Tena nasikia kuwa huo mgahawa hapo juu utakuwa unazunguka.Walisema hapo juu kabisa kutakua na mgahawa" sijui utakua tayari tukasafishe macho
Maana ukiwa hapo juu unaona mpaka China
i dont know what i mean we elewa tu hivyo hivyo akili yako itakavyokuongoza

Walisema hapo juu kabisa kutakua na mgahawa" sijui utakua tayari tukasafishe macho
Maana ukiwa hapo juu unaona mpaka China

Mie naishi Iringa siko Dar .... picha ya hilo jengo ilirushwa ktk post flani humu humu Jf nikai-save .... bahati mbaya sikuwa na muda wa kutosha kuuliza kwa wakati huo .... but when I got the time I didn't remember the forum.Swali umeuliza kwa lengo gani
kujua
au kupambia