Recent content by Zyasila

  1. Z

    Enzi zetu bwana!! Mambo yalikuwa hivi...

    Kuna siku na mbalamwezi na jogoo nikajiandaa kwenda shule kilomita kadhaa. Kufika shule nilisubiri si chini ya masaa mawili kabla hakukucha. Yaani shule ilikuwa kwenye damu. Wazazi walikuwa hawakagui maendeleo ya wanafunzi na kulikuwa hakutolewi taarifa za maendeleo ya wanafunzi.
  2. Z

    Rais Mstaafu Mkapa, ataka mjadala wa kitaifa kujadili hali ya elimu nchini baada ya shule za Serikali kufanya vibaya

    Hapo baado tukianza mfuko wa elimu hadi darasa la 12 bila kizuizi itawaje maana nasikia mwanafunzi akifika darasa la 6 ataanza kidato cha kwanza bila mchujo! !!
  3. Z

    Mitandao ya simu, hawa watu wanatoa wapi namba zetu?

    Hao ni matapeli, mimi huwa nazifutaga tu hizo jumbe. Inawezekana hakuna anae wapa hizo namba bali wanazibuni.
  4. Z

    Meseji (SMS) za dawa za Kiganga: Je, hawa ni matapeli? TCRA mko wapi? Namba wanatoa wapi?

    Jana nimeipata hiyo ya Halima nikamjibu wrong no, lakini baadae wife kapata pia ujumbe km huo nikagundua ni utapeli. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Z

    Migambo wa vita vya Kagera

    Wakati huo nilikuwa darasa la na mgambo wote niliwafahamu walirudi salama. Kusema kwamba waliwekwa mbele yaweza kuwa si kweli maana wengi wakipelekwa Uganda wakati nduli keshazidiwa nguvu. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. Z

    Kashfa ya kufumaniwa uchawi ni fundisho kwa wafanyakazi wengi nchini

    Mwandishi kapoteza focus Sent using Jamii Forums mobile app
  7. Z

    Mwanafunzi wa kidato cha kwanza afanyiwa jambo la kikatili na mwanafunzi mwenzie Geita

    Mie form one nilikuwa na 17 yrs, nilichunga ng'ombe kwanza kisha shule. Hapana kuchezewa ovyo na form two enzi hizo. Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
  8. Z

    Kufuatia uhakiki unaohusisha vitambulisho vya NIDA:watumishi wa umma wanaumbuka bila kutegemea

    Makosa mengine yamefanywa na mwajiri hasa kwenye salary slips nyingi wameabalisha mwezi na tarehe za kuzaliwa. Kwa mfano : documents za mfanyakazi zipo sahihi km vile kuzaliwa tarehe 10 February, salary slip unakuta inaonyesha 2/10!! mwaka sahihi lakini tarehe na mwezi tofauti. Sent from my...
  9. Z

    Nilichoshuhudia POLICE Jana!

    Nadhani hapo ni hadith njoo uongo kolea [emoji2][emoji2][emoji2] Sent from my SM-T231 using JamiiForums mobile app
  10. Z

    Naimisi Tanzania ya miaka ya 70

    Enzi hizo nilikamatwa na polisi na kunishikiria kwa masaa kadhaa kisa nimenunua vitu vichache kama sabuni za lifeboy na colgate pale Tunduma mpakani na Zambia kwa matumizi yangu ya shule. Hivyo maisha hayakuwa mazuri kivile hasa kwenye kile kipindi cha miezi 18 ya kufunga mikanda baada ya vita...
  11. Z

    Ushauri kwa wana JF kuhusu suala la mapenzi bila kinga

    Huo ni ugonjwa wa ngono, katubu na kumrudia Mungu wako.
  12. Z

    TANZIA: Mwanachama mwenzetu, PakaJimmy amefiwa na mwanae ajali ya basi Arusha

    Pole ndugu yetu pamoja na wafiwa wote kwa msiba mkubwa. Mungu awape ustahimilivu kwenye mapito haya.
  13. Z

    Kwanini Wanajeshi wengi wakipewa Mkopo hukimbilia kununua tu Magari na si kujiendeleza Kimaisha?

    Nadhani tunawaonea wanajeshi, siku hizi nadhani ni generation ya sasa wenye fani nyingi na walimu wakiwepo wanafanya. Sisi tulikula chumvi kidogo usafiri ilikuwa ajenda baada ya nyumba. Ukifanya utafiti si ajabu kukuta zaidi ya 50% wenye magari hawana nyumba, sidhani km wote watakuwa wajeshi.
Back
Top Bottom