Recent content by zwagu

  1. Z

    JamiiForums Tanzania Anayejua hili jengo lipo wapi na linahusika na nini adondoshe comments zake hapa.

    Hapo ni Tandale kwa mtogole karib na kituo cha daladala barabara ya kuelekea uwanja wa fisi
  2. Z

    JamiiForums Tanzania Kanisa Katoliki na siasa za kinafiki Tanzania

    Mimi mkatolic pure, ila jamaa kaongea vyema na namuunga mkono. Viongoz wetu wako kmya kiac kwamba hawayaon yanayoendelea wakat awamu iliyopita walikuwa macho kana kwamba walikuwa na ugomvi na rais
  3. Z

    JamiiForums Tanzania Mbunge Mwita Waitara (CHADEMA) ni mfano kwa jamii

    Daudi Bashite kesho atakuwa Azania sec kufundisha Physics form four
  4. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anachukiwa na hawa na kwa sababu hizi...

    Nalichukia xana hilo limjamaa.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Nataka nhamie shule ya KOLOMIJE
  6. Z

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Bi. Salma Kikwete kuwa Mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Raishi Makufuli hongera baba mtetezi wa wanyonge. Toa ajira baba. Ni wewe tinayekuaminyi hakuna mwingine. Hongeraa mwechumiwa.
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Broo niliosema mm n ukwel, sema wahandisi mnajiona xana wala hamtak kpokea mapungufu yenu. Hivi ww unaweza kpokea tender ya serikali kweli. Unao huo mtaji. Maana unatakiwa ujenge jengo likishainuka ndo serikali itoe hella. Hapa UDSM vihandisi vinajishaua akat vikihitim shda tu kwanza utaalam zero
  8. Z

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Mhandisi wa bongo hana insu, kwanza hata utaalam wao ni zero. Hawana mitaji ya kuanzisha majengo. Ndo maana mchina anapewa tenda kuliko wa bongo
  9. Z

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya ku-highlight sentensi au maneno kwa rangi humu JamiiForums

    Kazi rahic kumbe [/color]
  10. Z

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimekosea kutuma TZS 500,000 muda wa maongezi badala ya mpesa

    Unga bando LA karne
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Jengo la taasisi gani hilo?

    DAUDI BASHITE TOWER
  12. Z

    JamiiForums Tanzania Mwenye Taarifa ya ajira za walimu wa Arts

    Kwani mmemalza kuisoma nomber??? Isomeni kwanza ajira February 2020. Alafu kwa ujinga mlionao October 2020 mnasahau kila kitu.
Back
Top Bottom