Makanisa ya kiprotestanti, pentekoste maarufu walokole mengi yamejengwa katikati ya makazi ya watu.
Siku za ijumaa kuanzia jioni wanapiga mziki mkubwa sanaa, wanaongea kwa vinasa na vikuza...
Kuna bomba la maji limepasuka Arusha Kata ya Oloiren Mwanama Reli Kibaoni.
Taarifa ilitolewa tangu mwezi mei kwa simu lakini mpaka leo hakuna hatua zozote zimechukuliwa.
Maji yanavuja na...
Kwa muda mrefu sasa benki ya NMB tawi la Chamwino dirisha linalotumika kutoa huduma ni moja tu wakati kuna madirisha mawili ila moja halina mhudumu kwa muda mrefu sasa.
Hali hii inasababisha...
Ndani ya Rock City Mall Mwanza kuna kero ya kupigiwa muziki mkubwa wakati wa usiku kucha, tunaoishia maeneo yanayoizunguka Mall hiyo, yaani kirumba, Kitangiri na Ghana kelele hizo zimekuwa kero...
Wahitimu wa Chuo cha Kilimanjaro College of Health and Allied Science (KICHAS) hatujapata vyeti lakini tukiulizia wanasema chuo chetu kilisahaulika.
Wahitimu wa Mwaka 2025, tumeuliza uongozi wa...
Uandikishaji ulifanyika kwa siku saba kwa kupita kaya kwa kaya lakini wamelipwa kiasi cha sh. 50000 tu. kwa siku hizo zote.
Tunaomba katibu mkuu wizara ya Afya atolee ufafanuzi suala hilo, Kwan...
Sisi wataalamu wa maabara(certificate hadi degree) nchini Tanzania ambao tulifanya Mtihani wa Leseni kuanzia march 15 hadi april 01(certificate hadi degree) tumecheleweshewa kupewa matokeo kwa...
Wakazi na mashabiki mbalimbali wamekuwa wakilalamikia hali ya huduma katika Uwanja wa CCM Kirumba uliopo jijini Mwanza, Tanzania wakisema kuwa ukosefu wa vyoo vya kutosha ndani ya uwanja huo...
Habari jamii forums Kuna changamoto ya kupanda kwa mbolea húsusan hizi za ruzuku na wakulima hatujapata taarifa yoyote.
Je, serikali imeondoa ruzuku katika mbolea za ruzuku bila kutoa taarifa kwa...
KILIBA , TAHLISO, MAMA ASEMEWE - Iacheni DIT Kama TAASISI YA ELIMU YA JUU YA TEKNOLOJIA haiwezi Kuwa TAASISI YA KICHAWA
Majuma ya hivi karibuni yamekuwa na kipindi Cha ajabu Kwa sura ya Siasa ya...
MASWA: Zaidi ya miaka 16 tangu kuanzishwa kwake kwa lengo la kuwa hatua ya mpito kuelekea Halmashauri ya Mji, Mamlaka ya Mji Mdogo wa Maswa imeendelea kukumbwa na changamoto za kiutendaji, kifedha...
Watumishi wa ajira mpya Kada ya Afya Wilaya ya Uyui Mkoani Tabora hatujapewa pesa yetu ya kujikimu na uongoz wanajibu halmashauri haina mfuko mkubwa wa mapato tuendelee kusubiri ikiwa Serikali...
Naomba kujua hvi taifa letu like limekuwa dhaifu kiasi ambacho tumeshindwa kutatua changamoto ya mtandao kwenye sekta muhimu kama uhamiaji?
Mfano: Ofisi ya uhamiaji morogoro inaweza kukaa wiki au...
Mimi na wenzangu ni watumishi wa afya, ajira mpya, katika Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo. Tumeanza kazi tukiwa na matumaini makubwa, lakini kwa sasa tunapitia changamoto kubwa sana kuhusu fedha...
Watumishi wa RUWASA ambao tulikua kitengo cha uchimbaji mpaka leo hatuelewi hatima yetu ni nini, kwani toka tusikie kwamba Idara ya Uchimbaji imeondolewa RUWASA na kupelekwa Ofisi za Bonde, na...
Ajira mpya wa Halmashauri ya wilaya ya Same hadi leo hawajalipwa fedha zao za kujikimu, wengine wana mwaka, wengine wanakaribia mwaka lakini hakuna malipo ya fedha zao kujikimu na ni haki yao hata...
Ajira Mpya 2025 Simiyu Itilima DC hatujalipwa pesa za kujikimu mwaka sasa, tukiuliza tunaambiwa tupo kwenye mpango na kuonekana watovu wa nidhamu kama vile sio stahiki zetu.
Ajira Mpya 2026 Ruvuma - Namtumbo Kada ya Afya hatujapewa fedha ya kujikimu
Ajira Mpya 2026 tuliopo Ruvuma Namtumbo Kada ya Afya hatujapewa fedha ya kujikimu ila kada zingine wamepata pesa zao...
Sisi Ajira Mpya kutoka Halmashauri ya Wilaya Kwimba, Mkoa wa Mwanza tuna karibia miezi sita sasa tangu tuajiriwe, lakini kila tukiulizia kuhusu fedha za kujikimu hatupewi jibu lolote, hii hali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.