- Thread starter
- #21
huko Marekani ulishaona watu wamekaa foleni kusubiri kununua sabuni mbuni, mafuata ya taa, dawa ya mbu, mkate wa Siha, n.k?
Unazungumzia miaka ya themanini baada ya vita. Hata Marekani baada ya vita vya Iraq uchumi ulikuwa zero watu wakakosa kazi wameokolewa na mikopo. Na deni la nchi limezidi mara tatu mpaka leo.
Nyerere alikosa wa kumsaidia tu na alipoona vimezidi na hakukubaliana na masharti ya wazungu akaacha na urais wenyewe.