Wana JF,
Nimekumbwa na tatizo la kumulikwa na watu wa maegesho. Nilienda kulipia nikashangaa deni linaongezeka kucheck majumuisho nikakuta kuna sehemu ambazo nilipita lakini sikusimama wala...
Mh Makamba sijawahi kuona wafanyakazi wako wazembe mkiwawajibisha kwenye ziara zako zakusikiliza kero za wananchi nafikiri ndio sababu wakandarasi wakishirikiana na wakaguzi Kabla ya miradi ya REA...
Kwenu Halmashauri ya mji wa Kibaha, kituo cha utafiti sukari Tumbi na shule ya sekondari Tumbi, kwanini pori linalohifadhi mazingira linachafuliwa kwa kumwagwa uchafu wa taka ngumu, miti inakatwa...
Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu kuhusiana ukiwamo utahini kwenye chuo hiki cha umma.
Takwimu hizi za matokeo ya hivi karibuni zinajionyesha:
Hii ndiyo ilivyo hali ya pale LST kwa miaka...
UDHAIFU KATIKA MAMALAKA YA MAPATO YA TRA SONGWE
kumekuwa na utendaji KAZI m'bovu wa mamalaka ya ukusanyaji mapato ya TRA songwe Kwa kudai Kodi zaidi ya makadirio yaliyofanywa Kwa mteja.
Ni zaidi...
Huu ni uonevu mkubwa,walimu wanashindwa kupewa kipaumbele na kuanza kulalamika hawajalipwa mishahara yao ya miezi miwili.
Taifa hili tunafika kubaya, nchi imeishiwa pesa hata ya kulipa mishahara...
Utapeli wa mtandaoni ndiyo habari ya mjini kwa sasa. Kuna aina nyingi sana huu utapeli wa huko mitandaoni. Ukiachana na wale wazee wa "Hiyo pesa tuma kwenye namba hii", kuna huu utapeli mpya...
Wakuu amani,
Nimefanya mawasiliano na ndugu yangu aliye kijijini mkoa wa Dodoma, mojawapo ya makampuni yetu ya simu (local) liliingia mkataba na kijiji miaka zaidi ya mitano iliyopita kwa ajili ya...
Wakuu angalieni vizuri statement za watu wa loan Board hasa wale wanaokaribia kumaliza deni, Kuna watu wanazifanyia adjustment, Sijui kwa malengo gani hapo Bodi ya mikopo ya elimu ya juu
Wenye...
Usiku wa jana kuamkia leo 7/10 saa nane, wakazi wa Mabibo mtaa wa Jitegemee walivamiwa na panya road, bado hakuna taarifa rasmi kwa upotevu wa mali na majeruhi.
Baada ya taarifa kuwa polisi...
JF wana
Nimefanya uchunguzi wa kitafiti kujua nini hasa malalamiko ya kila wakati ya watu kuiba miundombinu nikakuta kwamba kasi ya kupanda kwa nondo ndio sababu kuu watu kuiba nyaya za TANESCO...
Wakuu hivi tuseme hizi media zimeishiwa mbinu za kutafuta pesa au wanA wawezesha wasikilizaji?
Kumekuwa na mchezo mmoja saizi naona unasambaa kwenye kila redio.
Unakuta watangazaji wanasema tuma...
Baada ya Serikali ya Kenya kugundua 90% ya Ombaomba wa Nairobi Wanatoka mikoa ya kanda ziwa na baada ya Serikali kusema itaondosha omba omba wote Dar es Salaam kuwaudisha kwao au kwenye nyumba za...
Wakuu uzima upo kwenu?
Leo niseme kero tuliyo nayo waajiriwa wapya wa ajira za afya kwa mwaka 2022. Viongozi wetu mbona hatuwaelewi inakuaje mtu aliye pangwa kituo cha kazi toka mwezi wa 6 mpaka...
Wakuu naongea kwa ushahidi kabisa kilipo kituo kikuu cha Polisi Arusha kuna kamsitu pembeni na ndani ya hako kamsitu kuna njia za waenda kwa miguu wanapita basi imegeuka fursa kwa vibaka na mateja...
Wewe! Wewe Makinika!
Wanyamwezi wa jimbo la Igalula sio wajinga!wanaziona sarakasi zako!
Tumia akili
Serikali imejitahidi kufikisha umeme vijijini Sasa ni jukumu lako kuhakikisha unasambazwa...
Kuna hali ya sintofahamu hapa kwenye hii hospital sijui ni uzembe wa makusudi au hospital imekabidhiwa wanafunzi
Case 1: kuna ajali ilitokea ya magari yaligongana na ktk hyo ajali kuna watu...
Salaam Wakuu,
Jamani tunaomba msaada, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Alhad Mussa Salum atatutoa roho.
Baada ya rais Samia kuingia Madarakani, wale watu wa pesa inaongea Wamerudi kwa kasi ya...
Naam! Nadhani inajulikana kuwa Innocent Bashungwa ni Waziri wa TAMISEMI.
TAMISEMI iliweka utaratibu wa uhamisho wa watumishi wa umma, mfano walimu wanapotaka kuhama vituo vyao vya kazi, sharti...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.