DOKEZO Ufisadi Mwingine Idara ya Elimu Moshi Manispaa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

Kiwele Iwvata

New Member
Apr 7, 2023
2
0
UFISADI WA MITIHANI WA MUHULA MOSHI MANISPAA IDARA YA ELIMU MSINGI WATANZANIA WENZANGU KABLA SIJAELEZEA UFISADI HUO NAOMBENI TUWE WATETEZI WA SERIKALI YETU PAMOJA NA JAMII INAYOTUZUNGUKA UFISADI KATIKA MITIHANI YA MIHULA NITAELEZEA KAMA IFUTAVYO:

Wazazi wanachangishwa kiasi cha sh.1000 kwa kila mtoto(mwanafunzi).Jambo hili linafanya wazazi kulalamikia baadhi/kupeleka malalamiko yao kwa baadhi ya walimu ambao wanaelewana na baadhi ya wazazi wabaki na kinyongo wakisema wanaogopa kuongea kwa kuwa watoto wao watatengwa na walimu.

MASWALI:

1. Kwanini walimu wakuu wachangishe fedha za mitihani ya mihula wakati serikali ya jamuhuri ya muungano wa Tanzania inatoa fedha inayoitwa ya capitation Grant ambayo asilimia yake ni 20% ya jumla ya fedha hizo?
2. Je, walimu wakuu wanapo peleka hizo fedha kwa mtu aliyechaguliwa na kigogo huyo wa idara ya elimu msingi wanapewa risti za mashine ili siku ya kikao cha wazazi waonyeshwe risti hizo?

3. Kwanini wazazi wachangishwe fedha hizo wakati ofisi ya manispaa inayoitwa TRC ina vitendea kazi kama computers, printers na photocopy mashine?

4. Je, kama walimu ndio wanao tunga mitihani na hawalipwi chochote kwanini wachangishe pesa za wazazi?

5. Je, kama kuna fedha za kifungu cha capitation grant kwanini wasitumie fedha hizo kwaajili ya kununilia wino na badala yake wanachukuwa fedha kutoka kwa wazazi? Nakuwafanya wazazi waelewa wafikirie serikali vibaya kwaajili ya mtu mmoja au wachache?

6. Je kama upande mmoja wa karatasi katika stationary za kawaida ni sh.40 au 50 na karatasi hizo ni pande mbili tu ambazo zinagarimu sh.80 au 100 kwa ujumla kwanini wachangishe sh.1000?

7. Je, kwa nini wapokee fedha za kuandalia mitihani alafu wasitoe majibu ya mitihani hiyo kwa kuogopa kuwa ghrama zitazidi kwaajili Yakutoa majibu hayo kwenye karatasi?

8. Kwani hawa viongozi hawaoni juhudi zinazofanywa na serikali ya jamahuri ya muungono Watanzania inayoongozwa na mhe: Samia Suluhu Hassan Rais wa jamuhuri wa muungano wa Tanzania na Amiri jeshi mkuu wa nchi hii inavobana matumizi sehemu zingine kwaajili ya kupunguzia wazazi majukumu ili watoto wote wapate elimu?

NB: Huyu Fisadi mdogo NICHOLAUS NGONYANI (Afisa Elimu Manispaa Moshi) bado yupo kazini anajitapa kwamba hakuna wa kumfanya chochote anadai serikalini ana watu wazito hakuna wa kumgusa. Hali ni mbaya huyu jamaa kuendelea kuwepo ofisini ni kuwatisha walimu na kuendeleza tabia zake za kifisadi. Walimu wamezidi kufanya kazi zao kwa woga hasa wale waliosema ukweli kuhusu jambo lake. Kuna walimu wanazidi kuumizwa wengine kufukuzwa kazi na wengine kubambikiwa makosa ya uongo.
 
Back
Top Bottom