KERO Threads

Anonymous
KERO 
Tunaomba kufahamu hatima ya wanafunzi waliozuiliwa kufanya Test 1 katika Chuo cha MUST, ambapo mfumo wa matokeo umeonyesha alama za ABSC. Kwa mujibu wa taarifa kutoka chuoni, wanafunzi hao...
0 Reactions
0 Replies
30 Views
Anonymous
KERO 
Kuna changamoto na imekuwa kero kwa Watumishi wa Umma, Watu wanaomba uhamisho kwenye mfumo wa ESS, mwajiri au mkuu wa taasisi anapitisha vizuri tu lakini sasa kule unapoomba request/application...
1 Reactions
1 Replies
110 Views
Mimi ni mkazi wa Kibaha-Zogowale, eneo ninaloishi limezungukwa na viwanda. Hivi karibuni kumeibuka shida kubwa ya uchafuzi wa hali ya hewa wakati wa usiku. Kuna harufu kali sana inachafua hewa...
3 Reactions
21 Replies
501 Views
Anonymous (8b17)
KERO 
Kero yangu ni jirani yangu kufanya eneo lake kuwa kiwanda cha kutengeneza nyumba za makontena ambazo zimekuwa kero kubwa sana kwa wakazi wa eneo letu na tumesha jaribu kuwasiliana na uongozi wa...
0 Reactions
3 Replies
168 Views
Anonymous
KERO 
Wakazi wa Mbezi Juu, Mtaa wa Jogoo, Jijini Dar es Salaam tunaathiriwa na kelele zinazotokana na kiwanda cha zege cha Kerai Construction Ltd, ambacho kinajihusisha na uzalishaji wa bidhaa za...
0 Reactions
3 Replies
153 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni Mkazi wa Mabibo Hostel, takriban miaka 30... Kero yetu ni muwekezaji kwenye Kiwanda cha EPZD Benjamin Mkapa kiwanda kimetukuta sisi wakazi wa hapa, kero yetu kubwa ni kelele za mashine...
0 Reactions
3 Replies
110 Views
Sisi wafanyabiashara wadogo wadogo wa Manispaa ya Musoma tunatoa wito kwa Serikali, TAMISEMI na viongozi wa Manispaa kuingilia kati suala la ongezeko la ushuru wa kila siku kutoka Shilingi 200...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Anonymous
KERO 
Nilikuwa mfanyakazi katika hospitali binafsi ya iliyopo Paje, Unguja, Zanzibar. Ninaidai hospitali hiyo malipo yangu ya mshahara wa mwezi mmoja, pamoja na malipo ya muda wa ziada wa kazi...
0 Reactions
1 Replies
64 Views
Anonymous
KERO 
Habari JamiiForums, Kuna changamoto ya ucheleweshaji wa maombi ya uhamisho kwa watumishi wa umma walio chini ya TAMISEMI. Niliwasilisha maombi yangu kupitia mfumo tangu mwezi Januari 2026...
1 Reactions
0 Replies
32 Views
Dodoma Jiji walitangaza kujenga barabara zilizopo katikati ya jiji mwezi mmoja uliopita (Juni 2026) wakachimbua barabara maeneo ya mjini ambapo kuna biashara zetu na ofisi wamezitelekeza bila...
2 Reactions
4 Replies
172 Views
Anonymous
KERO 
Mimi mdau wa usafiri wa Mwendokasi au UDART, kero yangu ni hizi card wanazotumia mwendokasi, si mbaya lakini naomba Serikali na Wizara itusaidie kuunganisha N-CARD itumike pia na kwenye mwendokasi...
1 Reactions
3 Replies
60 Views
Anonymous
KERO 
Mamlaka ya maji safi Mtwara Mjini (MTUWASA) nimelipia gharama za kuunganishiwa huduma ya maji tangu mwezi wa nne mwaka huu wa 2026 hadi sasa hawajaniunganishia huduma ya maji na ukiwapigia simu...
0 Reactions
0 Replies
32 Views
Anonymous
KERO 
Kero yangu ni kutoka Mwanza Stendi ya Daladala eneo la Posta maarufu Stendi ya Igombe, vyoo vya kulipia ambavo vinapatikaha hapa stendi kwenye majengo ya Mwanza City Council (MCC) ni vichafu sana...
0 Reactions
0 Replies
113 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mkazi wa Zanzibar na napenda kuwasilisha kero kuhusu hali ya usafi katika eneo la Michenzani, Jumba Namba 2. Eneo hilo limekuwa na mazingira ya uchafu ambayo hayalingani na hadhi ya eneo...
0 Reactions
0 Replies
89 Views
Anonymous
KERO 
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) namba walizoweka za huduma kwa wateja hazipokelewi na watu wanashida, ni bora kama hawatoi huduma kwa njia ya simu wafute hizo namba. Nimepiga namba zote sasa...
1 Reactions
0 Replies
53 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni dereva Bajaj kupitia Taksi Mtandao, juzi nilimfuata mteja maeneo ya Msimbazi A kumpeleka Fire, pale Sheli (kituo cha mafuta). Nalipofika nilipark pembeni nikawasha double hazard, wakaja...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Anonymous
KERO 
Tumehitimu mafunzo ya udereva wa Daraja E katika Chuo cha VETA KAGERA ila sasa ni karibu miezi mitatu hatupati vyeti wala majibu ya kueleweka. Leseni zetu zimeisha tunategemea vyeti hivyo...
1 Reactions
1 Replies
44 Views
Anonymous
KERO 
Watumiaji wa Barabara ya Ipoipo kwenda mpaka Kihonda Sekondari hapa Morogoro Mjini, iliharibika baad aya awali kuwa na lami, Serikali ikachimbua-chimbua kipindi Mwenge unakuja Morogoro na kuiacha...
1 Reactions
3 Replies
55 Views
Anonymous
KERO 
Nilijiandikisha NIDA Mwaka 2019 nikiwa nafanya kazi Ifakara, sijapata kitambulisho mpaka leo (Julai 2026), nimefuatilia kila mara naambiwa kipo achived sasa sielewi, mpaka namba yangu ya NIDA...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Anonymous
KERO 
Mimi ni mtumishi wa Serikali katika Idara ya Elimu. Nina changamoto ya kutohamishiwa taarifa zangu za kiutumishi na mshahara baada ya kuhamia Halmashauri nyingine kwa mujibu wa uhamisho...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Back
Top Bottom