HOJA Threads

  • Featured
Waufukweni
Responded HOJA 
Wakuu kuna hii video inako mtandaoni sijajua ni ya lini ila kwa kweli imenihuzunisha sana kwa matendo ya kikatili ambayo wanayapitia hawa Wananchi, na ninadhani huu ni ujumbe mkubwa kwa wenye...
5 Reactions
24 Replies
1K Views
Anonymous
HOJA 
Habari, Naomba kufahamu ni kwa nini ushuru wa kusafirisha mazao unatofautiana kati ya halmashauri, huku tofauti hiyo ikiwa kubwa licha ya kuwa ni zao la aina moja. Kwa mfano, kusafirisha mchele...
3 Reactions
5 Replies
305 Views
Anonymous
HOJA 
Naomba ufafanuzi kuhusu vigezo vya udahili wa kozi ya Doctor of Medicine (MD). Mwongozo wa TCU unaeleza kuwa mwombaji anatakiwa awe alisoma somo la Physics katika ngazi ya O-Level. Je, wanafunzi...
1 Reactions
6 Replies
193 Views
TTCL inapaswa kuboresha utoaji wa taarifa kwa wateja kuhusu huduma zake za intaneti. Kwa sasa, hakuna taarifa zinapotokea hitilafu za huduma, huduma zinaporejea, au kunapokuwa na matengenezo...
0 Reactions
1 Replies
57 Views
Anonymous
HOJA 
Tunaomba ufafanuzi kutoka Ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI kuhusu uteuzi wa walimu wa shule binafsi kusimamia mitihani ya NECTA. Kabla ya mwaka 2021, walimu wa shule binafsi walikuwa wakiteuliwa...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
Anonymous
HOJA 
Naomba kuwasilisha kero hii Ni takribani mwaka mmoja sasa tangu kuahidiwa kwa muundo mpya wa kada za afya, hususan kada ya uuguzi, lakini utekelezaji wake bado haujaanza. Tunaomba mamlaka husika...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Salaam Wana JF, Naomba nitoe hoja ambayo naamini wengi wetu tumekuwa tukiikumbana nayo kila siku, lakini pengine hatujapata nafasi ya kuizungumza kwa uzito unaostahili. Kero ya SMS za matangazo...
4 Reactions
13 Replies
359 Views
Anonymous
HOJA 
Ndugu wanajamii, Naomba kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu uliowekwa na chuo chetu wa kutoza penalty ya shilingi 50,000 kwa kila awamu ya ada inayochelewa kulipwa. Ada ya chuo ni...
1 Reactions
4 Replies
137 Views
Katika jambo la hovyo ambalo sijawahi kulielewa ni hili la wenye nyumba kudai kodi miezi mitatu mpaka sita. Nini hasa kinachosababisha mwenye nyumba atake kodi ya miezi mitatu au sita?! Duniani...
13 Reactions
104 Replies
2K Views
Anonymous
HOJA 
Mawakala wakuu wa mtandao wa Halotel Tanzania upande wa HaloPesa, tunaiomba kampuni itolee ufafanuzi kuhusu kucheleweshwa kwa malipo yetu ya kamisheni bila sababu za msingi. Awali tuliambiwa kuwa...
1 Reactions
1 Replies
334 Views
Mwanantogakulya
Responded HOJA 
VETA HQ Tunaomba Wizara ya Elimu na Bunge itusaidie kujua kuhusu Utaratibu wa kupata Vyeti Mbadala Kwa level 2 na level 3 Maana kila Tukifatilia VETA Makao Makuu Tunaambiwa Wanasubiri Sheria...
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Anonymous
HOJA 
Baadhi ya mikoa naona kama bado usimamizi upo chini kumekuwepo na baadhi ya Vyombo vya Habari vinavyoajiri watu wasio na sifa husika kwa kuwa tu wanajua watawalipa kiasi kidogo cha fedha. Wale...
1 Reactions
1 Replies
68 Views
Habari wakuu, Mimi ni Mkazi wa Sinza-Bamaga lakini katika mambo yamekuwa yakitukera sisi wakazi ni suala la DAWASA kuachia maji saa saba usiku au saa nane muda mwingine saa tisa, mara nyingi...
0 Reactions
0 Replies
54 Views
Anonymous
HOJA 
Nipo katika hospital ya Wilaya ya Mkalama muda huu. Naona kila mhudumu wa afya anapita kavailia uniform nadhifu lakini cha kushangaza chini wanavaa yeboyebo tena za shilingi elfu tano tano. Je...
2 Reactions
8 Replies
226 Views
Anonymous
HOJA 
Ningependa kuibua hoja kuhusu vinywaji vya Azam Energy Drink, ambavyo havionyeshi wazi kiwango cha caffeine kilichomo katika kila chupa. Ninaomba mamlaka husika pamoja na wazalishaji wa bidhaa...
6 Reactions
19 Replies
368 Views
Moja kwa moja ... Siku za nyuma nilipita mitaa ya Jiji la Dar es salaam Posta , Kisutu , Upanga na Mnazi mmoja . Katika pita pita zangu nimekuta majengo mengi wamiliki chakavu bado yapo katikati...
4 Reactions
12 Replies
166 Views
Anonymous (6687)
HOJA 
Kwa sasa, karibu kila huduma muhimu kwa watumishi imehamishiwa kwenye mfumo wa e-UTUMISHI (ESS). Kupitia mfumo huo, mtumishi anaweza kuomba likizo, mikopo, uhamisho, kuongeza wategemezi, kupata...
0 Reactions
1 Replies
148 Views
Nyasi-Man
Responded HOJA 
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya...
19 Reactions
109 Replies
2K Views
Anonymous
HOJA 
Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria. Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara...
26 Reactions
83 Replies
2K Views
Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za...
2 Reactions
12 Replies
213 Views
Back
Top Bottom