 kwa kila gari ilhali hakuna hiyo...
0 Reactions
2 Replies
97 Views
Anonymous
KERO 
25.6% ya makato kwa Madereva wa Tax Mtandaoni ni kutunyonya sana, hali hiyo inatuumiza Madereva wa Tax Mtandaoni tunanyonywa sana hasa Kampuni ya Bolt inakata kamisheni 25.6% katika kila safari...
0 Reactions
1 Replies
108 Views
Anonymous
KERO 
Huku Arusha kata ya Lemara mtaa wa Kikwakwaru B tuna shida ya maji yapata mwezi mmoja sasa hatuna maji kabisa! Tukapata taarifa kwamba kuna bomba limeharibika na linafanyiwa kazi lakini mpaka...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Walimu Ajira Mpya mwezi wa pili na watatu 2025 katika Wilaya ya Rorya mpaka sasa hatujadhibitishwa kazini, tukiuliza majibu hatupewi mazuri hatujui tatizo ni nini tunaomba ujumbe wetu ufike...
0 Reactions
1 Replies
123 Views
Anonymous
KERO 
Afisa Utumishi katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, mkoani Ruvuma anatumia Madaraka yake vibaya: Uhamishaji Watumishi Kinyume na Taratibu: Afisa huyo anahamisha watumishi wa umma bila kufuata...
0 Reactions
0 Replies
121 Views
Back
Top Bottom