KERO Threads

Anonymous
KERO 
Ninaomba kuwasilisha ombi kwa Serikali kuhusu hali ya miundombinu katika Shule ya Msingi Bumu iliyopo Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Mvomero, Tarafa ya Mgeta, Kata ya Langali, Kijiji cha Bumu. Hii...
1 Reactions
3 Replies
179 Views
Anonymous
KERO 
Sisi ni watumishi wa afya katika Nkaiti Health Center, iliyopo Minjingu, Halmashauri ya Wilaya ya Babati, Mkoa wa Manyara, eneo la ndani karibu na Hifadhi ya Tarangire. Tunaomba sana msaada wa...
2 Reactions
1 Replies
97 Views
Anonymous
KERO 
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayowakumba watumishi wa umma, hususan wa ajira ya mwaka 2015 kada ya elimu katika baadhi ya halmashauri, nikitolea mfano Wilaya ya Lushoto. Kumekuwa na tatizo la...
0 Reactions
0 Replies
118 Views
Anonymous
KERO Responded 
OMBI LA UCHUNGUZI WA HARAKA KUHUSU IGUWASA Tunaziomba Wizara ya Maji, Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji, Mheshimiwa Waziri wa Maji, Ofisi ya Waziri Mkuu, TAKUKURU na mamlaka nyingine husika kufanya...
1 Reactions
0 Replies
300 Views
Anonymous
KERO 
Suala hili kiukweli linaumiza sana. Kulikuwa na amri ya kubomoa Kitalu namba 13, ambacho kiko upande wa nyuma na kilikuwa ni eneo la wazi lililovamiwa. Nyaraka zote za serikali, maamuzi ya...
3 Reactions
0 Replies
150 Views
Kawe Ukwamani, licha ya kuwa eneo lenye shughuli nyingi za biashara, maduka yanayotoa huduma mbalimbali zinazotegemewa na jamii pamoja na maeneo ya vyakula, linakabiliwa na changamoto kubwa ya...
2 Reactions
15 Replies
259 Views
Hivi hawa jamaa wanajiamini sana! Kiasi kwamba wanaweza kuvunja sheria za mamlaka. Hapa maeneo ya Zakhem Mbagala kuna maroli yanapaki kuanzia service road, barabara ya waenda kwa miguu, mpaka...
4 Reactions
6 Replies
185 Views
Anonymous
KERO 
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu hali mbaya ya miundombinu katika Shule ya Sekondari ya Pendamoyo Secondary School, iliyopo Temeke Municipal, mtaa wa Pendamoyo (ukitokea Sokota kuelekea Msikiti wa...
1 Reactions
4 Replies
139 Views
Anonymous
KERO 
Ninaomba kuwasilisha kero yangu kuhusu suala la uhamisho kwa watumishi wa umma, hususan kada za ualimu na afya. Kwa muda sasa, uhamisho umekuwa changamoto kubwa na kama janga kwa watumishi wengi...
0 Reactions
2 Replies
142 Views
Anonymous
KERO 
Shule ya Msingi NANJANGA iliyopo kata ya Ngunja Halmashauri ya Tandahimba haina nyumba ya mwalimu kitu ambacho kinalazimika mwalimu mkuu kulala ofisini. Muda wa kazi ukiisha, ofisi inageuzwa kuwa...
0 Reactions
2 Replies
80 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa ajira mpya wa Januari 2026 katika Halmashauri ya Wilaya ya Nzega (Nzega DC) bado hatujalipwa fedha za kujikimu hadi leo. Kinachotushangaza ni kwamba baadhi ya watumishi, hususan wa...
0 Reactions
0 Replies
83 Views
Anonymous
KERO 
Kuna Watumishi wa Wizara ya Maji wanaolalamikia kutokudhibitishwa kazini licha ya kuwa wamekaribia kutimiza miaka miwili tangu waajiriwe. Watumishi hao wanasema hawaelewi sababu ya kucheleweshewa...
0 Reactions
1 Replies
126 Views
Anonymous
KERO 
Wazazi na wanafunzi tunalalamikia tabia ya baadhi ya walimu wa Shule za Msingi Gmhasa iliyopo Ilala, Dar es Salaam kuwashinikiza watoto kuhudhuria shule siku za mwisho wa wiki (Jumamosi), pamoja...
2 Reactions
7 Replies
155 Views
Anonymous
KERO 
Wadau, wakiwemo baadhi ya wazazi wa wanafunzi katika shule moja ya sekondari ya wasichana iliyopo Wilaya ya Kigamboni, Mkoa wa Dar es Salaam (jina linahifadhiwa), wametoa wito kwa mmiliki wa shule...
0 Reactions
4 Replies
148 Views
Anonymous
KERO 
Chuo cha Afya cha Chato ada yake ni Shilingi 1.7M kwa Kozi za Clinical Dentistry na Radiography wakati vyuo vingine vya serikali ada ni Shilingi 1.2M maximum, kwanini chuo hicho kiwe na ada kubwa...
0 Reactions
3 Replies
123 Views
Anonymous
KERO 
Kutoka Jiji la Mbeya, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa baadhi ya wazazi kuhusu shule za msingi zinazowatoza wanafunzi wa madarasa ya mitihani (Darasa la Nne na Darasa la Saba) fedha kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
102 Views
Anonymous
KERO 
Habari, Mimi ni mdau wa huduma za kifedha na napenda kuwasilisha changamoto inayowakabili wateja wa Benki ya NBC Tawi la Tunduma. Kwa sasa, tawi hilo lina upungufu mkubwa wa watumishi, hususan...
1 Reactions
2 Replies
102 Views
Anonymous
KERO 
Waajiriwa wapya katika Halmashauri ya Wilaya ya Rorya, mkoani Mara. Tumeajiriwa tangu tarehe 18 Januari, 2026 lakini hadi sasa hatujalipwa kabisa pesa za kujikimu. Hali hii inatupa wakati mgumu...
0 Reactions
3 Replies
99 Views
Vibali vya kazi vinavyotolewa na mfumo wa Taesa haupo sirias mda mwingi kuja system error na hata pia huchkua muda mrefu kupata kibali mbali na mhusika kashakamilishamilisha mahitaj viambata na...
0 Reactions
0 Replies
103 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mmoja wa walimu waliopata uhamisho katika Halmashauri ya Wilaya ya Nanyumbu, mkoani Mtwara. Uhamisho wa kwanza ulifanyika mwezi Desemba 2023 kwenda shule mpya za Mkapa Wasichana Sekondari...
0 Reactions
2 Replies
93 Views
Back
Top Bottom