Wazabanga kuku
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 264
- 378
Hivi naomba kuuliza mpaka sasa serikali kupitia TAMISEMI na utumishi wametoa kauli gani juu ya mustakabali wa ajira za walimu wa sanaa, manake naona wanataja taja tu walimu wa sayansi sasa hili kundi kubwa la walimu wa arts linapelekwa wapi?