DOKEZO Threads

Anonymous
DOKEZO 
Mimi nipo Wilaya ya Ruangwa. Miradi mingi iliyozinduliwa na mwenge imekomea palepale bila kumaliziwa. Mfano ni kituo cha afya Chienjere na Shule ya Sekondari Namakuku. Miundombinu hii...
0 Reactions
1 Replies
77 Views
Anonymous
DOKEZO 
Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu utaratibu wa utoaji na uidhinishaji wa mikopo maalumu kwa watumishi inayotolewa kupitia Hazina. Nimeomba mkopo huo mara tatu katika vipindi tofauti...
2 Reactions
1 Replies
116 Views
Naomba kuuliza Wakuu Hivi kwanini Tanzania kuna kampuni 28 tu kwenye soko la hisa? Ukienda kuangalia kwenye nchi nyingine kama Afrika Kusini unakuta kuna kampuni kama 200 hivi ambazo watu...
4 Reactions
17 Replies
504 Views
Kuna namna fulani ya halmashauri pamoja na tume yetu ya kazi/ajira hapa nchini Tanzania inachangia kwa asilimia kubwa sana wafanyakazi kukosa stahiki zao kutoka kwa Waajiri wao hususani private...
1 Reactions
1 Replies
85 Views
Mimi ambaye nipo kwenye utumishi wa umma mwaka wa 11 sasa ndani ya ofisi 3 tofauti za serikali inatosha kuitwa mkomavu. WAFANYAKAZI wengi wa umma wanakwenda kazini aidha kupiga deal tu na wengine...
2 Reactions
18 Replies
353 Views
Nimeona taarifa kutoka Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha kwenye ukurasa wao wa Instagram kuwa eti kwa Mwaka wa Fedha 2025/26 kiasi cha Shilingi Milioni 420 zilipelekwa katika Kata 14 na kila moja...
0 Reactions
2 Replies
190 Views
Anonymous
DOKEZO 
Watumishi wa Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini (RITA) Rungwe Mkoani Mbeya wana Huduma Mbovu, wamekuwa na kauli mbaya dhidi ya wateja na pia hawatatui kikamilifu changamoto za kimfumo za...
0 Reactions
1 Replies
80 Views
Anonymous
DOKEZO 
Mimi ni dereva wa lori, Mtanzania, ninayeingia na kutoka nchini kupitia Mpaka wa Tunduma Border. Napenda kuwasilisha kero yangu kuhusu vitendo vya rushwa vinavyodaiwa kufanywa na baadhi ya Maafisa...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Anonymous
DOKEZO Responded 
Kero yangu inahusu baadhi ya watumishi wa umma ambao tumekosa kupandishwa madaraja kutokana na changamoto zinazotokana na matumizi ya mfumo wa PEPMIS na uzembe wa baadhi ya wakuu wa vituo. Baadhi...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Anonymous
DOKEZO 
Hii ilikuwa mara yangu ya kwanza kusafiri kwa treni ya SGR kutoka Dar es Salaam kuelekea Dodoma. Kwanza kabisa, napenda kuipongeza Serikali kwa uwekezaji mkubwa uliofanywa katika mradi huu, ambao...
0 Reactions
7 Replies
279 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kwa kweli suala la ajira, hususan katika baadhi ya taasisi za umma kama PCCB, limekuwa chanzo cha masikitiko na kukatisha tamaa kwa wahitimu wengi. Mimi ni mhitimu mwenye shahada inayokidhi...
1 Reactions
2 Replies
327 Views
Anonymous (29c2)
DOKEZO 
Wizara ya Ardhi pamoja na TAMISEMI zinapaswa kulitazama kwa makini suala la uuzaji wa viwanja kupitia mfumo wa Tausi, hususan kuhusu muda unaotolewa kwa wanunuzi kukamilisha malipo. Kwa sasa...
1 Reactions
1 Replies
126 Views
Anonymous (6498)
DOKEZO 
Kuna malalamiko kutoka kwa wataalamu wa maabara walio katika programu ya mafunzo kwa vitendo (tarajali) kuhusu kiwango cha malipo wanachopokea. Wataalamu hao wanaelezwa kuwa wanapaswa kulipwa...
1 Reactions
2 Replies
133 Views
Chama cha Wamiliki wa Malori Tanzania (TATOA) pamoja na Chama cha Mawakala wa Forodha Tanzania (TAFFA) vimeeleza kuwa wanachama wake wanaingia hasara ya mabilioni ya kutokana na ucheleweshwaji...
2 Reactions
11 Replies
982 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kero yangu ni Shule za Private kuhamisha wanafunzi ambao wanaona hawatapata division one form 4, wanawaandikisha wafanye mtihani Shule zingine bila kuwashirikisha wazazi. Kwa kweli inakera sana...
2 Reactions
1 Replies
224 Views
Anonymous
DOKEZO 
JE, NANI ATAOKOA KAWOSA LTD KARAGWE KABLA HAIJACHELEWA? Mimi ni mmoja wa wanachama wa KAWOSA LTD iliyopo Wilaya ya Karagwe, Mkoa wa Kagera. Kwa masikitiko makubwa, sisi wanachama tunaendelea...
0 Reactions
0 Replies
57 Views
Anonymous
DOKEZO 
Tunaomba msaada wa Waziri wa Maji, Juma Aweso, kuangalia kwa karibu suala la ajira za mkataba za wasomaji wa mita za maji zilizotangazwa hivi karibuni. Kumekuwa na malalamiko kuwa katika mchakato...
0 Reactions
4 Replies
85 Views
Dhamira ya Serikali JMT ya kuboresha mazingira ya kufanya Biashara Tanzania bado ni ndoto ya alinacha. Ukiwasikia viongozi wa kitaifa wanahubiri unaweza ukaona nchi ya ahadi iko karibu kuifikia...
0 Reactions
0 Replies
256 Views
Anonymous
DOKEZO 
Kuna shida kwenye kituo cha Afya Kimara Mavurunza. Mtoto chini ya miaka mitano hakishapatiwa huduma mzazi anaambiwa alipie dawa, na wakati mwingine huduma ni bure. Hii ni sawa wakuu? Soma Pia...
0 Reactions
0 Replies
192 Views
Back
Top Bottom