HOJA Threads

Anonymous
HOJA 
Ofisi za NIDA ni changamoto kubwa kwa wananchi. Unapeleka maombi yako na yanakaa hata miezi mitatu bila kushughulikiwa. Ukifuatilia, unaambiwa hukukamilisha taarifa fulani, na kibaya zaidi unaweza...
1 Reactions
0 Replies
84 Views
Anonymous
HOJA 
Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Anonymous
HOJA 
Wakazi wa mwanza, Nyamagana kwa miaka sasa tunateseka na ubovu wa barabara katika wilaya yetu na hasa barabara kuu ya kuelekea mjini. Barabara ina mashimo mengi, vumbi na mbovu. Mradi wa SGR...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Anonymous
HOJA 
WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA Na Mdau wa Elimu ya Juu Tanzania Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika...
1 Reactions
1 Replies
169 Views
Nashauri Serikali iunde kitengo maalumu cha kutathmini utendaji wa taasisi za umma na kupokea malalamiko pamoja na maoni ya wananchi. Kitengo hiki kiwe na ofisi hadi ngazi ya wilaya na kiwe na...
6 Reactions
55 Replies
610 Views
Anonymous
HOJA 
Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
1 Reactions
5 Replies
86 Views
Anonymous
HOJA 
Naomba kupewa ufafanuzi kidogo. Je, katika Ofisi ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, ni utaratibu wa kawaida kwa watumishi, hususan wa Idara ya Ujenzi, kutolipwa fedha za likizo na...
1 Reactions
2 Replies
127 Views
makwagejo
Responded HOJA 
•Mh Katibu Mkuu inakuwaje mtumishi anapata total score 65 lakini progressive 00% shida kubwa inakuwa kwa nani? •Maana yake huyu mtumishi hajakuwepo kazini mwaka mzima?je yule anaemsimamia aliwahi...
0 Reactions
10 Replies
276 Views
Anonymous
HOJA 
Serikali kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI imetoa malipo ya fedha za kujikimu kwa watumishi wa afya walioajiriwa kati ya Januari 2025 na Aprili 2026. Hata hivyo, walimu walioajiriwa katika...
0 Reactions
2 Replies
107 Views
REJESHO HURU
Responded HOJA 
Tangu awamu ya sita ingie madarakani changamoto za Watumishi wa Umma zimekuwa zikitatuliwa kwa wakati na malalamiko yalikuwa madogo sana ila kwa sasa huu Mfumo wa PEPMIS umekuwa kama mtego wa...
1 Reactions
6 Replies
321 Views
Anonymous
HOJA 
Kwa niaba ya vibarua wanaofanya kazi katika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) kwenye mikoa yote ya kihuduma, tunaomba kupaza sauti kuhusu changamoto kubwa...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Anonymous
HOJA 
Naomba SERIKALI ifuatilie maagizo kuhusu MSHAHARA KIMA CHA CHINI Kwa TAASISI binafsi hasa Kwa shule mbali mbali MFANO shule ya mchungaji mwema sec iliyoko NGARA KAGERA inalipa Watumishi TSH...
3 Reactions
13 Replies
345 Views
Anonymous
HOJA 
Mdau, naomba kuuliza na kupata ufafanuzi kuhusu suala la ajira hewa au ajira zisizotekelezwa kwa wakati. Ni kwanini Serikali hutangaza ajira ambazo hazitekelezwi kwa wakati au zinabaki kwenye...
0 Reactions
2 Replies
90 Views
Kwa hali inayo endelea katika jiji la Mwanza ambalo limezungukwa na maji ya Ziwa Victoria kukosekana maji na eti RC yupo anazunguka zunguka mjini mjini akipeperusha benders kwenye Gari yake ni...
7 Reactions
63 Replies
1K Views
Anonymous
HOJA 
Kuna haja kubwa kwa TRA kufanya mapitio ya mara kwa mara ya viwango vya bei vinavyotumika kwenye mfumo wao wa ukokotoaji wa kodi za magari. Kwa sasa, inaonekana kuwa baadhi ya bei zilizopo kwenye...
9 Reactions
14 Replies
632 Views
Anonymous
HOJA 
Denice Deusdedit Nsimeki, kijana wa Kitanzania aliyekwenda kusoma tangu mwaka 2021 amekujikuta akishindwa kuendelea na masomo yake baada ya kujiingiza kwenye biashara ya madini na matokeo yake...
0 Reactions
3 Replies
315 Views
Kuwawezesha Maafisa Maendeleo ya Jamii: Msingi wa Mabadiliko Endelevu Vijijini - Kwa nini? Kwa kifupi: Maafisa Maendeleo ya Jamii ndio "injini" ya mabadiliko vijijini. Ukiwawezesha wao...
0 Reactions
0 Replies
65 Views
YAH: OMBI LA KUHARAKISHA UHAMISHO WA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI, MAJIJI NA MANISPAA BAADA YA UCHAGUZI MKUU 2025 Mheshimiwa Rais, Kwanza kabisa, tunakupa pongezi kwa juhudi zako kubwa za...
1 Reactions
10 Replies
270 Views
Anonymous
Responded HOJA 
Serikali imeweka sharti kwamba ili mtumishi apandishwe daraja, lazima awe amefikisha alama (score) ya angalau asilimia 75 kwenye mfumo wa PEPMIS kwa mwaka wa 2024/2025. Tatizo ni kwamba watumishi...
0 Reactions
5 Replies
223 Views
Anonymous
HOJA 
Ndugu Wahusika, Napenda kuwasilisha changamoto ambayo watumishi wengi wa umma wanakumbana nayo wakati wa kutumia mfumo wa e-Uhamisho katika kuwasilisha maombi ya uhamisho kati ya taasisi...
1 Reactions
25 Replies
620 Views
Back
Top Bottom