DOKEZO Threads

Hapa ni soko kubwa la Kilombero lililopo jijini Arusha. Miaka nenda rudi wafanyabiashara sokoni hapa hulipia ushuru kila siku, lakini ushuru huo hauwasaidii wafanyabiashara hao kwa kuwekewa...
0 Reactions
2 Replies
712 Views
Wanafunzi wanaosoma katika shule ya sekondari Lemara pamoja na shule ya msingi Lemara zote za serikali wamenusurika kusombwa na Maji ya mto Themi wakati wakienda shule. Mwaka jana wanafunzi...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Jambo lingine ni kuwa baadhi ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuchangishwa fedha za mafuta katika magari ya kubeba wagonjwa kutoka...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Pro.Mkenda kuna shida kubwa sana sana ya watoto kukosewa usajili wa majina yao sahihi ya awali, kati na ubini. Hili jambo limekuwa ni kubwa na tatizo sana...
4 Reactions
12 Replies
4K Views
Kituo cha daladala Kawe ni kero kubwa sana kwa watumiaji wa kituo hicho, Kituo hakina ukarabati wowote, iwe masika na kiangazi, hakuna nafuu, ikiwa kiangazi kituo kinapambwa kwa mashimo na mabonde...
3 Reactions
6 Replies
949 Views
Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) inaelezwa kuwa Wanawake takribani 287,000 hadi 300,000 hufariki wakati wa ujauzito na kujifungua na zaidi ya Watoto milioni mbili hufariki katika siku...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
Kituo kikubwa cha daladala kilichopo Kilombero karibu kabisa na Soko la Kilombero jijini hapa kimegeuka kuwa kero kubwa hasa kipindi hiki cha mvua kutokana na kukosekana kwa sehemu ya kujikinga...
0 Reactions
6 Replies
748 Views
Habari Wadau, Ukweli hii ni kero ambayo mwisho wa siku itakuja kuzaa magonjwa ya mlipuko. Stendi ya Mbezi mwisho ya daladala ambayo hata magari ya Mwendokasi yanapaki pale, kuna kero ya watu...
3 Reactions
12 Replies
1K Views
Rais Samia Suluhu Hassan nianze kwa kukupongeza pia kukupa pole na majukumu mazito ya ujenzi wa Taifa. Tunamshukuri Mungu kwa kutupa Rais ambaye amefanikiwa kuliunganisha Taifa ndani ya kipindi...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
Ninamasikitiko sana ingawa Mwanza ni Jiji la pili baada ya Dar lakini barabara ya Kenyata ni mbovu sana kuliko barabara zote kuu za Tanzania. Serikali inatakiwa iiangalie hii barabara kwa jicho...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana. Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing. Second chupa haina filter, nikarudi...
16 Reactions
136 Replies
11K Views
Imekuwa ni kawaida iliyozoeleka Ocean Road kwa mgonjwa kufika kwenye miadi ya tiba (kama ilivyopangwa) asubuhi saa moja na kuja kupata huduma saa nne usiku. Hutokea wakati hata hiyo usiku anaweza...
10 Reactions
48 Replies
3K Views
Hii nchi kuna matukio ambayo huwa yanaonyesha kabisa dalili kuwa kuna harufu ya maafa lakini Serikali huwa ipo kimya, ila likishatokea hilo tukio utashangaa yanatengwa mamilioni ya posho kwa ajili...
16 Reactions
36 Replies
3K Views
Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao. Wananchi hao wamesema mara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mwanza ni Jiji la pili Tanzania linalokua kwa kasi kutokana na Wingi wa watu na miradi mikubwa ya kimkakati ambayo imejengwa kwenye jiji hilo, Lakini mbaya zaidi ni kwamba takribani mikoa yote ya...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakazi wa mtaa wa Ntundu kata ya Nsalaga jijini Mbeya wameingiwa na mchecheto baada ya taarifa ya fedha ya balozi wao Laulian Kiyeyeu kuwa na ukakasi. Tukio hilo lilijili mnamo tarehe 6 ya mwezi...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna utaratibu wa hovyo sana na uchezeaji wa kodi za Wananchi unafanyika mitaani kwenye magari ya Serikali. Mengi yametelekezwa ama kufichwa maeneo ambayo hayaeleweki mwengine yameondolewa namba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
High ways zetu hali si shwari ndugu zangu madereva wa mabasi ya masafa marefu na mafupi ni vurugu tupu dhana ya Defance drive ni zero jamaa wanafukuzana kama hawana akili nzuri. Kikao cha bunge...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wanaohitaji kuunganishwa na huduma ya maji safi na salama wamelalamikia kukosa huduma hiyo kwa takribani miezi sita kwa madai kuwa mamlaka ya maji safi na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hakika ukicheka na nyani utavuna mabua! Mtu mmoja aliyefahamika kwa majina ya WILFRED FRANK NJAU amesikika akilalamika kuombwa rushwa na maafisa wa TANESCO Mbezi beach, kiasi cha Laki tano ili...
8 Reactions
34 Replies
2K Views
Back
Top Bottom