Sisi Wananchi wa Kata ya Kigogo Fresh B, Mtaa wa Golani kwa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda Wilaya ya Ilala mkoani Dar es Salaam tunachangamoto ya umeme.
Mpaka leo nyumba takribani mia mbili...
Tunaomba sana wahusika watutatulie kero ya usafiri katika eneo la NATTA jijini Mwanza. Mimi binafsi napitia eneo hili mara kwa mara, na hali ya foleni imekuwa mbaya sana. Pale kuna vituo viwili...
Ninaomba kwa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, hasa upande wa TEHAMA (ICT), wawe wanapokea na kushughulikia kwa wakati barua pepe (email) tunazotuma.
Inasikitisha kwamba unatuma...
Tangu Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Katavi kuanza kazi ya kuhudumia umma haijawahi kuwa na chumba cha kuhifadhia maiti (Mochwari), hay ani maajabu, taasisi kubwa tena ya rufaa na hadhi ya mkoa...
Wanafunzi ambao tumesoma Bachelor of Technical Education in Mechanical Engineering, Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya (MUST) tumeshindwa kusajiliwa na Engineers Registration Board(ERB)...
Katika maeneo mengi ya Bunju, kumekuwa na changamoto ya magari ya taka kutopita kuzoa taka kwa wakati, jambo linalosababisha taka kuzagaa mitaani bila mpangilio.
Kwa sasa, ni takribani mwezi...
Wasalaam bandugu.
Naona tujadili hili suala la kamari ya raia wa kigeni "mchina" alias "GUDUGUDU" kwa mtazamo huu..
Uchumi unatuambia muamala unafanyika pale uzalishaji au huduma inapotolewa...
Nimepita kwa mara kadhaa eneo la Kawe, mkabala na nyumba mpya za Shirika la Nyumba la Taifa (NHC). Pembeni mwa barabara inayoelekea Maringo, karibu na msikiti, kuna uchafu uliorundikwa kwa muda...
Kwa siku sita sasa, wakazi wa Buza tunaendelea kuishi katika mazingira hatarishi baada ya taka kurundikana katika maeneo mbalimbali bila kuondolewa na mamlaka husika.
Gari la kukusanya taka...
Nimefatilia cheti changu cha kuzaliwa na cha ndoa kwa muda wa mwezi na nusu sasa, leo nimeambiwa cheti cha ndoa kiko tayari nikifate nikaomba ruhusa kazini na nilipofika nikaambiwa kuna mtu...
NAOMBA UFICHUE UOVU DHIDI YA BI. NISILE MWAKALINGA - AFISA RASILIMALI WATU, TANESCO MKOA WA MANYARA
Mimi ni mtoa taarifa mwenye nia njema, naomba uchunguzi wa kina ufanyike dhidi ya Afisa...
Mimi ni Mkazi wa Mpigi Muheza Kata ya Maili moja! Tunachangamoto ya maji, tuna mabomba huu Mwaka wa 3 lakini kama unavyoona kwenye hiyo picha ndani ya miaka mitatu yote nimetumia Unit 28.
Tuna...
Kumekuwa na dharau nyingi zinazofanywa na madereva wanaotumia barabara ya kutoka Mbalizi kuelekea Tunduma.
Madereva hao wamekuwa waki-overtake bila kuchukua tahadhari, na mara nyingi wanafanya...
Nina jambo ambalo linaumiza sana aisee, ni kuhusu Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kwenye Kifurushi cha Toto Afya ambayo kinalipiwa Shilingi 150,000/=.
Mtoto wangu amezaliwa na tatizo la...
Kuna baadhi ya baa zinapiga mziki hadi usiku wa manane, sanasana maeneo ya Kinondoni ambapo zipo katikati ya makazi ya watu.
Je, mamlaka zimefuta ile Sheria ya mwisho saa sita usiku au kwa sasa...
Naomba kuwasilisha kilio cha wafanyakazi wa afya kutoka mikoa ya pembezoni kama Kigoma, Mara, Kagera, na Katavi, ambao wamepata nafasi ya kujiendeleza kimasomo lakini wanakutana na changamoto...
Wakazi wa Wilaya ya Ubungo, Kata ya Baruti Mtaa wa Docha, Shina Namba 7 tuna kero kubwa kuhusu uwepo wa Kanisa (El Bethel Church) lililojengwa kiholela katikati ya makazi ya watu bila kuwa na...
Kero yangu ni suala la uhamisho Halmashauri ya Mji Handeni limekuwa kama vita, maboss wanakalia barua za Watumishi za uhamisho kuhama imekuwa kipengele kikubwa hapo.
Kero yangu ni kuhusu ajira katika kampuni binafsi. Nimefanya kazi kwenye kampuni inayoitwa Temboking Limited, lakini sikuwa na mkataba wa ajira licha ya kukatwa makato ya NSSF kama kawaida. Hii...
Sisi Wananchi wa Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna malalamimo juu ya upatikanaji wa Vyeti vya Kuzaliwa katika Ofisi ya Uwakala wa Usajili wa Matukio ya Kijamii, ukihitaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.