Aisee, nani angeweza kujua kuwa ndani ya CHADEMA kuna ujambazi wa kutisha wa fedha za wanachama na wananchi. Hiki kinyang'anyiro cha kugombea uenyekiti wa chama umeibua mambo mazito na kukianika...
KIZA CHAZIDI KUTANDA, WALIMU WALIA NA MADARAJA 2025
VIGEZO VYA PEPMIS VI
Changamoto ya kupanda madaraja kwa watumishi wa serikali imekuwa sitofahamu, ijapokuwa kwa kiasi flani serikali...
Sina muda wa kueleza sana, nimechoka.
Mmeajiri madaktari vijana wanakaa wanapiga story tu vyumbani badala ya kuhudumia wagonjwa. Watu tumekaa zaidi ya lisaa tunasikia wanachekacheka tu ndani na...
Wanajamvi
Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mwekezaji kutoka china amekabidhiwa na serikali eneo lote.lenye madini ya dhahabu katika wilaya za mkinga na Korogwe.
Katika maeneo ya korogwe ambapo...
Habarini,
Ofisi za ardhi Manispaa ya Sumbawanga imeendelea kuwatumia “watumishi wa kujitolea” licha ya wananchi kulalamikia jambo hili mara kwa mara kwenye ngazi husika.
Kuna watu wapo pale...
Mimi ni mtumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA).
Kumekuwepo na changamoto ya kukosekana kwa usawa na haki katika upandishaji wa madaraja na mabadiliko ya...
Serikali inapaswa kuliangazia kwa karibu zoezi la uandikishaji wa wanufaika wa TASAF katika Kata ya Nyambureti, Wilaya ya Serengeti, Mkoa wa Mara, hususan katika vijiji vya Gusuhi, Nyambureti na...
Sisi wakazi wa Mtaa wa Kisewe, Wilaya ya Temeke, tunapenda kuwasilisha malalamiko yetu kuhusu utendaji usioridhisha wa kampuni ya MACROBULUBA INVESTMENTS COMPANY LTD ambayo imepewa jukumu la...
Sisi Wafanyakazi 160 tuliopo katika Mgodi mdogo ambao unapatikana Mkoani Mara, Wilaya ya Musoma, Kata ya Kigera, Kijiji cha Kwitope chini ya Kampuni ya IDERA au GDM tuna changamoto ambazo...
Kuna jambo linaendelea ndani ya Chama cha Walimu Tanzania ambalo linaacha maswali mazito sana kwa walimu wengi na wananchi wanaofuatilia kwa karibu.
Kwa miaka mingi walimu walikata tamaa na chama...
Nipo hapa Hospitali ya Taifa Muhimbili ya Upanga Kitengo cha Mifupa (MOI) nina mgonjwa ambaye tayari anaingia wiki ya pili tangu alazwe. Changamoto kubwa ni kuwa mgonjwa ana tatizo la mshipa...
RITA Kilombero (Ifakara) wanachelewesha sana kutoa vyeti, halmashauri nyingine vyeti vinatoka haraka ndani ya siku 1-4 lakini kilombero inaweza kuchukua hadi mwezi.
Kuna mazingira ya rushwa pale...
Katiba ya Jamhuri ya Muungano ibara ya 20(1) inasema, “Kila mtu anao uhuru wa kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika, kushirikiana na watu wengine, na kwa ajili hiyo...
Hellow JamiiForums team, nimeona hiyo post ya Mamlaka ya Maji Igunga, nami nina jambo la kumshauri Waziri Aweso, asiishie hapo tu, pia kuna hizi Bodi za Maji za Mabonde, na zenyewe zichunguzwe...
Kuna malalamiko kutoka Kijiji cha Mwamapuli, Halmashauri ya Wilaya ya Mpimbwe mkoani Katavi, kuhusu geti linalodaiwa kukusanya ushuru wa mazao kinyume na taratibu.
Kwa mujibu wa wanaotoa taarifa...
Kuna haja kwa mamlaka husika kufuatilia kwa karibu kinachoendelea katika baadhi ya programu za incubation kwa vijana wabunifu zinazoendeshwa chini ya Atamiz/CBE. Kila mwaka vijana wengi hujiunga...
Katika Mkoa wa Mwanza, Kata ya Kirumba, kuna kituo cha afya kinachoitwa Optimisim Dispensary ambacho kinakabiliwa na malalamiko makubwa kutoka kwa wananchi na hata baadhi ya wafanyakazi wake...
Habari ndugu watanzania,
Naiomba serikali yangu tukufu iliangalie hili jambo ambalo mgodi wa barrick north Mara unatangaza wazi wazi kuiweka mahakama ya tanzania na serikali mfukoni kwamba...
Kwa nyakati tofauti Serikali na wadau mbalimbali wamesikika majukwaani wakihamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia ili kulinda mazingira, kupunguza athari za mabadiliko ya tabianchi na...
Hiki ni Kituo cha Afya, Kata ya Masanze, Mkoani Morogoro ambapo sehemu ya huduma imegeuzwa kuwa ya mifugo licha serikali ya Kijiji na kata kutoa taarifa lakini hakuna hatua yoyote inayochukuliwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.