KERO Threads

Nimeomba clearence certificate polisi ni takriban miezi minne mpaka sasa hivi sijapata.Hili jeshi letu itabidi lijitathmini aisee vitu vidogo kama hivi kweli vinachukua miezi kupatikana.
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Wakuu kwenye hii barabara ya kwenda Ubungo Makoka kupitia kwa Mzee wa Upako, kuna kipande kama mita 300 kinaongezwa kwa kiwango cha lami inaenda miezi minne mpaka sasa hakijamalizika. Jamaa...
3 Reactions
11 Replies
936 Views
Manispaa ya Morogoro eneo la mjini mzunguko (roundabout) ilipokuwa stand ya zamani zinapoanzia barabara za: 1. Boma Road 2. Korogwe Road 3. Old Dar es Salaam 4. Barabara iendayo Soko kuu la...
4 Reactions
14 Replies
771 Views
Wafanyakazi wa TRA ofisi za Sido & Mwanjelwa mnakera sana wateja wenu. Watu tumeacha shughuli zetu ili tuje tulipe hizo kodi mnazozihitaji lakini huduma zenu zimekuwa mbovu sana. Wahudumu...
1 Reactions
12 Replies
964 Views
Anonymous
KERO 
Siku hizi kumekuwa na shida sana ya mitandao ya simu na inaleta kero na hasara kubwa sana kwa sisi watumiaji. Hasa mtandao wa Vodacom unakuta huwezi kupiga simu wala kutuma meseji. Sasa najiuliza...
1 Reactions
2 Replies
321 Views
Kurunzi
KERO Responded 
Nikiwa kama Mdau mkubwa wa mtandao wa Manunuzi ulianzishwa wa Nest badala wa ule wa Taneps wa awali, nikiri huu wa NEST ni majanga. Nikweli mtandao wa Taneps ulikuwa unachangamoto zake lakini pia...
1 Reactions
3 Replies
934 Views
Mimi ni Mkazi wa Kaskazini Unguja, huku kwetu baadhi ya Watu ambao maeneo yetu yalichukuliwa kwa ajili ya uwekezaji wa Bandari ya Mafuta na Gesi hatujapata fidia. Hadi kufikia leo hii Oktoba...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Nimekua nikiona mara kadhaa watu wakilalamika taarifa za mawasiliano yao kwa simu kuvuja, ikiwemo ya sauti, sms na mara nyingine hadi whatsapp. Nimekua nikijiuliza sana kuwa ni rahisi kiasi gani...
1 Reactions
2 Replies
427 Views
OLAMS ya Bodi ya Mkopo haikubali kukamilisha kutuma maombi kwa njia ya mtandao. Mwanafunzi amejaza kilakitu na ameambatanisha kila kitu lakini mfumo huo uko doro kabisa. Kiasi wametafutwa...
1 Reactions
1 Replies
546 Views
Viongozi wanaohusika kusimamia watumishi wa UMMA jaribuni kuwatendea haki watumishi wenu, kupata barua ya uhamisho kutoka Wizara ya UTUMISHI imekuwa kero sana. Taratibu za mtumishi kufuata ili...
3 Reactions
12 Replies
3K Views
Anonymous
KERO 
Watu wa Shirika la Nyumba (NHC) Arusha mradi wa SAFARI CITY wanakera, tokea tulipe mwaka jana Oktoba hadi leo ni takriban mwaka sasa tunazungushwa kupewa viwanja vyetu na hati zetu hadi leo kwa...
1 Reactions
1 Replies
390 Views
Nimejiuliza sana kuhusu mazingira ya hivi vyoo, hata kama ndio tunatumia watu wengi, ndio washindwe kuweka mazingira vizuri kwa kiwango hiki? Jionee mwenyewe, vyoo “vimekomaa na uchafu” humu...
1 Reactions
8 Replies
723 Views
Taa za kuongoza magari katika barabara kuu iliyopo eneo la friend's corner jijini hapa ambapo ni mita chache kutoka stand kubwa ya mabasi ya mikoani hazifanyi kazi kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa...
1 Reactions
44 Replies
2K Views
Nimekuwa nikipita mara kwa mara hili eneo la Kona ya Nairobi hapa mitaa ya Arusha ninachokutana nacho ni kuwa taa hizi hazifanyi kazi, sijui kama kuna muda huwa zinawaka au ni mimi tu nashindwa...
2 Reactions
2 Replies
716 Views
Ni siku ya 3 sasa mfumo wa manunuzi wa serikali NeST unasumbua (haupatikani). Je hii ndio ile kuthibitisha kuwa Watanzania hakuna jambo tunaloliweza.? Ikumbukwe kuwa mfumo huu unamilikiwa 100% na...
4 Reactions
13 Replies
1K Views
Naomba msaada ndugu zangu nimekuwa nikihitaji Kufanya marekebisho ya namba ya NIDA tangu mwaka Jana mwezi Novemba, katika ofisi Moja Bariadi requirements zote nilikamilisha mpaka malipo ya...
0 Reactions
1 Replies
331 Views
Kuna maeneo katika Jiji la Dar es Salaam unakutana na foleni lakini ukifuatilia kwa umakini kuna wakati unagundua kuna uzembe wa uwajibikaji na kukosekana kwa ubunifu kwa baadhi ya watendaji...
1 Reactions
1 Replies
390 Views
Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji. Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi...
0 Reactions
2 Replies
410 Views
Anonymous
KERO 
Kuna uzembe mno katika utoaji wa huduma, nishaenda pale zaidi ya mara tatu hakuna dawa unaambiwa ukanunue, sio dawa kama hazipo, nishawahi liamsha pale kutaka kupiga hadi simu kwenye mamlaka za...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Anonymous
KERO 
Naomba mtusaidie kuhusu NHIF hasa kwa wanafunzi wa MUST. Muda wa kadi umeisha tarehe 8/10/2024, wanasema hawawezi kutoa control number hadi matokeo ya sup yatoke, sasa kwa hiki kipindi sisi wateja...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Back
Top Bottom