HOJA Threads

Anonymous (da92)
HOJA 
Manispaa ya Mkoa wa Tabora(sijui mikoa mingine), imeanzisha ushuru wa mabango ya biashara ambayo yapo kwenye fremu ya mfanya biashara. Yaani mmiliki wa duka la kuuza unafikia kubandika bango...
2 Reactions
13 Replies
276 Views
Anonymous
Responded HOJA 
Licha ya mahitaji makubwa ya walimu kwa Shule za Msingi na Sekondari, bado walimu wanaojitolea wanaishi maisha magumu, kwa kukosa posho na wengine wakiambulia kulipwa Sh 100,000 kwa mwezi...
1 Reactions
3 Replies
375 Views
Mafia Island Boy
Responded HOJA 
Wakati Serikali ikiahidi kutoa kiasi cha Sh 200 Bilioni, kwa mikopo ya vijana, wanawake, na watu wenye ulemavu, baadhi ya Vijana na wanawake wamelalamika kuwa mikopo hiyo inatolewa kwa misingi ya...
0 Reactions
1 Replies
477 Views
Watanzania tusipo ukana ukondoo na ubwege ipo siku hawa wageni watatushikisha ukuta. Nimeshangaa sana kwamba kumbe kuna wachina wanatoka China wanakuja kufanya biashara za Udadali Tanzania...
5 Reactions
54 Replies
2K Views
Niko napiga jalamba humu beach ya Mbezi Beach kwa kweli hizi FUKWE ni chafu sana. Ni bahati mbaya pia kwamba hizi ndio FUKWE zilizopo ukanda wenye Mahoteli ya Kitalii kama vile White Sands...
4 Reactions
29 Replies
1K Views
Habari wakuu, Kama kichwa cha mada kinavyojieleza hapo juu, kumekuwa na changamoto kubwa katika suala zima la kupanga na kununua nyumba, mashamba, magari na kadhalika. Hawa watu wanaojulikana...
5 Reactions
120 Replies
18K Views
Back
Top Bottom