KERO Threads

Anonymous
KERO 
Kila mvua kubwa inaponyesha kumekuwa na changamoto ya kufurika kwa vyoo lakini pia chemba kuzbuka na kumwaga maji machafu sokoni. Hii inatokana na chemba kuelekezwa mto mirongo. Hivyo mto ikiwa...
1 Reactions
1 Replies
294 Views
SAUTIYANGU
KERO Responded 
VIFUSI VYA BARABARA VYAGEUKA KERO. Vifusi vilivyowekwa kwa muda mrefu bila kusambazwa katika barabara ya Sogea Machinjioni vimegeuka kero na usumbufu kwa watumiaji wa barabara hiyo na kuiomba...
0 Reactions
2 Replies
739 Views
Huu ndio uhujumu uchumi, Wakurugenzi wa TANAPA wana magari ya kifahari lakini hakuna vyoo kwa ajili ya watalii hivyo kuchafua hadhi ya utalii nchini, hii ni AKILI ya kujenga nchi kweli. ?
1 Reactions
3 Replies
355 Views
Wakazi wa Kimara yote wilayani Ubungo mkoa wa Dar es Salaam hawana huduma ya maji tangu siku ya Alhamisi,hali inayozua sintofahamu kwani imekuwa ni kawaida kukatika kwa maji kila mwisho wa wiki wa...
2 Reactions
9 Replies
681 Views
Habari ya leo wanajamvi. Wadau maji yamekuwa adimu huku kwetu Kimara kuanzia kibo, Baruti, Korogwe Mnaweza kuongezea maeneo mengine.
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Habari wanajukwaa..kwa muda mrefu nimekuwa nikifuatilia mechi zinazochezwa uwanja wa sokoine uliopo mbeya. Kitu ambacho nimegundua kwa muda mrefu ,huu uwanja ni mchafu sana kwa kweli hasa sehemu...
0 Reactions
6 Replies
655 Views
Usafiri wa pikipiki umekuwa msaada mkubwa sana kwa watu wa kada zote kwa ajili ya kuharakisha safari nyingi za kuingia na kutoka maeneo ya mjini na unasaidia sana kurahisisha shughuli za kiuchumi...
0 Reactions
5 Replies
627 Views
October 2pm
KERO Responded 
Habari Kutoka kibaha Mpaka Bukoba nauli Laki Moja, kwenda kurudi Laki Mbili. Kula na Kulala tufanye elfu 60. Sikuchagua Kagera lakini wamenichagua kusudi ili nisiende. Nitatoa Wapi Laki tatu...
21 Reactions
185 Replies
9K Views
Dodoma ni moja ya Jiji chafu nchini, uchafu umezagaa hasa maeneo ya Mjini ambapo kuna Mkuu Wa Wilaya na Mkuu wa Mkoa, then kuna hali hii ya Uchafuzi wa Mazingira tena ni urefu wa kilometa mbili...
1 Reactions
9 Replies
3K Views
Kama nitakosea nisahihishwe, niliwahi kumsikia Kitila Mkumbo enzi hizo Katibu wa Wizara akisema maji yaliyopo ni mengi kuliko uhitaji wake kwa watu wa DSM. Kwa sababu mabomba yamefikia wachache...
3 Reactions
14 Replies
579 Views
Mimi ni bodaboda ambaye kwa namna moja ama nyingine nimekutana na mikasa ya aina mbalimbali barabarani kama ajali, kuibiwa pamoja na kadhia ya kukamatwa na Askari wa Usalama barabarani kwa makosa...
1 Reactions
0 Replies
414 Views
Kwa waliowahi kutumia barabara ya Arusha Babati watakuwa mashahidi. Eneo mzani ulipo ni mteremkoni na kuna kona mlalo hivi. Sijajua kulikuwa na ulazima gani umbali wa Arusha babati kuwa na vituo...
1 Reactions
0 Replies
399 Views
Wanajamvi ngoja nilibwage, Barabara inayotoka Kwenye mataa jirani na Stendi ya Mabasi kuelelekea Uwanja wa Alhasan Mwinyi ni imeharibika kwa kuwa na mashimo jambo ambalo linaleta adha kwa...
1 Reactions
1 Replies
561 Views
Kwema. Jamani kama Kuna watu wanavuta HEWA CHAFU hapa Dsm basi ni hawa watu wa mabibo mwisho hasa karbu na stendi Kwa ambao ambao hawajafika hili eneo Lina bwawa la maji taka Kuna mabwawa...
5 Reactions
27 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni muhitimu wa Stashahada ya maabara ya binadamu (Diploma in Medical Laboratory Technology) 2014/2017 katika chuo cha St. John’s university of Tanzania Dodoma. Toka nimemaliza 2017 matokeo...
2 Reactions
0 Replies
242 Views
Waufukweni
KERO Responded 
Taa za barabarani eneo la Stand ya Morocco hadi Biafra zinahitaji kutengenezwa, kwani ni hatarishi kwa usalama. Ikifika usiku, Morocco inatisha kwa giza. Taa za barabarani kuanzia Stand ya...
0 Reactions
0 Replies
656 Views
Anonymous
KERO 
Tupo kwenye sintofahamu, Chuo cha SAUT-MWANZA mpaka sasa hakijatupa Vyeti wahitimu wa Mwaka 2023. Ukienda kufuatilia wanasema tusubiri wakidai vyeti havijafika, wakati huohuo wengine wamepata...
5 Reactions
10 Replies
985 Views
Anonymous
KERO 
Kama kichwa kinavyoeleza hapo tunabambikiwa sana parking siku hizi naomba utupazie hili nina uhakika wahudumu wa huduma za parking WAMEKUWA wakibahatisha namba za gari na kuandika bili za parking...
3 Reactions
2 Replies
497 Views
Anonymous
DOKEZO KERO 
Wakulima wa mahindi katika kituo cha NFRA cha kununulia mahindi kilichopo kijiji cha Muze wilaya ya Sumbawanga vijijini hawajalipwa na NFRA pesa za mauzo ya mahindi kwa zaidi ya mwezi mmoja...
0 Reactions
0 Replies
320 Views
Kabla ya kijazi interchange eneo hili lilikuwa linaruhusu wananchi (wanafunzi/wakazi/watembezi na sisi wazururaji) kuvuka kutoka upande mmoja hadi mwingine bila shida. Ila baada ya kuwekwa flyover...
1 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom