Mimi ni mwanafunzi wa Open University of Tanzania (OUT) na pia ni kiongozi wa serikali ya wanafunzi katika chuo hicho.
Ninapenda kuwasilisha changamoto kubwa inayohusu uendeshaji wa serikali ya...
Hapa terminal ya Kivukoni Bus ikitoka Kimara lazima dereva apaki kwa dakika 10 au 20 bila sababu za msingi wakati abiria wapo wa kutosha na kusababissha usumbufu kwa watumiaji. Madereva badilikeni
Maeno haya yamekuwa na ukosefu wa maji kwa muda mrefu licha uwepo wa miradi mikubwa ya maji kuzunguka maeneo husika.
Hali hii inaathiri sio tu wananchi wa maeneo hao bali pia taasisi za elimu...
Sisi Tumeomba mikopo ya halmashauri kupitia mfuko WA vijana,wanawake, wazee na walemavu maarufu kama mikopo ya Asilimia 10% ,Tangu Mwaka Jana mwezi wa nane lakini Hadi Leo hakuna dalili za...
Mikopo ya vijana, wanawake na watu wenye ulemavu imeanzishwa kwa lengo jema, hasa katika kipindi hiki ambacho changamoto ya ajira imekuwa kubwa nchini. Mfumo huu umekuwa msaada muhimu kwa wengi...
Mkeka wa ajira ulitoka Januari 19 mwaka 2026. Hadi kufikia februari 10 mwaka huu waajiriwa wapya wote walikuwa wameripoti kazini.
Halmashauri ya Ushetu mpaka sasa haijalipa posho ya kujikimu kwa...
Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule ya sekondari ya wasichana ya 'Competence Girls' Islamic Seminary ' iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam wameendelea kutoa...
Ni zaidi ya mwaka sasa tangu walimu tuliopata ajira mwaka 2025 turipoti kazini, lakini bado hatujalipwa fedha za kujikimu ambazo ni stahiki ya kila mtumishi wa umma. Kwa mujibu wa taratibu za...
Kuna kozi za education zinatutesa sana. Kozi hizi nyingi zinatolewa UDOM.
Mfano bachelor of education in psychology, education in administration and management, education in policy planning...
Wananchi tunaoishi Moshono Arusha tunapata sana shida ya usafiri wakati wa asubuhi tunapoenda kwenye shunguli zetu na jioni tunaporudi majumbani.
Hali hii imechangiwa na baadhi ya madereva wa...
Jeshi la Polisi pamoja na mamlaka nyingine zinazohusika na usalama barabarani zinapaswa kuongeza usimamizi na ukaguzi hasa nyakati za usiku. Kumekuwa na baadhi ya madereva wa daladala wanaotumia...
Mimi ni mtumishi wa Afya, Afisa Tabibu mwajiriwa wa serikali.
Naomba ujumbe huu uwafikie Baraza la Famasia Tanzania.
Je! Kwanini Mimi mtumishi wa Afya ninapotaka kufungua Duka la Dawa Muhimu...
Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu kutokuwepo kwa maafisa wa mfumo wa Ajira Portal katika ofisi za Kivukoni, Dar es Salaam, jambo ambalo linasababisha usumbufu mkubwa kwa waombaji wa kazi...
Mimi ni Mtumishi wa Serikali Kada ya Afya nipo Uyui Mkoani Tabora, nina maoni ambayo pia ni kama kero kwangu na kwa Watu wengi kuhusu mchakato wa Uhamisho wa Njia ya Online kwa Watumishi wa...
JamiiForums, tunaomba utusaidie kupaza sauti zetu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa maji inayowakabili wakazi wa Misongeni A (Misongeni Juu, eneo la Msikitini).
Tumekuwa tukikosa huduma...
Tunapenda kuwasilisha kero yetu kama wanafunzi wa masomo ya Ubingwa na Ubingwa Bobezi katika Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS).
Wakati wa kujiunga na masomo...
Kero yetu sisi walimu wa kujitolea au wa mkataba katika shule za msingi kupitia mradi wa gpe, ambao tuliletwa na tamisemi. tupo nchi nzima, lakini mpaka sasa hatujalipwa. mara ya mwisho kulipwa...
Ninaomba kuwasilisha ombi kwa Serikali kuhusu hali ya miundombinu katika Shule ya Msingi Bumu iliyopo Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Mvomero, Tarafa ya Mgeta, Kata ya Langali, Kijiji cha Bumu.
Hii...
Sisi ni watumishi wa afya katika Nkaiti Health Center, iliyopo Minjingu, Halmashauri ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, eneo la ndani karibu na Hifadhi ya Tarangire.
Tunaomba sana msaada wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.