HOJA Threads

Nyasi-Man
Responded HOJA 
Kama hii land rectification letter ni ya kweli basi Samia ni land grabber aliekubuhu. Kwa mwenendo huu ni wazi mikopo mingi inaenda kwenye miradi binafsi hali inayozidi kuzorotesha miradi mingi ya...
19 Reactions
109 Replies
2K Views
Anonymous
HOJA 
Mikopo si jambo rahisi kama watu wengi wanavyofikiria. Nilichukua mkopo na kuanzisha biashara nikiwa na matumaini makubwa. Hata hivyo, nilitumia fedha nyingi kwenye maandalizi, biashara...
26 Reactions
83 Replies
2K Views
Kulingana na ufaulu wa kidato cha sita kuendelea kupanda na kuwa juu kadri miaka inavyozidi.Ni muda muafaka sasa mamlaka husika zikafanya jitihada za kimakusudi kutanua wigo wa masomo ya kozi za...
2 Reactions
12 Replies
216 Views
Anonymous
HOJA 
Hello Nina mwanangu ambae Siku zote alikua na ndoto za kusomea Diploma ya uuguzi. Lakini kutokana na kukosa vigezo Ikabidi ahangaike kutafuta D za masomo ya Sayansi kwa Miaka miwili mpaka...
2 Reactions
13 Replies
428 Views
Ni mara ngapi umepiga simu kwenye Taasisi na simu haikupokelewa? Ni mara ngapi umetuma ujumbe na hukujibiwa? Ni mara ngapi umepiga simu na number haipatikani sasa unajiuliza kwanini waliweka...
0 Reactions
1 Replies
54 Views
Mmekua na tabia ya kuchukua video/picha za waalikwa bila idhini yao na kuzipost kwenye kurasa zenu za mitandao ya kijamii,kwani nyie wenzetu mnaona ni Sawa? Mimi nimekuja zangu kwenye sherehe...
19 Reactions
73 Replies
803 Views
HIFADHI YA BARABARA YA MOROGORO INAANGAMIZWA MBELE YA MACHO YETU Je, serikali itaendelea kunyamaza hadi tutakapolazimika kulipa fidia tena? Nianze kwa kurudia RAI yangu kuhusu upanuzi wa...
6 Reactions
11 Replies
267 Views
Anonymous
HOJA 
Mimi ni Mwananchi kutoka Wilaya ya Kibaha Vijijini – Mlandizi, nina hoja moja kwa Wizara ya Afya kuhusu utaratibu wa kuandaa mwili wa marehemu ukiwa umeenda kuchukuliwa mortuary ili ukazikwe...
0 Reactions
22 Replies
422 Views
Anonymous
HOJA 
Walimu wa Halmashauri ya Mji Korogwe tunaomba kuwasilisha malalamiko yetu kwa umma labda yanaweza kufikia mamlaka za juu na kufanyiwa kazi kuhusu baadhi ya maamuzi yanayodaiwa kufanywa na Ofisi ya...
0 Reactions
1 Replies
55 Views
Anonymous
HOJA 
Bodi ya mikopo imekuja na mfumo tofauti tunapata changamoto kwenye upande WA disability form ukiwa unaomba wanahitaji reference number wakati hizo hatuna tunatumia form kutoka kwa DMO au RMO...
0 Reactions
1 Replies
69 Views
Katika mambo yanayoshangaza sana nchini ni ubutu wa Tume ya Ushindani wa Kibiashara nchini (Fair Competition Commission, FCC). Kuna mambo mengi sana nchini yanafanywa na wafanyabiashara kwa...
3 Reactions
13 Replies
196 Views
Anonymous
HOJA 
Kuna mama Arusha maeneo ya Philips, Mtaa wa Kimandolu na Mt. Meru Hotel (Sekei) inasemekana anachangamoto ya afya ya akili amekuwa akirusha mawe kwenye magari na kusababisha uharibifu mkubwa sana...
1 Reactions
3 Replies
136 Views
Anonymous
HOJA 
Wafanyakazi wa Halmashauri tunalazimishwa kuchangia fedha ya mwenge. Hii kisheria haiko sawa, Serikali inapesa ya kujiendesha na kufanya sherehe zake kama hizi bila Kuminya watumishi ambao vipato...
1 Reactions
5 Replies
108 Views
Anonymous
HOJA 
Fedha za basket fund ambazo huwa zinaingizwa kwenye vituo vya kutolea huduma za Afya kila baada ya robo mwaka haijaingia tangu mwezi disemba 2025. Hii imepelekea changamoto ya uendeshaji wa vituo...
0 Reactions
5 Replies
113 Views
Inasikitisha kuona gereji za magari zikifunguliwa holela kwenye maeneo ya makazi. Toka Dar, Arusha, Mwanza, hadi Mbeya. Zinavunja kuta za majirani, zinatupa mafuta na taka ovyo, zinaleta kelele...
1 Reactions
3 Replies
60 Views
Baada ya Waziri wa Fedha kuwasilisha Bajeti ya mwaka 2026/27, Serikali imeongeza kodi ya excise duty kwa magari kulingana na uchakavu wake, ambapo ongezeko ni kati ya asilimia 5 hadi 10 kulingana...
0 Reactions
0 Replies
41 Views
Kuna kampuni inaitwa RockTronic ya Moshi mkoani Kilimanjaro imepewa kujenga barabara ya Arusha-Moshi kipande cha UsaRiver-KIA kujenga upya barabara tajwa. Miezi miwili sasa hata njia za Diversion...
12 Reactions
61 Replies
1K Views
Anonymous
HOJA 
Taasisi Za Umma Nyingi Zinazohusika na Vibali (Regulatory Authorities) Kama BRELA TBS TMDA TCRA NEMC EWURA LATRA TRA OSHA GCLA n.k Hebu Ifike Hatua Tufanye Kazi Kwa kuwezesha zaidi na si kuzuia...
0 Reactions
0 Replies
58 Views
Anonymous
HOJA 
Nimewekeza zaidi ya shilingi milioni 40 katika bima ya maisha (life insurance) kupitia Jubilee Insurance, kwa matumaini ya kuwa na usalama wa kifedha wa baadaye. Hata hivyo, kwa sasa sina ajira...
2 Reactions
14 Replies
213 Views
Kuna watoto wa Watanzania hasa wenye kipato duni ambao walitakiwa kuanza masomo ya chuo kikuu mwakajana 2025, lakini kwa kukosa mikopo ya Elimu ya juu mpaka sasa wapo mitaani tu hawajui wafanye...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Back
Top Bottom