DOKEZO Threads

Mtaani kwetu Manzese kuna tatizo kubwa la rushwa. Yawezekana wengine mkaliona dogo lakini kwa watu wa chini ni maumivu makubwa iko hivi. Kila mwezi kwenye baadhi ya serikali za mitaa ya kata ya...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Tamisemi iimulike wilaya Songwe kwani wilaya hii inajiongoza kama taasisi yenye kujitegemea. (independet Ogani).Imetuhumiwa katika mambo mengi ya ovyo ovyo. Haya yafuatayo: 1. Haifuati...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Makao Makuu ya CCM - DODOMA, Tunaomba mfuatilie suala hili kwa sababu linawaumiza wagombea wengi sana katika mkoa wa Ruvuma katika uchaguzi unaofanyika wa CCM. Mfano wa wazi: Kuna idadi ya watu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Am very sorry, I was misled the information written were not true, tuzipuuze kwani hazina ukweli wowote and am sorry endapo kama thread hii imepelekea kuleta usumbufu wowote, infact all that...
11 Reactions
104 Replies
7K Views
Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, tangu semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata senti moja. Swali, hao wanasemina wanaishije, usafiri, nk...
18 Reactions
155 Replies
14K Views
Jana ilikuwa siku njema sana kwangu hii ni baada ya kusikia tamko la serikali kuhusu bei elekezi ya mbolea. Nasema nimekunwa sana Kwa sababu hili lilikuwa aibu kubwa mwaka Jana . Mimi ni mkulima...
6 Reactions
31 Replies
3K Views
Anonymous
DOKEZO 
Habari watanzania na wana CCM, Kwa sasa wana CCM wote wanafahamu zoezi linaloendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi ni Uchaguzi wa VIONGOZI wa CCM ngazi mbalimbali, na hivi karibuni uchaguzi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari za muda, Nimeenda Kariakoo kuchukua spare fln ya gari nikafika pale mitaa ya fire nikauliza Bei akasema Bei ya spare hyo Ni 230000 lkn bila risti ataniuzia kwa 180000 mbya Zaid naona...
11 Reactions
138 Replies
6K Views
Iputi05
DOKEZO Responded 
Eneo la Kigamboni ni moja ya sehemu ya Dar es Salaam inayokuwa kwa haraka sana. Wahamihaji ni wengi sana, wakati huo huo uboreshaji wa miundombinu ya barabara na vivuko haiendani na kasi ya ukuaji...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimekuwa mfanyakazi wa kampuni moja kubwa sana hapa Dsm kwa zaidi ya miaka Saba sasa, baadae nilipelekwa mkoani kwaajili ya kazi yangu hiyo hiyo,hapa sitataja Mkoa kwa sababu ya kuficha uhusika...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
JanguKamaJangu
DOKEZO Responded 
Tuweke mzigo mezani Ndugu zangu kuna hii taarifa, yupo yeyote ambaye anajua ukweli wake, maana mtu ambaye yupo ndani mgodini amenitumia ujumbe huu ambao nimeambatanisha na picha alizotuma...
12 Reactions
64 Replies
8K Views
Red Giant
DOKEZO Responded 
Duniani ziwa Tanganyika ni la pili kwa ukubwa baada ya ziwa Baikal. Ziwa Baikal lina ujazo wa kilomita za ujazo 23,000 huku Tanganyika likiwa na 18,900. Nyasa lina 8,500 na Victoria lina 2,500...
115 Reactions
225 Replies
21K Views
Mpendwa rais SSH, Leo naomba niseme kwa ufupi haraka kuwa kuna jipu ambalo lilimshinda mtangulizi wako kwa sababu ambazo hazijulikani. Jipu hili si jingine basi Lugumi. Huyu bwana aliiba pesa...
0 Reactions
1 Replies
236 Views
bwashee2020
DOKEZO Responded 
Kwa siku za hivi karibuni, hospital ya Dar Group (T.O.H.S) imekuwa na mgogoro na wafanyakazi wake, hali inayopelekea mzoroto wa huduma za afya katika hospitali hiyo iliyopo eneo la Tazara ikiwa...
24 Reactions
140 Replies
27K Views
Ni baada ya kushindwa kulipa Tsh. 1,470,800. Aamua kurejea Mtwara. Kaburi lililochimbwa kwa ajili ya kumhifadhi marehemu lafukiwa. Pia soma > Naibu Waziri wa Afya Dkt Ndugulile: Ni marufuku...
21 Reactions
114 Replies
12K Views
Habarini wapendwa, Wiki hii mzee wetu alikuwa anaumwa Hernia, tarehe 07/11/2019 tukampeleka Mloganzila hospital akitokea hospitali ya Bagamoyo, kufika kule usiku akafanyiwa upasuaji, saa kumi...
21 Reactions
177 Replies
17K Views
Salamu wakuu, Hili nimekutana nalo jana, japo imekuwa sio ngeni ila hii niliipokea kwa uchungu mkubwa sana (sijui kwa vile ni Wachina), kama mzalendo ikabidi ‘nipachimbe’ sana. Wanauza bidhaa...
2 Reactions
100 Replies
12K Views
Hakika sasa watu watahoji hadi wataonekana wana wivu. Makonda Leo katoa Shilingi milioni 100 kwa Chama chake CCM ili kuanzisha mfuko wa kusaidiana ndani ya Chama. Kwa sababu hakusema kuwa fedha...
29 Reactions
75 Replies
7K Views
deonova
DOKEZO Responded 
Awali natoa pongezi kwa serikali kwa kuwasilisha bungeni muswada wa sheria ya kuyaondoa majukumu ya udhibiti ubora wa chakula na vipodozi kutoka TFDA na kuyahamishia TBS. Ni hatua nzuri ktk...
8 Reactions
32 Replies
6K Views
Markomx
DOKEZO Responded 
Tukitoa majanga ya asili kama mafuriko,ukame wa ghafla,magonjwa kunabaadhi ya mambo hufanywa na mkulima mwenyewe na kusababisha kuangukia pua na akaishia kulaani na kulaumu kilimo maisha yake yote...
23 Reactions
27 Replies
6K Views
Back
Top Bottom