KERO Threads

Kuna maeneo katika Jiji la Dar es Salaam unakutana na foleni lakini ukifuatilia kwa umakini kuna wakati unagundua kuna uzembe wa uwajibikaji na kukosekana kwa ubunifu kwa baadhi ya watendaji...
1 Reactions
1 Replies
390 Views
Kuna tatizo la maji katika jiji la Arusha eneo la Njiro tangu jana mchana mpaka leo. Sijui kama ni kwa eneo ambalo nafanyia kazi au na maeneo mengi ya jiji. Hebu mamlaka husika ilifanyie kazi...
0 Reactions
2 Replies
410 Views
Anonymous
KERO 
Kuna uzembe mno katika utoaji wa huduma, nishaenda pale zaidi ya mara tatu hakuna dawa unaambiwa ukanunue, sio dawa kama hazipo, nishawahi liamsha pale kutaka kupiga hadi simu kwenye mamlaka za...
0 Reactions
1 Replies
288 Views
Anonymous
KERO 
Naomba mtusaidie kuhusu NHIF hasa kwa wanafunzi wa MUST. Muda wa kadi umeisha tarehe 8/10/2024, wanasema hawawezi kutoa control number hadi matokeo ya sup yatoke, sasa kwa hiki kipindi sisi wateja...
0 Reactions
1 Replies
351 Views
Kama umewahi kufika Dodoma utakubaliana na mm kuwa kuna kero ya nzi wengi sana kila sehemu hasa wanaouza vyakula na kwenye msongamano wa watu, nzi ni mdudu mchafu sana Pia soma: Kwanini maeneo...
1 Reactions
11 Replies
646 Views
Ndugu wanajamii, Nimechoshwa na uzembe unaofanywa na Idara ya Uhamiaji Tanzania hasa kwenye masuala ya utoaji wa huduma kwa wateja. Kwanza kabisa, hakuna namba maalum ya huduma kwa wateja ambayo...
1 Reactions
2 Replies
535 Views
Akina mama Morogoro waandamana na madumu matupu wakidai maji Wataka Mama Samia awasaidie Kiongozi wa maji asema hajui kama wana kero Waziri wa maji upo na Wizara ya Maji mpo? Pia soma Waziri...
0 Reactions
3 Replies
629 Views
Precious Diamond
KERO Responded 
Wakuu kwema? Leo ni siku ya tatu Mbezi Beach kwa Zena mtaa wa Mbezi Beach B hatuna maji. Hakuna taarifa yoyote tuliyopewa juu ya mgao huu, mnafikiri tuko kwenye mazingira gani DAWASA? Ni kama...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa kijiji cha Uhindi, kata ya Uyowa, wilaya ya Kaliua, mkoa wa Tabora, kero yangu ni kuwa hapa kijijini kuna mradi wa maji kwa ufadhili wa Benki ya Dunia. Mradi huu kwa sasa...
0 Reactions
2 Replies
435 Views
Anonymous
KERO 
Ma agent wa mabasi hasa yamikoani wanatoza abiria nauli ambazo ni kinyume na nauli elekezi. Kwa mfano Nauli rasmi kutoka mkoani Gieta kwenda Kibondo (kigoma) kupitia nyakanazi ni Tshs. 17000/=...
0 Reactions
4 Replies
763 Views
Wasalaam. Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika. Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great...
5 Reactions
19 Replies
1K Views
Wakuu kwema, Nilikuja na uzi hapa baada ya kukosa maji karibu siku 5 bila taarifa yoyote, baada ya malalamiko kupelekwa Insta maji yakaanza kutoka, lakini toka yaanze kutoka presha ni ile ile...
0 Reactions
10 Replies
606 Views
Anonymous
KERO 
Nina wadogo zangu wawili mmoja kahitimu SUA, mwingine T.I.A, hawa wote walilipa ada mwanzo, baadae walifanikiwa kulipiwa ada na Board ya mikopo. Hivyo walipaswa kurejeshewa zile Ada walizo lipa...
1 Reactions
1 Replies
260 Views
MWAUWASA( Mwanza Nyamagana ) acheni wizi kubambikizia bili za Maji Wateja na urasimu kwenye mchakato wa kuunganishwa Huduma ya Maji. Inaumiza wananchi au mnataka wananchi waingie barabarani kama...
0 Reactions
1 Replies
367 Views
Kwa miezi ya karibuni bili za maji kwa wateja wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) zimekuwa juu mno na hatujui ni sababu gani. Mimi nafikiria gharama ya maji...
0 Reactions
3 Replies
511 Views
Anonymous
KERO 
Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza, haina hata kilometa ya lami, haina miradi yoyote ya maji. Imetelekezwa. Wananchi waomba kuhamia nchi ingine. Mbunge hajasadia chochote.
2 Reactions
1 Replies
214 Views
Anonymous
KERO 
Tunaandika ujumbe huu tukiwa na huzuni ya kiwango cha hali ya juu kutokana na yake tunayopitia, sisi ni wastaafu tuliokuwa Watumishi wa Umma ndani ya Wizara ya Ulinzi, tumefanya kazi kwa vipindi...
1 Reactions
9 Replies
799 Views
Anonymous
KERO 
Sekta Binafsi, Makampuni binafsi baadhi hawaweki pesa za Wafanyakazi katika mifuko yao ya mafao na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) lipo tu halichukui hatua zozote. Sijui Maafisa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Vijana wameenda kwenye Mahakama za Kanda wamefanya usaili, wengine wamesafiri kwa kutoa nauli zaidi ya shilingi elfu 30 kwenda tu. Kuna wengine walifikia lodge na wengine kwa ndugu. Baada ya...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Wapiga Debe, madereva bajaj na bodaboda wamekuwa wakijisaidia haja ndogo kwenye eneo la hifadhi ya barabara na mitaroni Barabara iendayo Stendi ya Mabasi Magufuli. Ukipita hapo pananuka haja...
0 Reactions
0 Replies
262 Views
Back
Top Bottom