Ushauri kwa wana JF kuhusu suala la mapenzi bila kinga

take a tour hosptali kwa walioathirika, iyo itakupa motivation ya kutumia knga
 
Basically mleta mada unatumika financial and sexual kwa hao wanawake unapopita.
 
mwendokasi tano kubwa duuh!! hizo sio private parts tena...

Anamaanisha hizi? 😱😱😱
upload_2017-5-9_11-53-53.jpeg
 
Hujachelewa, anza sasa kuvaa kinga. Kama utakuwa umeathirika basi utakuwa unaokoa wengine.
 
Kilichokufanya kuwabadilisha hao wanawake kama unapanda daladala ukienda umepanda hili na ukirudi umepanda lile ni hasira/stress za kuachana na mkeo tu!

Siku zote usichukue maamuzi ukiwa na hasira sana wala usiweke ahadi ukiwa na furaha sana!

Angalia sasa kama utakua umeathirika huoni kua utakua umewapa wakati mgumu hao wanao wanne?

Yaani mtu unakatisha uhai wako kwa starehe ambayo haifiki hata dakika 5 au 10?!

Mwisho nikuombee kwa Mungu akusamehe na ujutie maasi uliyoyafanya na in sha Allah usiwe umeambukizwa gonjwa baya.
 
mwendokasi tano kubwa duuh!! hizo sio private parts tena...
Kimoko kimoko mbona hizo namba ziko sawa tu,kwa wale wa kusimamia kama baiskeli ndio wanajiumiza wao.
 
Duuu inamaana dada zetu wote apo dar umepita nao? Punguza sifa mkuu inamaana kwa siku unapga wangap
 
Mke wako alikua sahihi kuachana na wewe, nampongeza sana
 
Wana JF wenzangu napenda ushauri wenu

Mimi nina 35 yrs na ni baba wa watoto wanne. Bahati mbaya nimetengana na mama yao ndani ya miaka 2 iliyopita. Naishi Dar mwaka huu wa15.

Tangu naingia kwa kweli nimetembea na wanawake nisiojua idadi yao wanaeza wakajaa mwendokasi 5 kubwa, Mungu nisamehe. Lakini tangu hapo mwanzoni sikuwahi fanya mapenzi bila kinga miaka yote na nilipokuwa namsikia mwanaume mwenzangu akisema kafanya bila kinga nilimuona mtu wa ajabu na huenda aliefanya nae kamutoa Buguruni au Ambiance.

Sasa baada ya kutengana na mama watoto wangu nilikutana mdada mmoja anafanya kazi Barrick Gold Mining as an expeterate, she is 34. Basi nikaanza nae baada ya kupima ila mimi licha ya kupima sikuwa tayari kufanya bila kinga. Mwisho wa siku nimejikuta nimeenda bila kinga sasa baada ya hapo nimeshindwa kujizuia kila nikikutana nae situmii kinga.

Sielewi ni shetani gani huyu mpaka sasa baada ya kutengana na mama watoto nimetembea na wanawake karibu 40 bila kinga.

Ushauri ndugu zangu awali sikuwa hivo
40UNAPIGA KELELE SUBIRI WENZIOO WAJE WA MEJAZA 48FT CONTAINER NA BADO WENGINW WAKO NJE WANASUBIRIA KUINGIA
 
Wana JF wenzangu napenda ushauri wenu

Mimi nina 35 yrs na ni baba wa watoto wanne. Bahati mbaya nimetengana na mama yao ndani ya miaka 2 iliyopita. Naishi Dar mwaka huu wa15.

Tangu naingia kwa kweli nimetembea na wanawake nisiojua idadi yao wanaeza wakajaa mwendokasi 5 kubwa, Mungu nisamehe. Lakini tangu hapo mwanzoni sikuwahi fanya mapenzi bila kinga miaka yote na nilipokuwa namsikia mwanaume mwenzangu akisema kafanya bila kinga nilimuona mtu wa ajabu na huenda aliefanya nae kamutoa Buguruni au Ambiance.

Sasa baada ya kutengana na mama watoto wangu nilikutana mdada mmoja anafanya kazi Barrick Gold Mining as an expeterate, she is 34. Basi nikaanza nae baada ya kupima ila mimi licha ya kupima sikuwa tayari kufanya bila kinga. Mwisho wa siku nimejikuta nimeenda bila kinga sasa baada ya hapo nimeshindwa kujizuia kila nikikutana nae situmii kinga.

Sielewi ni shetani gani huyu mpaka sasa baada ya kutengana na mama watoto nimetembea na wanawake karibu 40 bila kinga.

Ushauri ndugu zangu awali sikuwa hivo
Kabla kukushaurii Kwanzaa kabisaa naomba acha uasheratii na uzinzii kwa sababu utakufa uwaache watoto wako wakitesekaa kwa nin usitafte utakaye mpenda alafu umuoe kabisaa!!
 
Endelea mkuu bila kinga usijikoseshe utamu bureeeView attachment 505173

Back
Top Bottom