KERO Wafanyakazi wa TRA ofisi za jengo la SIDO & Mwanjelwa huduma zenu mbovu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mwanongwa

Senior Member
Feb 15, 2023
169
198
Wafanyakazi wa TRA ofisi za Sido & Mwanjelwa mnakera sana wateja wenu.

Watu tumeacha shughuli zetu ili tuje tulipe hizo kodi mnazozihitaji lakini huduma zenu zimekuwa mbovu sana.

Wahudumu wachache na pia hao watoto mliyowaleta kwaajili ya Field embu jaribuni kuwaelimisha namna ya kuwahudumia wateja.

Watu tupo hapa tangu asubuhi wahudumu kazi yao kuzunguka tu hili jengo bila kuhudimia wateja.

Ikiwezekana meneja fukuza hao wafanyakazi wako tafuta wengine

Mnaboa sana, tusipolipa Kodi mnatusumbua, tumekuja kulipa bado tunakumbana na usumbufu mkubwa!
 
Safari ni ndefu bado. Uwajibikaji bado sana. Mlipa kodi anadtahili kuhudumiwa kama mfalme lakini hapa ni hao wanaoishi kwa kodi ndio wanasumbua na serikali inatumbua macho tu na kutabasamu!!!
 
Yaani ni shida
 
Wafanyakazi wa TRA ofisi za Sido & Mwanjelwa mnakera sana wateja wenu.

Watu tumeacha shughuli zetu ili tuje tulipe hizo kodi mnazozihitaji lakini huduma zenu zimekuwa mbovu sana.

Wahudumu wachache na pia hao watoto mliyowaleta kwaajili ya Field embu jaribuni kuwaelimisha namna ya kuwahudumia wateja.

Watu tupo hapa tangu asubuhi wahudumu kazi yao kuzunguka tu hili jengo bila kuhudimia wateja.

Ikiwezekana meneja fukuza hao wafanyakazi wako tafuta wengine

Mnaboa sana, tusipolipa Kodi mnatusumbua, tumekuja kulipa bado tunakumbana na usumbufu mkubwa!
Hatari tupu
 
Customer care bado ni tatizo kwa taasis za serikali. Zipo zinazofanya vizuri ila chache. Zilizobaki ni za kuangaliwa upya
 
Wafanyakazi wa TRA ofisi za Sido & Mwanjelwa mnakera sana wateja wenu.

Watu tumeacha shughuli zetu ili tuje tulipe hizo kodi mnazozihitaji lakini huduma zenu zimekuwa mbovu sana.

Wahudumu wachache na pia hao watoto mliyowaleta kwaajili ya Field embu jaribuni kuwaelimisha namna ya kuwahudumia wateja.

Watu tupo hapa tangu asubuhi wahudumu kazi yao kuzunguka tu hili jengo bila kuhudimia wateja.

Ikiwezekana meneja fukuza hao wafanyakazi wako tafuta wengine

Mnaboa sana, tusipolipa Kodi mnatusumbua, tumekuja kulipa bado tunakumbana na usumbufu mkubwa!

Wafanyakazi wa TRA ofisi za Sido & Mwanjelwa mnakera sana wateja wenu.

Watu tumeacha shughuli zetu ili tuje tulipe hizo kodi mnazozihitaji lakini huduma zenu zimekuwa mbovu sana.

Wahudumu wachache na pia hao watoto mliyowaleta kwaajili ya Field embu jaribuni kuwaelimisha namna ya kuwahudumia wateja.

Watu tupo hapa tangu asubuhi wahudumu kazi yao kuzunguka tu hili jengo bila kuhudimia wateja.

Ikiwezekana meneja fukuza hao wafanyakazi wako tafuta wengine

Mnaboa sana, tusipolipa Kodi mnatusumbua, tumekuja kulipa bado tunakumbana na usumbufu mkubwa!
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) tumepokea na kuchukulia suala hili kwa namna ya kipekee na kuahidi kulifanyia kazi mara moja. Aidha tunawakumbusha wadau wetu na walipakodi kuwa endapo watakutana na changamoto yoyote wasisite kuwaona Mameneja wetu wa Mikoa au kuwasiliana kwa namba zetu za bure 0800780078/0800750075. TRA tunawajibika kutoa huduma zilizo bora na kwa weledi.
 
Back
Top Bottom