Ni baada ya kushindwa kulipa Tsh. 1,470,800. Aamua kurejea Mtwara. Kaburi lililochimbwa kwa ajili ya kumhifadhi marehemu lafukiwa.
Pia soma > Naibu Waziri wa Afya Dkt Ndugulile: Ni marufuku...
Habarini wapendwa,
Wiki hii mzee wetu alikuwa anaumwa Hernia, tarehe 07/11/2019 tukampeleka Mloganzila hospital akitokea hospitali ya Bagamoyo, kufika kule usiku akafanyiwa upasuaji, saa kumi...
Salamu wakuu,
Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina), kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana.
Wanauza bidhaa...
Hakika sasa watu watahoji hadi wataonekana wana wivu. Makonda Leo katoa Shilingi milioni 100 kwa Chama chake CCM ili kuanzisha mfuko wa kusaidiana ndani ya Chama.
Kwa sababu hakusema kuwa fedha...
Awali natoa pongezi kwa serikali kwa kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuyaondoa majukumu ya udhibiti ubora wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyahamishia TBS. Ni hatua nzuri ktk...
Tukitoa majanga ya asili kama mafuriko,ukame wa ghafla,magonjwa kunabaadhi ya mambo hufanywa na mkulima mwenyewe na kusababisha kuangukia pua na akaishia kulaani na kulaumu kilimo maisha yake yote...
Nashindwa kuelewa hii bodi ya wakurugenzi ya NMB, mbona mpo kimya sana na mambo yanayoendelea NMB kwasasa.
Huyu mtu anayeitwa Pete Novat amekuwa na madaraka makubwa sana kaachiwa na huyu Mama wa...
Ufisadi wa dola 250m (zaidi ya 400bn) umetikisa nchi kwa kuikosesha takribani miradi ya sh 3trilion imefahamika. Kampuni ya PAP ilipewa dola 122m (200bn), na kusaini makubaliano kikao cha kunduchi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.