Naomba SERIKALI ifuatilie maagizo kuhusu MSHAHARA KIMA CHA CHINI Kwa TAASISI binafsi hasa Kwa shule mbali mbali MFANO shule ya mchungaji mwema sec iliyoko NGARA KAGERA inalipa Watumishi TSH...
Tunaomba mamlaka husika ziingilie kati tatizo hili haraka iwezekanavyo.
Kumekuwa na malalamiko mengi kutoka kwa wananchi kuhusu bidhaa zinazouzwa kwa vipimo pungufu. Kwa mfano, mtu anaponunua...
Mimi ni mwananchi wa Mbezi Mwisho, huduma ya mwendokasi wameleta route ya kutoka Mbezi kwenda Gerezani na kivukoni, sasa hiyo huduma wanaita VIP maana yao kwamba gari halisimami popote kituo cha...
Ninaomba kuwasilisha changamoto inayojitokeza katika Hospitali ya Rufaa ya St. Francis, Ifakara-Morogoro (St. Francis Referral Hospital), ambayo pia hutumika kama hospitali ya mafunzo (teaching...
ANDIKO LA Jebra Kambole
Amri ya hivi karibuni ya Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni iliyotolewa tarehe 28/05/2026 na Meya wa Kinondoni Mh. Songoro Hamis Mnyonge ya kuwaondoa kwa nguvu watu...
Habarini,
Nimekuwa nikifuatilia na kuhakiki mawasiliano mbalimbali ya taasisi muhimu za serikali ikiwemo Tume ya Utumishi wa Umma na kukuta hazifanyi kazi kwa muda mrefu pasipo kufanyiwa...
Serikali ilitangaza kuanza kwa mchakato wa kuboresha eneo la Sinza ili kulifanya kuwa la uwekezaji na kwamba Wananchi watapewa maelekezo ya kuyaachia maeneo yao kwa makubaliano maalum ya...
Kuna jambo ambalo limenitia mashaka kuhusu mfumo wa Ajira Portal na namna baadhi ya mitihani inavyoendeshwa.
Mimi nilifanya usaili mmoja tarehe 11/4/2026 wa nafasi ya Afisa Tehama Msaidizi (IT...
Basi bwana, kuna mzee mmoja alitoka kijijini akafikia kwa wanawe Dar es Salaam kwa ajili ya matibabu ya hapa na pale. Kwa kuwa familia hii ni majirani zetu na pia ni watu wa kuficha mambo yao...
Huu sio wito wa majadiliano, huu ni msimamo na ujumbe unaolenga kuhamasisha jamii kuhusu suala la ushoga.
Inakuwaje ushoga uendelee kushamiri mitaani huku wahusika wakijinasibu mbele ya macho ya...
Mimi ni mdau wa JamiiForums, nipo Mwanza, Wilaya ya Ilemela, Tarafa ya Nyamhongoro, Kata ya Ibwinza.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukitegemea kisima kimoja kwa ajili ya kupata maji ya matumizi ya kila...
Sisi Wahitimu tuliomaliza masomo yetu kati ya mwaka 2014 na 2019 tunaomba Sekretarieti ya Ajira izingatie utaratibu wa kutenga au kugawanya baadhi ya nafasi za ajira kati ya wahitimu wa muda mrefu...
Kama taifa lazima tuzikemee hizi tabia zinazochipukia Kwa Hawa vijana wa hovyo kufurahia matokeo mabaya ya mpira .....kama mdau wa soka nakemea jambo hili
Lazima tuwe wazalendo Kwa kuwa serikali...
Wakuu Salaam
Sorry hivii mitandao ya simu inawajibika vp kumlinda mtumiaji wao dhidi ya wezi au matapeli wa kimtandao?
Kwa sababu kwangu me naona kuamini kwamba wote wanaotapeliwa hutapeliwa kwa...
Habari,
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu mfumo wa uongozi ndani ya Baraza la Uuguzi na Ukunga Tanzania (TNMC).
Kwa muda mrefu sasa, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa wauguzi wengi kuhusu...
Nikiwa mmoja wa waajiriwa wapya kupitia Ajira Mpya, na napenda kueleza changamoto kubwa tunayoipitia kuhusu fedha za kujikimu.
Kwenye baadhi ya halmashauri, inaelezwa kuwa fedha hizi zinafika...
Ningependa kupata ufafanuzi kuhusu matumizi ya mfumo wa TAESA katika utoaji wa fursa za mafunzo kwa vitendo (internship) na ajira kwa vijana.
Kwa muda mrefu tumekuwa tukihamasishwa kujiunga na...
Serikali imeweka sharti kwamba ili mtumishi apandishwe daraja, lazima awe amefikisha alama (score) ya angalau asilimia 75 kwenye mfumo wa PEPMIS kwa mwaka wa 2024/2025. Tatizo ni kwamba watumishi...
Kila mwaka shule nyingi za serikali huwa zinawaagiza wanafunzi kuja na vifaa kama majembe, mafyekeo, ndoo, mifagio na vifaa vingine vya usafi.
Swali langu ni hili; ikiwa maagizo haya yanatolewa...
Ndugu Wahusika,
Napenda kuwasilisha changamoto ambayo watumishi wengi wa umma wanakumbana nayo wakati wa kutumia mfumo wa e-Uhamisho katika kuwasilisha maombi ya uhamisho kati ya taasisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.