KERO Threads

Anonymous
KERO 
Habar za wakati huu.!Mimi ni mdau na mwananchi na mtumishi katika taasisi ya serekali kero yangu ni moja hasa katika Wilaya ya Handeni katika Halmashauri ya Mkata(handeni)Watumishi wa hapa...
0 Reactions
5 Replies
135 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Mtaa wa Kambarage, Manispaa ya Shinyanga. Ninaomba kufikisha kilio chetu kuhusu hali mbaya ya usafi ambayo imekuwa ikitusumbua kwa muda sasa kutokana na mrundikano wa taka...
0 Reactions
1 Replies
91 Views
Anonymous
KERO 
LISTRAM GROUP OF COMPANIES, CASHEW NUT BOARD OF TANZANIA (CBT) NA AGRICULTURAL MARKETING COOPERATIVE SOCIETY (AMCOS) WALIPENI WAKULIMA PESA ZAO, ACHENI DANADANA. Bado sintofahamu inaendelea...
3 Reactions
10 Replies
179 Views
Habari wanajukwaa. Kwa mujibu wa muongozo wa serikali wa uhamisho wa kawaida kwa watumishi wa serikali ni kwamba mamlaka yoyote inayotaka kuhamisha mtumishi ni lazima ijiridhishe kwanza ina fungu...
1 Reactions
1 Replies
233 Views
Anonymous
KERO 
Walimu wa Sekondari wa Halmashauri ya Nanyumbu, Mtwara tuliohamishiwa kwenye Shule Mpya na Shule za Advanced Mwaka 2024 (mfano: Mkapa Girls, Rukumbi, Nangomba na Nanyumbu) hatujamaliziwa malipo ya...
0 Reactions
1 Replies
112 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa Halmashauri ya Ushetu, Wilaya ya Kahama, tumekuwa tukikumbana na changamoto ya kubadilishiwa vituo vya kazi bila kufuata taratibu stahiki. Aidha, watumishi wanaohamishwa hawapewi...
2 Reactions
3 Replies
123 Views
Anonymous
KERO 
Kuna changamoto katika Nanyumbu District Council inayohusu ucheleweshaji wa malipo ya gharama za uhamisho kwa watumishi, hususan walimu wa sekondari. Hali hii imekuwa ikileta usumbufu mkubwa kwa...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Anonymous
KERO 
Watumishi wa afya Babati tunahamishwa sana tena kwa kushtukizwa lakini hatupewi stahiki zetu za uhamisho, inatakiwa ulipwe ndio uhamishwe kwenda kituo kingine lakini tunashinikizwa kuhamishwa na...
3 Reactions
15 Replies
427 Views
Anonymous
KERO 
Habari! Naomba kuwasilisha kero hii. Mimi pamoja na wataalamu wenzangu wa maabara tulifanya mtihani wa leseni tangu mwezi wa tatu (March) mwaka huu lakini hadi hivi sasa matokea hayajatoka hali...
0 Reactions
4 Replies
144 Views
Anonymous
KERO 
Napenda kuwasilisha changamoto ambayo imekuwa ikiwakabili baadhi ya watumishi wa umma wanaotafuta uhamisho kutoka taasisi moja kwenda nyingine kwa kufuata taratibu zilizowekwa. Katika hali yangu...
3 Reactions
4 Replies
510 Views
Shimo kubwa lililopo katikati ya barabara eneo la Shekilango mara tu baada ya tuta, limeendelea kuhatarisha usalama wa watumiaji wa barabara. Kutokana na ukubwa wake madereva hulazimika kulikwepa...
1 Reactions
9 Replies
195 Views
Habari ,naomba kufichua uovu kuhusu Bar inayoitwa G Seven iliyopo mkoani Mwanza sehemu inaitwa Darajani Kata ya mkolani , Bar hiyo imekuwa ikipiga muziki usiku kucha Kwa sauti ya juu Jambo...
0 Reactions
0 Replies
67 Views
Anonymous
KERO 
Ofisi ya RAS Mkoa wa Mara inakaa na maombi ya uhamisho ya watumishi zaidi ya wiki mbili sasa bila kuyapitisha kwenye mfumo wa ESS. maombi yangu ya uhamisho toka tarehe 1/6/2026 hadi leo bado...
1 Reactions
6 Replies
276 Views
Wahusika wa huduma ya ttcl faiba hamtendi haki. Toka Jumapili Asubuhi hakuna huduma maeneo ya Chang'ombe maduka mawili. Inafikirisha sana. Labda mnataka wateja wahamie kwa kampuni zingine. Hili...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Nimeshangaa sana hapa Dodoma kuna barabara nimepita ina mashimo mengi sana makubwa kama mahandaki katikati ya barabara na pembezoni ambayo hayajafunikwa! Hii ni hatari sana kwa vyombo vya usafiri...
1 Reactions
5 Replies
106 Views
Anonymous
KERO 
Kwanza kabisa TTCL ni shirika la umma, linaendeshwa kwa kodi zetu sisi wananchi. Pili, admin wote wa social networks ikiwa ni pamoja na Facebook wanalipwa mshahara kutokana na kodi zetu sisi...
2 Reactions
4 Replies
230 Views
Viongozi hawajatolea ufafanuzi wakina kwanini fedha hazijawafikia walengwa na wako kimya tokea fedha hizo zilipoingiwa katika halmashauri yetu ya Nyasa baada ya kuzipokea mamlaka imekaa kimya hadi...
0 Reactions
2 Replies
51 Views
Anonymous
KERO 
HWilaya ya Uyui haijalipa posho za kujikimu kwa ajira mpya huku viongozi wakitoa sababu zisizo na msingi. Mara pesa haijaletwa na serikali, ilivyoletwa wakatumiwa barua ya TAMISEMI wanajibu tu...
0 Reactions
0 Replies
36 Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa Kijiji cha Manga, Mkoa wa Singida, tunaomba msaada wenu kuhusu changamoto kubwa ya upatikanaji wa huduma ya maji, tumefikisha takribani miezi miwili bila kupata huduma ya maji. Hata...
0 Reactions
4 Replies
104 Views
Back
Top Bottom