Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,118
Tusipokuwa makini tutayumbishwa na wanasiasa mpaka dunia ipinduke
Pakoje bossDutwa Bariadi[emoji23] [emoji23] [emoji23]...Jibondo mafia ndo niko huku usiombe jamaa angu....hapafai
Teh teh......siasa ina mambo!!!Kwani darasa ni choo? Kuna sheria inayomzuia mtu kupiga picha darasani? Hata wewe ukitaka waweza kwenda kupiga tu
Kwih kwih,........Kimbia faster kamuonyeshe mkata umeme aanze kufyatuka hovyo
Waalimu wakianza kupiga selfie na wanafunzi darasani msiwalaumu....post: 20182626 said:Kwani darasani ni kambi ya jeshi?
Mazuri mazuri...Nasema hii awam tutaikumbuka kwa mengi
Pia atafundisha kwa kipindi gani? Muhula, mwaka au?Mambo ya kijinga tu kwahiyo atafundisha hesabu jimbo zima? Badala ya kuisimamia serikali isomeshe na iajiri walimu wa hesabu anafundisha mwenyewe, na jpm akachundishe physics au?
Kwa vile siasa za ccm ni uadui kama alivyosisitiza Magufuli juzi , basi tunatarajia walimu wote wa shule hiyo kufukuzwa kazi .Mbunge wa Ukonga mwalimu Mwita Waitara CHADEMA akifundisha somo la hesabu katika shule ya sekondari Chanika leo.
View attachment 481820
Je, serikali tatizo la walimu wa sayansi na hesabu nadhani limekwisha.
What a shame, serikali ya ajabu sana hii.
Lakini Mwita nafanya anchoona kitasaidia vijana wengi,Mbona Rais wa Iran amerudi chuo kikuu kutoa Lecturenchi hii vituko haviishi CCM vituko CHADEMA vituko sasa ngoja tushangilie hivi vituko, uzuri wake namba tunasoma kwa pamoja
Kwi! Kwi! Kwi!Daudi Bashite kesho atakuwa Azania sec kufundisha Physics form four
Mkuu usimfanyie hivyo...Daudi Bashite kesho atakuwa Azania sec kufundisha Physics form four
Magufuli nae akafundishe Chemistry Siasa iwe Part time,simply because he can not deliverLakini Mwita nafanya anchoona kitasaidia vijana wengi,Mbona Rais wa Iran amerudi chuo kikuu kutoa Lecture
Mbona Magufuli aligonga mpaka kengele kule chato akapigwa picha hadi video?Kumbe wanaruhusu kupiga picha darasani ukiwa unafundisha na kuisambaza kwenye mitandao eeeh!!!