Mdakuzi mkuu
JF-Expert Member
- Dec 27, 2016
- 212
- 719
Salam enyi ndugu.
Leo nimekamatika jamani.Badala ya kutuma mpesa kiasi cha TZS 500,000 (laki tano), nikajikuta nimetuma muda wa maongezi wa hicho kiasi. Mbaya zaidi ni portion ya ada ya shule kwa ajili ya mtoto wangu.
Nawezaje kuirudisha kutoka muda wa maongezi kuja kwenye muamala wa mpesa?Naombeni msaada ndugu zangu.
Asanteni