Nianze kwa kuwapongeza customer care wa kwenye private sectors Wapo very active kupokea simu na kutoa maelekezo ya huduma wanazo zitoa kwa wateja hapa nawajumuisha na customer care wa TANESCO...
Kumekuwa na ongezeko la nauli za mabasi ya mikoani katika miaka ya hivi karibuni, lakini hadi sasa LATRA haijaweka hadharani waraka au PDF mpya ya viwango vya nauli. Hati inayopatikana kwa urahisi...
Kuna tatizo la watu hawa wanaojifanya matajiri kupitia Forex na kuigiza maisha ya kifahari?
Ukweli ni kwamba kuna mmoja alituaminisha sana. Mimi na rafiki yangu tukachanga shilingi milioni 5 na...
Nikiwa mmoja wa waajiriwa wapya kupitia Ajira Mpya, na napenda kueleza changamoto kubwa tunayoipitia kuhusu fedha za kujikimu.
Kwenye baadhi ya halmashauri, inaelezwa kuwa fedha hizi zinafika...
Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha...
Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati tatizo hili haraka iwezekanavyo.
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuhusu bidhaa zinazouzwa kwa vipimo pungufu. Kwa mfano, mtu anaponunua...
ANDIKO LA Jebra Kambole
Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu...
Habarini,
Nimekuwa nikifuatilia na kuhakiki mawasiliano mbalimbali ya taasisi muhimu za serikali ikiwemo Tume ya Utumishi wa Umma na kukuta hazifanyi kazi kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa...
Basi bwana, kuna mzee mmoja alitoka kijijini akafikia kwa wanawe Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu ya hapa na pale. Kwa kuwa familia hii ni majirani zetu na pia ni watu wa kuficha mambo yao...
Mimi ni mdau wa JamiiForums, nipo Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Tarafa ya Nyamhongoro, Kata ya Ibwinza.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitegemea kisima kimoja kwa ajili ya kupata maji ya matumizi ya kila...
Sisi Wahitimu tuliomaliza masomo yetu kati ya mwaka 2014 na 2019 tunaomba Sekretarieti ya Ajira izingatie utaratibu wa kutenga au kugawanya baadhi ya nafasi za ajira kati ya wahitimu wa muda mrefu...
Wakuu Salaam
Sorry hivii mitandao ya simu inawajibika vp kumlinda mtumiaji wao dhidi ya wezi au matapeli wa kimtandao?
Kwa sababu kwangu me naona kuamini kwamba wote wanaotapeliwa hutapeliwa kwa...
Habari,
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa uongozi ndani ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC).
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wauguzi wengi kuhusu...
Ningependa kupata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mfumo wa TAESA katika utoaji wa fursa za mafunzo kwa vitendo (internship) na ajira kwa vijana.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukihamasishwa kujiunga na...
Kila mwaka shule nyingi za serikali huwa zinawaagiza wanafunzi kuja na vifaa kama majembe, mafyekeo, ndoo, mifagio na vifaa vingine vya usafi.
Swali langu ni hili; ikiwa maagizo haya yanatolewa...
Watanzania wenzangu, msitolewe kwenye reli.
Mara nyingi katika siasa hutokea mijadala, matukio au watu wanaojitokeza ghafla na kuhamisha mjadala kutoka kwenye hoja kuu kwenda kwenye mambo...
Barabara ya Tatedo iliyopo katika mtaa wa Kunguru Kata ya Goba jijini Dar es Salaam ni kama imesahaulika, kwani licha ya juhudi zilizofanywa na wakazi wa eneo hilo, tangu mwaka 2020, mpaka leo...
Kuna haja ya mamlaka husika kutoa ufafanuzi kuhusu usalama na ubora wa nyama zinazogawiwa kwa wananchi wakati wa shughuli za sadaka au kafara zinazofanywa na wageni kutoka nje ya nchi, ikiwemo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.