KERO Threads

Anonymous
KERO 
Habari muda huu, natumaini nyote ni wazima wa afya, mimi ni mmoja kati ya maopareta vibarua katika bandari ya DSM ambapo kwa sasa ipo chini ya Dp World. Kiuhalisia tunapitia mazingira magumu ya...
0 Reactions
1 Replies
262 Views
Anonymous
KERO 
Kwa kipindi hiki cha miezi miwili iliyopita usafiri wa meli umekuwa mgumu sana, mpaka sasa meli hiyo haifanyi kazi imesimama pale Nyamisati na raia tunapata sana shida ya usafiri mpaka...
0 Reactions
4 Replies
287 Views
Anonymous
KERO 
Naomba Serikali isiendelee kufumba macho na kushindwa kutatua tatizo hili ambalo linaweza kupelekea vifo huko mbele. Mtaa wa La Leo kuna barabara ambayo Ina sehemu ya kuvuka kwenda Tandika...
0 Reactions
1 Replies
275 Views
Anonymous
KERO 
UTARATIBU MBOVU WA UREJESHAJI ADA CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM: Nilifanya application ya kusoma evening program chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) college ya Journalism and Mass communication...
0 Reactions
1 Replies
419 Views
Anonymous
KERO 
Sekretarieti ya ajira imetoa majina ya afya ya USAILI wa kuandika, ila cha kusikitisha ni kwamba usaili wa kuandika unafanyika mkoani unapoishi ila usaili wa mdomo unaenda kule ulipoombea kazi...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Mawele
KERO Responded 
Kuandikisha watoto ili kuiba kura mshinde muunde Serikali mnaweza, mna kila mbinu za wizi wa kura ili muongoze ila hamna mbinu za kutatua changamoto za mnaolazimisha kuwaongoza. Au akili huishia...
1 Reactions
0 Replies
552 Views
Anonymous
KERO 
Habari, Halmashauri ya Mkalama kwa muda mrefu Barabara za mitaa hazijachongwa kwa baadhi ya maeneo na hii imepelekea kero hasa kwa wakazi Wa maeneo hayo hata kupata ugumu wa kupita na mizigo...
0 Reactions
0 Replies
239 Views
Anonymous
KERO 
Habari, Ninakutana na changamoto ya kushindwa kubadilisha vyeti ili niweke vyeti vilivyohakikiwa na mwanasheria kwenye Ajira Portal ambapo inanipelekea kushindwa kuchaguliwa ninapoomba kazi...
1 Reactions
37 Replies
16K Views
IGP WAMBURA, sisi wakazi wa mtaa wa Isere Kinondoni tunaleta malalamiko yetu kwako yahusuyo vijana wa kihuni kufanya maskani za kuvuta bangi na unga kwenye mtaa wetu. Vijana hawa Wala siyo wakazi...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Kwanza nimpongeze sana mkuu wa Mkoa wa Arusha kwa jitihada zake za kusaidia wananchi; Naamini na hili lipo kwenye mpango kazi wake ila kwa kuchangia tu; Kuna vipande vitatu vya Barabara VIFUPI...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Wahusika kama ilikuwa muda bado wa kujenga mliona haja gani kukwangua barabara na kuicha hivo wiki ya 4 sasa. Mnatupa kero sana na vumbi na foleni isiyo na sababu. Kipande hiki tokea mzunguko wa...
0 Reactions
3 Replies
647 Views
Salamu Wakuu. Niende moja kwa moja bila kuwachosha wala kuwapotezea muda. Hili suala la Redio na Tv na kamari sasa ishakua kero yaani unakuta kipindi cha Redio au kipindi cha Televisheni...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Habari wanafamilia wa JF, Niende moja kwa moja kwenye hoja: Kumekuwa na shida ya makusudi ya upatikani wa Maji katika eneo la Ubungo Kibangu na maeneo jirani kama Riverside. Hapo awali maji...
3 Reactions
10 Replies
693 Views
Hili jambo linalosikitisha sana,maji hayatoki zaidi ya mwezi sasa, wakazi wa eneo la Ubungo Kibangu tunanunua dumu la maji elf moja kwa fresh na yenye chumvi Tshs 200-500. Imekuwa ni kawaida kwa...
0 Reactions
23 Replies
1K Views
Habarini wanajamvi natumaini mpo salama. Kuna hii ishu ya NHIF kuwahi kukatisha muda wa subscription ya BIMA za wanafunzi wa chuo cha UDSM ambapo BIMA zilitakiwa ziishe mwezi wa 11 badala yake...
0 Reactions
0 Replies
366 Views
Anonymous
KERO 
Kumekuwepo na changamoto kwa wahitimu kukataliwa kutuma maombi ya ajira kwa kupitia ajira portal. Swali je wahitimu hawa wametelekezwa katika ajira au hawana vigezo, tumaomba ufafanuzi kutoka...
0 Reactions
0 Replies
607 Views
Anonymous
KERO 
Kila mvua kubwa inaponyesha kumekuwa na changamoto ya kufurika kwa vyoo lakini pia chemba kuzbuka na kumwaga maji machafu sokoni. Hii inatokana na chemba kuelekezwa mto mirongo. Hivyo mto ikiwa...
1 Reactions
1 Replies
294 Views
SAUTIYANGU
KERO Responded 
VIFUSI VYA BARABARA VYAGEUKA KERO. Vifusi vilivyowekwa kwa muda mrefu bila kusambazwa katika barabara ya Sogea Machinjioni vimegeuka kero na usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuiomba...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ?
1 Reactions
3 Replies
355 Views
Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa...
2 Reactions
9 Replies
681 Views
Back
Top Bottom