Ndio ukome kuanzia leo kuandika uozo.Hongera kwa matusi. Ila najua kwenye familia yenu yupo mmoja wa kumfaa hilo tusi. Kami sio wewe ni huyo mwingine
Ndio ukome kuanzia leo kuandika uozo.Hongera kwa matusi. Ila najua kwenye familia yenu yupo mmoja wa kumfaa hilo tusi. Kami sio wewe ni huyo mwingine
wakuu naomba niwajibu hizi namba huwa zinapatikana vipi ,hawa watu huwa wananunua line zilizotumika kwa sh 500 mpaka 1000 za kitanzania kwa line moja na wanaowauzia hizi line ni mateja, wezi wa simu, au wanunuzi wa simu za wizi. Yaani kama mimi nina namba yako kwenye phonebook then napoteza simu au naibiwa basi line yangu peke yake ni dili sababu contacts zangu zote zipo hivyo ikifika kwenye mkono wa teja yeye anaenda kuuza hiyo line kwa hawa matapeli hivyo wanatumia hiyo line kutuma hizo spam msg wakimaliza phonebook nzima hapo line inavunjwa.Nakaribisha maswali .Naomba kuuliza mitandao ya simu hawa watu wanatoa wapi namba zetu? Mana imekuwa mtindo wao kujitangaza kwa mtindo huu kujifanya wamekosea kutuma ujumbe, Mtakuwa mna 10% zenu kwenye haya matangazo inaonekana View attachment 695416View attachment 695417
jana nimetumiwa nikammiminia huyu bwana mitusi mwili mzimaMie nilipata anasema eti alimpa dawa mwenye mabasi ya SUPERFEO hahaha
Pole sanajana nimetumiwa nikammiminia huyu bwana mitusi mwili mzima
aaahh jombaa ulimpatia sana yanWanakera sana hawa wajinga.
Hiyo namba ya hao matapeli sio yangu mkuuMkuu na wewe umetuwekea namba yako hadharani. Asante subiri ujumbe toka kwangu
1. Ukiibiwa laini huwa unaripot mtandao Husika Kuifunga Hata Kama siyo On The spot Lakini baada Ya Muda Uta Swap Na inakuwa Vigumu Kwa mwizi Kuweza Kupata Contact Via stolen Sim Card.wakuu naomba niwajibu hizi namba huwa zinapatikana vipi ,hawa watu huwa wananunua line zilizotumika kwa sh 500 mpaka 1000 za kitanzania kwa line moja na wanaowauzia hizi line ni mateja, wezi wa simu, au wanunuzi wa simu za wizi. Yaani kama mimi nina namba yako kwenye phonebook then napoteza simu au naibiwa basi line yangu peke yake ni dili sababu contacts zangu zote zipo hivyo ikifika kwenye mkono wa teja yeye anaenda kuuza hiyo line kwa hawa matapeli hivyo wanatumia hiyo line kutuma hizo spam msg wakimaliza phonebook nzima hapo line inavunjwa.Nakaribisha maswali .
Naomba kuuliza mitandao ya simu hawa watu wanatoa wapi namba zetu? Mana imekuwa mtindo wao kujitangaza kwa mtindo huu kujifanya wamekosea kutuma ujumbe, Mtakuwa mna 10% zenu kwenye haya matangazo inaonekana View attachment 695416View attachment 695417
Nilitumiwa ujumbe mara mbili, ikanikera nikawapigia lakini hawakupokea. Nilitaka kuwapa maneno ya ajabu yangewashangaza wao na familia zao.Mimi tokea wanitumie mara moja na nikawaandikia Mkeka wa Matusi / Shombo wenye Urefu wa Tegeta Nyuki hadi Mbagala Kizuiani hadi leo sijaona tena meseji nyingi ikitumwa Kwangu na nahisi labda huwa wanakuwa na hamu ya Kunitumia ila wakifanya tu review na matusi niliyowapa wanaufyata / wananywea.
Nilitumiwa ujumbe mara mbili, ikanikera nikawapigia lakini hawakupokea. Nilitaka kuwapa maneno ya ajabu yangewashangaza wao na familia zao.
Yamkini waling'amua kuwa wameingia ndani ya 18. Mpaka leo sijaona huo upuuzi.
Punga huandika pumbaNdio ukome kuanzia leo kuandika uozo.
Hiyo namba ya mke wangu hapo juu umeipataje. Shindwa na ulegee mwana izaya wewe.......

Safi sana. Na hakika hawatakaa waje wakusahau kwa jinsi unavyoelezea huo mkeka urefu wa hizo kilometers mpaka Mbagala, nadhani hata TCRA wale waganga wakituma tu wana unaublock usije wakoWala walihisi kuwa na Wewe ulikuwa unajipanga kuwatolea Matusi / Shombo ambayo pengine yangewafanya hata waachane kabisa na huo Uganga wao wa Kipopoma / Kingumbaru / Kijinga. Yaani Mimi nahisi kwamba ule Mkeka wangu wa niliowatumia kila siku huwa wanaupitia na wanatetemeka mno kwani nilitema Cheche za Kufa Mtu na siku hiyo ndiyo ilikuwa mwanzo na mwisho Wao kunitumia mameseji yao hayo. Nawashangaa mno wanaosema kwamba kila siku huwa wanatumiwa tu hizo hizo meseji.
Usimuite msaidizi wako wa nyumbani "beki tatu", hilo ni neno la kudhalilisha kwa mtu anayekusaidia malezi ya watoto na familia yako.Sidhani kama wananunua namba kwenye vitabu maana kuna siku nilinunua line mpya kwa ajili ya beki tatu wangu home tukaisajili ofisi za mtandao kabisa tukiwa njiani tunarudi home messeji ya aina hiyo ikaingia. Akanionyesha nikashangaa sana maana mimi nilishazizoea. Nadhani wana kamtambo kakudaka mambo ya simu. Watu wana utaalam mwingi sana mitaani huko.