Wakuu!
Bila shaka msimu wa 2025/26 wa Ligi Kuu ya NBC umetoa funzo na mwelekeo wa namna ya kuboresha kanuni za mashindano kuelekea msimu wa 2026/27 ili kuongeza nidhamu, ushindani na hadhi ya...
Naandika nikiwa nawakilisha wenzangu watumishi wa Hospitali ya Vijibweni iliyopo Wilaya ya Kigamboni, ujumbe huu ni kwa niaba ya watumishi wengi, hususan wauguzi, kuomba mamlaka husika zisikilize...
Halmashauri ya Kibaha DC zitusaidie kuhusu posho za kujikimu kwani waraka unaotumika kulipa posho hizi unatumika kwenye halmashauri zote Tanzania kwa nini kwetu tupewe pesa kidogo kuliko watumishi...
Wizara ya Fedha imewasilisha bajeti ya mwaka mpya ambayo imejumuisha ongezeko la kodi ya excise duty kwa magari, ambapo baadhi ya magari yameongezewa kwa asilimia 10 na mengine kwa asilimia 5...
Mwanafunzi wa fani ya Uhandisi Vifaa Tiba (Biomedical Engineering) ameeleza malalamiko yake kuhusu utaratibu unaowataka wanafunzi kulipia kiasi kikubwa cha fedha ili kupata nafasi ya mafunzo ya...
Ikiwa rais alisema anapunguza milolongo ya misafara yake ili kubana matumizi ya mafuta huu mwenge unakimbizwa kutumia nishati gani?
Ni kwa nini katika kipindi cha crisis kama hiki tuendelee...
Mwenge wa Uhuru uliwekwa juu ya Mlima Kilimanjaro tarehe 9 Desemba 1961, siku ya uhuru wa Tanganyika, ukiashiria uhuru, utaifa, amani na matumaini ya taifa jipya.
Tangu hapo, mwenge huo umekuwa...
Moja kati ya kazi zenye watoa huduma wasiojua kujali wateja ni makondakta wa daladala
1: Kuwa wakali sana kwa wateja au abiria
Hii ni moja kati ya kero kubwa sana kwa abiria hawa jamaa hawajali...
Habari,
Mimi ni mhanga wa tukio la utekaji na mateso lililonitokea mwezi Agosti mwaka 2025, tarehe 25, baada ya kuitwa Dar es Salaam na mzazi mwenzangu ili kwenda kumchukua mtoto.
Nilipofika...
Sioni haja ya kila kampuni ya mabasi iwe na kituo chake cha kushushia abiria, inatosha wakiishia kituo kikubwa cha mabasi Mbezi Magufuli itasaidia kupunguza msongamano ktk mji na pia stendi ya...
Wilaya ya Manyoni mkoani Singida inakabiliwa na tishio kubwa la kiusalama na kiuchumi kufuatia kushamiri kwa mtandao hatari wa wizi wa mafuta unaofanywa na baadhi ya madereva wa magari makubwa ya...
Wana-JamiiForums,
Mnamo Juni 26, 2026, taifa limeshuhudia tamko zito kutoka bungeni jijini Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi, ametoa agizo kwa Mkuu vya Jeshi la Polisi...
Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.
Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya...
Ofisi za NIDA ni changamoto kubwa kwa wananchi. Unapeleka maombi yako na yanakaa hata miezi mitatu bila kushughulikiwa. Ukifuatilia, unaambiwa hukukamilisha taarifa fulani, na kibaya zaidi unaweza...
Gari zilizosajiliwa “transit” ni sahihi kubeba mizigo ya local? Tunaomba mamlaka ziingilie kati sisi wamiliki wa malori ya local tunapitia wakati mgumu wa biashara kwani gari za transit zimekuwa...
Wakazi wa mwanza, Nyamagana kwa miaka sasa tunateseka na ubovu wa barabara katika wilaya yetu na hasa barabara kuu ya kuelekea mjini.
Barabara ina mashimo mengi, vumbi na mbovu.
Mradi wa SGR...
WITO KWA TCU: KUTATHMINI UPYA UBORA WA ELIMU KATIKA BAADHI YA VYUO VIKUU VYA BINAFSI TANZANIA
Na Mdau wa Elimu ya Juu Tanzania
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imepiga hatua kubwa katika...
Nashauri Serikali iunde kitengo maalumu cha kutathmini utendaji wa taasisi za umma na kupokea malalamiko pamoja na maoni ya wananchi. Kitengo hiki kiwe na ofisi hadi ngazi ya wilaya na kiwe na...
Kumemekuwa na kawaida viongozi wengi wakiwemo Mawaziri kutembea na misafara mikubwa wanapokwenda kwenye ziara zao ikiwemo kuwasafirisha waandishi wa habari kila waendako. JE hizi bajeti hutoka wapo?
Naomba kupewa ufafanuzi kidogo.
Je, katika Ofisi ya Ujenzi ya Halmashauri ya Wilaya ya Butiama, ni utaratibu wa kawaida kwa watumishi, hususan wa Idara ya Ujenzi, kutolipwa fedha za likizo na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.