DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO Responded 
Kama kinavyoonekana hiki ndicho Kituo cha Afya Nyangoto, kinapatikana Mkoa wa Mara, Wilaya ya Tarime Vijijini, Kata ya Matongo (eneo kwa ujumla linafahamika kama Nyamongo). Changamoto yake Ni...
0 Reactions
2 Replies
254 Views
Wanafunzi wa Kampala kwenye upande wa Afya tunanyanyasika na lectures wa Kigeni, haswa sisi Wanafunzi wa maabara. Tunasimamiwa na raia wa Nigeria, hana msaada wowote zaidi ya kutunyanyasa na...
7 Reactions
39 Replies
980 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mheshimiwa Rais, Awali ya yote, tunakupongeza kwa kazi kubwa unayoifanya katika kuijenga nchi yetu, hususan katika kuboresha sekta ya afya. Sisi kama watumishi na wadau wa Hospitali ya Taifa...
3 Reactions
6 Replies
435 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kumekuwa na malalamiko yanayoashiria uwezekano wa matumizi mabaya ya fedha, ambapo baadhi ya viongozi wanadaiwa kunufaika zaidi na mapato ya hospitali huku watumishi wanaochangia kwa kiasi kikubwa...
0 Reactions
0 Replies
90 Views
Anonymous
DOKEZO 
Naandika ujumbe huu kwa niaba ya wafanyakazi wenzangu wa Joshmal Hotel, Arusha, ili kuwasilisha changamoto kubwa tunayokabiliana nayo mahali pa kazi. Sisi wafanyakazi tumekuwa tukifanya kazi kwa...
0 Reactions
5 Replies
143 Views
Anonymous
DOKEZO 
Tunaiomba Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora pamoja na mamlaka nyingine husika kufanya uchunguzi wa haraka na wa kina kuhusu malalamiko na tuhuma mbalimbali...
0 Reactions
1 Replies
136 Views
Anonymous
DOKEZO 
Tunaomba mamlaka husika kufanya uchunguzi wa kina kuhusu malalamiko mbalimbali yanayodaiwa kuwepo katika Hospitali ya St. Francis, Ifakara, hususan kuhusu mwenendo wa uongozi na athari zake kwa...
0 Reactions
2 Replies
107 Views
Kumekuwa na tetesi kwamba baadhi ya matajiri wanazuia mizigo ya watu kupitia maafisa wa bandari wasio waaminifu. Iko hivi kama unaleta kontena ya viatu basi tajiri alieshika viatu hapa bongo...
19 Reactions
77 Replies
1K Views
Anonymous
DOKEZO 
Chama Cha ushirika Tunduru TAMCU viongozi wanatumia vibaya madaraka, wanapeana posho mlima Kama juzi hapa chama kilifanya kikao na wajumbe wa TAMCU ukumbi wa Skyway uliopo Tunduru bageti...
0 Reactions
1 Replies
65 Views
Anonymous
DOKEZO 
Katika Kijiji cha Matokeo, Kata ya Langiro wilayani Mbinga mkoani Ruvuma, kumeibuka tuhuma nzito zinazohitaji uchunguzi wa haraka kutoka kwa mamlaka husika. Inadaiwa kuwa mwalimu mmoja wa Shule...
1 Reactions
4 Replies
215 Views
Huwezi amini wametangaza viwanja kwenye mfumo wa tausi kama kutimiza majukumu tu. Wametoa siku tano za preview. Viwanja vilitakiwa kuanza kununuliwa tarehe 5/06/2026 saa nne kamili asubuhi...
4 Reactions
17 Replies
272 Views
Suala la mmoja wa watoto wa Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin Amour (Komandoo), sasa limevuka mipaka ya utapeli wa kawaida na limekuwa jambo la usalama na uchafuzi wa taswira ya nchi...
3 Reactions
4 Replies
203 Views
Katika sintofahamu wanafunzi wa mwaka wa nne wa udaktari KCMC ambao bado wako semester 1 mpaka tarehe 12/06/2026 Kwa mujibu wa ratiba ya chuo,wametakiwa kulipia ada yote ya semester 2 ndipo...
0 Reactions
2 Replies
88 Views
Mwanongwa
DOKEZO Responded 
Hii ni Shule ya Msingi KIBISI iliyopo katika kata ya Kyimo Halmashauri ya Wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya na hii ndiyo hali halisi ya madarasa wanayosomea watoto wetu. Pia soma: ~ Halmashauri ya...
1 Reactions
10 Replies
360 Views
Anonymous (3827)
DOKEZO 
1. Vikundi vinapitia changamoto ya kusuasua kwa muda mrefu. Tulicheleweshwa wakati wa kuomba mikopo, na sasa tena tunazungushwa wakati wa kutoa fedha. Pesa zinatolewa kwa awamu, lakini tayari...
0 Reactions
0 Replies
74 Views
Nyakijooga
DOKEZO Responded 
Ni takribani miaka mitatu tangu kuanza kwa utekelezaji wa Mradi wa Awamu ya Nne wa Barabara ya Mabasi Yaendayo Haraka (Mwendokasi) katika kipande cha Mwenge hadi Tegeta (DAWASA). Hata hivyo, kasi...
2 Reactions
0 Replies
205 Views
Habari, Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kishiriki cha Elimu DUCE, nasoma kozi ya Bachelor of Education with Education, tukiwa zaidi ya wanafunzi 100 tunaokabiliwa na changamoto...
1 Reactions
13 Replies
477 Views
Back
Top Bottom