Leo usiku, majira ya saa mbili hadi saa tatu, nilijikuta nipo kwenye moja ya grocery ndogo katika mji wa Mwandoya, wilaya ya Meatu mkoani Simiyu. Mazingira yalikuwa tulivu kama ilivyo kawaida ya...
Kiwanda cha Dawa kilichopo Keko (Keko Pharmaceutical Industries - 1997) ambacho kilichukuliwa na Serikali Mwaka 2019 kinavyoachwa kuteketea bila sababu yoyote huku kikiwa chini ya Serikali kwa...
Yas wanatumia vibaya uaminifu tuliowapa, nimeweka pesa kwenye kibubu kuhifadhi tu lakini wawezizua hazitoki na hawana majibu ya kueleweka salio la kibubu ni 0.
Lakini wanadai pesa ipo haijatoka...
Hii ni barabara kutoka Ubena Zomozi kwenda Ngerengere kwa mujibu wa mkataba ilitakiwa kujengwa ndani ya siku 365 ila mpaka sasa ni miaka 2 inaisha ila hakuna jitihada zozote kumalizika imebaki...
Anaitwa GIDEON MLOKOZI MASHANKARA ana umri wa miaka 30, mkazi wa Tabata Segerea,
Kazi yake ni mfanyabiashara wa kuuza magari lakini pia ni mwanaharakati huru wa mitandaoni,hajulikani alipo siku...
Nipo katika Mwananyamala Hospital na nakutana na changamoto kubwa ya upungufu wa madaktari. Wagonjwa ni wengi sana na foleni ni ndefu kiasi kwamba watu wanazidiwa hadi kwenye mabenchi ya kusubiri...
Bandari ya Kemondo(Kagera) kumekuwa na matukio yasiyofaa ambapo walinzi katika eneo ilo wamekuwa wakitumia kigezo cha kutokuwa na vitambulisho kuomba rushwa.
Lakini pia idara ya ulinzi ya eneo...
Sijui ni wangapi wamewahi kukumbana na na matatizo ya vodabima.
Kwa uzoefu wangu, mara tatu imetokea unalipa bima ya gari kupittia vodabima. Unapata ujumbe kuonesha pesa imetoka kulipia bima ya...
Mfanyabiashara Davis Mosha ameacha na mke wake wa ndoa aliyeishi naye kwa miaka 28 amekwenda kufoji nyaraka za kampuni hukumu imetolewa mke hajapewa urithi hata pini.
Masikini ya Mungu Huyu...
Hivi karibuni mimi pamoja na watu kadhaa wa karibu tumepitia tatizo la kiafya la kummwa na tumbo, kuharaha na wengine kutapika. Huu unaoneka sio ugonjwa wa kawaida ni kama kuna mlipuko wa homa ya...
Watumishi wa kada ya uhandisi walioajiriwa tarehe 1 Desemba 2020 katika shule za sekondari za ufundi za serikali wamekuwa wakikumbana na changamoto kubwa katika utumishi wa umma kutokana na...
wasaalam
tarehe 02/05/2026 pale UDSM yombo 4 kulikuwa na zoezi la kufanya written interview kwenye kada mbalimbali lakini cha ajabu mpaka leo tarehe 06/05/2026 hawajatoa majibu ya usaili huo...
Kiukweli nimesikitika sana UDSM kuficha matokeo ya wrriten interview iliyofanyika tarehe 02/05/2026 pale yombo 4 mapaka sasa matokeo hayajawekwa kwenye website rasmi ya Secretariat ya ajira huku...
Halmashauri ya Wilaya ya Igunga, Tabora, tuliajiriwa Mwaka 2017, tangu wakati huo hatujawahi kupata pesa yetu ya kujikimu (subsistence allowance) tumefuatilia sana na kila hatua tumepita barua...
Nikiwa pamoja na wenzangu zaidi ya 70, tulikuwa tukifanya kazi katika Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kwa takribani miaka mitano. Tulielezwa ajira zetu zingekuwa za mikataba ya muda mfupi ya...
Nimelazimika kuandika hapa huku nikiwa na huzuni sana kwa kuwa tumevumilia lakini tunaona uvumilivu unaelekea ukingoni.
Ni Miezi mitano sasa toka Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Afanye uteuzi...
Tanzania hii hasa Tanganyika hali ni tete kwa sasa nipo Morogoro, nashuhudia mashindan ya kupandisha nauli kwa vyombo vya usafirishaji huku wakida EWURA imepandisha bei ya mafuta, wapo...
Kuna watu watatu wamepigwa risasi za moto na askari waliokuwepo kwenye msafara wa Mkuu wa Wilaya ya Uvinza walipokuwa wakielekea Kijiji cha Kalilani kilichopo mkoani Kigoma Wilaya ya Uvinza...
Eneo la wazi la Biafra Kinondoni limebeba kumbukumbu na historia ya makuzi ya watu wengi kwa miongo kadhaa. Wengi wetu tumelikuta kama sehemu ya michezo, mikutano ya kijamii na hata sehemu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.