Habari,
Mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika Chuo Kishiriki cha Elimu DUCE, nasoma kozi ya Bachelor of Education with Education, tukiwa zaidi ya wanafunzi 100 tunaokabiliwa na changamoto...
Chuo Cha KCMC kimetangaza rasmi kupitia CR wa wanafunzi udaktari (MD) mwaka wa nne kikiwataka kulipa ada ya semester ya pili ilihali bado wako semester ya kwanza na kinatishia kuwa hakitawaruhusu...
Kuna malalamiko kuhusu matukio ya upotevu wa fedha kwenye akaunti za baadhi ya wateja wa CRDB katika Manispaa ya Morogoro. Miongoni mwa walioathirika ni baadhi ya wanafunzi wa Chuo Kikuu cha...
Mimi ni mmoja wa wananchi ninayepata huduma katika ofisi za NIDA, eneo la Chang’ombe mkoani Dar es Salaam. Kwa kweli kuna changamoto kubwa sana kwenye namna ya utoaji huduma, hasa upande wa...
Ninaomba kuwasilisha kero kuhusu uhaba mkubwa wa walimu wa somo la Literature katika shule nyingi za serikali kwa ngazi ya kidato cha tano na sita.
Serikali ilianzisha kombi mpya za masomo...
Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro inadaiwa kuwepo na changamoto katika ugawaji wa maeneo ya biashara kwa wafanyabiashara wadogo.
Kwa mujibu wa malalamiko ya wafanyabiashara, maeneo hayo ambayo...
Habarini,
Mimi nikiwa mmoja kati ya wahanga waliotapeliwa na kampuni ya 4H REAL ESTATE company limited, nawashauri msiende nimeuziwa kiwanja chenye mgogoro maeneo ya Mbutu, Kigamboni
Pia kuna...
Wakuu
Bila shaka unakumbuka vizuri kuhusu utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu jijini Dodoma, ambao ulitangazwa kuwa ni miongoni mwa miradi ya kimkakati kwa ajili ya...
YAH: OMBI LA UFANUZI KUHUSU IDADI YA WAHITIMU WA MAFUNZO YA POLISI TAREHE 22 MEI
Mheshimiwa Inspekta Jenerali wa Polisi,
Kwa heshima na taadhima, napenda kuwasilisha ombi hili la ufafanuzi...
CHUO KIKUU CHA DODOMA KUNA NINI?
Tumepokea malalamiko kutoka kwa wanafunzi kadhaa walio tarajiwa kuhitimu masomo yao kati ya mwaka2023/2024 kwamba zaidi ya wanafunzi 400 wamekuwa Discontinued...
Hivi karibuni Wabunge wa Zanzibar ambao wanawakilisha katika Bunge la Jamhuri ya Muungano walijichanga na kutaka kutoa zawadi kwa Wananchi wa Pemba, ambapo waliandaa nyama.
Nyama hiyo iliingizwa...
TECU imekuwa kichaka cha mameneja wa Mikoa na baadhi ya watu kutoka TANROADS HQ kujinufaisha, wamekuwa wakiweka figisu miradi mingi isimamiwe na TECU ili waendelee kupata fedha bila kazi.
Private...
Mkurugenzi wa Manispaa ya Shinyanga Amekuwa akificha barua za uhamisho zinazotoka kwa OR Utumishi kwa baadhi ya watumishi ambao ana chuki nao.
Na pia amekuwa akifanya Hamisho za ndani kwa...
Salamu Wakuu wa JamiiForums,
Sisi ni wauguzi wenye degree (Shahada ya kwanza) nchini Tanzania tunalalamikia hali yetu. Tunaandika ujumbe huu kwa sauti kubwa kwa sababu ukimya wetu unachukuliwa...
Siku ya tarehe 26 mwezi 5, 2026 mhakiki mali wa Tabora au dalali wa Serikali ambaye ni mtumishi wa Serikali chini ya hazina kaficha baadhi ya magari taktibani 5 ya mnada uliokuwa Tabora kama Land...
Kiukweli ni hospitali nzuri tu, wanatoa huduma nzuri, ila changamoto ni gharama za kujifungua zipo juu.
Miaka miwili iliyopita, kujifungua kwa kawaida ilikuwa unachangia elfu hamsini, na kwa...
Ofisi ya Rais – TAMISEMI imemhamisha aliyekua Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mpimbwe kwenda halmashauri ya Mji Nanyamba huku akiwa na tuhuma za wizi wa fedha za serikali.
TAKUKURU wilaya walikuwa...
Kupanda kwa bei ya mafuta kunakoendelea kumesababisha ongezeko la gharama za maisha, ikiwemo bei za bidhaa mbalimbali na huduma muhimu za kijamii. Miongoni mwa athari zinazozidi kujitokeza ni...
Rushwa Rushwa Rushwa!!
Maafisa Rasilimali Watu, Makatibu wa Afya na viongozi waandamizi Ofisi ya Katibu Mkuu na Porthealth wanachukua Rushwa (Million 5 hadi 7) kuhamisha watu vituo, ilihali...
Mimi ni kijana ninayeomba ajira zilitolewa TAKUKURU lakini kuna sharti la Cheti cha Darasa la Saba, ukweli mtupu kuwa tuliohitimu Mwaka 2015 Darasa la Saba hatukupata vyeti hadi sasa havipo.
Hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.