KERO Threads

Management ya DAWASA na wafanyakazi wake wote mna roho za ajabu sana. Sijui mnataka tuishije bila maji. Mnatuchukulia poa sana. Mkijisikia njooni mrudishe Maji Mitaa ya Mbezi.
1 Reactions
2 Replies
90 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mtumishi wa Kada ya Afya katika Halmashauri ya Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, kwa zaidi ya miaka sita sasa nikiwa kazini, nimekuwa nikikumbana na changamoto kubwa zinazofanya watumishi...
1 Reactions
4 Replies
195 Views
Anonymous (fdc6)
KERO 
Habarii WanaJamiiForums. Changamoto na ni kero yangu kwenda kwa Wizara na Tume ya Ajira (Ajira Portal). Mimi ni kijana wa Kitanzania nimehitimu elimu yangu ya Form Four Mwaka 2018, pamoja na...
0 Reactions
5 Replies
277 Views
Anonymous
KERO 
TRA mfumo unakataa kufunguka hasa kwenye kipengele cha Innovation ambapo inasababisha watu kushindwa kushiriki Innovation Challenge licha ya muda wakumalizika hiyo challenge kukaribia ambapo...
0 Reactions
0 Replies
663 Views
Anonymous
KERO 
Nilikuwa napenda kuwasilisha changamoto yangu kubwa ni upande wa chuo ambacho nimesoma "Chuo cha Taifa cha Utalii/ National College of Tourism- NCT), tumekuwa na changamoto kubwa ya upataji wa...
0 Reactions
2 Replies
227 Views
Anonymous
KERO 
Wazazi wa wanafunzi wanaosoma Chuo cha sukari cha taifa (National Sugar Institute) cha kilombero tunawalipia pesa ya bima ya afya toka mwaka wa kwanza lakini hawapewi bima yoyote hadi wanakaribia...
0 Reactions
1 Replies
70 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa Ajira Mpya Kada ya Afya hadi leo hatujalipwa pesa zetu za kujikimu Halmashauri ya Wilaya ya Kahama na hakuna response yoyote hadi sasa tangu Januari 2026 na mwaka wa fedha unakaribia...
1 Reactions
1 Replies
87 Views
Anonymous
KERO 
Sisi Ajira mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, tuliajiriwa...
0 Reactions
1 Replies
147 Views
Anonymous
KERO 
Mamlaka zichukue hatua kuhusu hizi Apps za mikopo online imekuwa ni tabia ukiingia kukopa unaoneshwa unaweza kukopa mfano Shilingi 25,000 marejesho ni Shilingi 41,600 ndani ya siku 7 hiyo Interest...
2 Reactions
6 Replies
223 Views
Anonymous
KERO Responded 
Mkoa wa Mtwara, Mamlaka ya Maji Safi na Taka (MTUWASA) wakazi wa Mbae Mashariki, Manispaa ya Mtwara Mjini tumeomba tuunganishiwe huduma ya maji kwa muda mrefu bila mafanikio. Pamoja na juhudi za...
1 Reactions
0 Replies
132 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mhitimu wa mwaka 2020 katika fani ya Ufundi Magari (Motor Vehicle Mechanics – MVM). Kwa kweli, kuna nyakati najikuta nikijiuliza kwa uchungu sana—kwa nini nilichagua kusoma fani hii, hasa...
7 Reactions
39 Replies
713 Views
DodomaTZ
KERO Responded 
Hali ya vyoo katika Chuo Kikuu cha UDOM, hususan katika College of Natural and Mathematical Sciences (CNMS), imezidi kuwa mbaya kwa kiwango kinachotia wasiwasi mkubwa. Kwa zaidi ya mwezi mmoja...
1 Reactions
6 Replies
372 Views
Anonymous
KERO 
Halmashauri ya Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro hawalipi fedha za kujikimu, mtumishi anafika hadi mwaka kazini lakini hajawahi kupata kulipwa. Siku za nyuma walishatuambia tuandike barua za...
1 Reactions
4 Replies
118 Views
Technical Education in Engineering ni course inakuwa offered hapa chuo cha must Mbeya lakini mtaani haitambuliki marketing yake ni ndogo mno ni ngumu kupata ipo kwa wanafunzi wanaosoma Technical...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Anonymous
KERO Responded 
Mimi ni mmoja wa wananchi wa Kigoma niliyeamua kuvuta umeme nyumbani kwangu kwa mara ya kwanza kabisa. Nilifanya taratibu zote zinazotakiwa, nikalipia huduma, na juzi tu nikafungiwa mita yangu...
3 Reactions
6 Replies
241 Views
Anonymous
KERO 
1. Watumishi wapya wa 2024, wa Wizara ya Afya Kitengo cha Porthealth Services hawajathibitishwa kazini hadi leo na wanakaribia miaka miwili kazini, hali ambayo inawanyima haki yao ya kupata mkopo...
1 Reactions
3 Replies
114 Views
Anonymous
KERO 
Kwa muda sasa hatupatiwi call allowance,, Extra duty allowance hali inayopelekea kukosa morali ya kazi. Mara ya mwisho kulipwa ilikuwa mwezi wa 10/2025 nayo hayo malipo yalikuwa ya extra duty na...
0 Reactions
4 Replies
231 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mzazi niliye Arusha, mtoto wangu amehitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Mlangarini, iliyopo Arumeru. Nimejikuta kwenye hali ya sintofahamu na masikitiko makubwa kuhusu jambo...
1 Reactions
1 Replies
121 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni Mkazi wa Mwanza, nimesoma Course ya Mortuary Attendant. Course yetu huwa hutolewa kwa Certificate, hadi sasa tumefika wafanyakazi 200 wa fani hiyo lakini cha kushangaza Serikali imejenga...
0 Reactions
19 Replies
363 Views
Anonymous
KERO 
Habari Naomba kutuma kero ya kata ya 14 Temeke Dar-es -Salaam yadi ya malori mtaani ni kubwa, yanapaki magari mbele ya nyumba za watu na magari hayo Hayo yanakata wire za umeme.. Maafisa wa...
0 Reactions
0 Replies
203 Views
Back
Top Bottom