Recent content by zukuboy

  1. zukuboy

    Kamanda Mambosasa: Aliyemjeruhi Meja Jenerali mstaafu, Vicent Kariongo kwa risasi auawa

    Kwanza napenda kulipongeza jeshi la polisi kwa kazi nzuri ya kulinda jamii na mali na kuhakikisha usalama upo Hongera kwako I.G.P Sirro. Ila huwa najiuliza kwa uelewa wangu mdogo kwanini hawa majambazi ambao wanathibitishwa kuwa ni wahusika wa tukio fulani huwa wanauawa badala ya kutafuta mbinu...
  2. zukuboy

    Kamanda Mambosasa: Aliyemjeruhi Meja Jenerali mstaafu, Vicent Kariongo kwa risasi auawa

    Fact..! Itakuwa ramli..! Sent from my SM-A510F using JamiiForums mobile app
  3. zukuboy

    GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    hakuna jambo baya kama kumuombea binadamu mwenzako mabaya, naona watu wanasahau kuwa wote njia yetu moja na Tanzania itabaki palepale
  4. zukuboy

    Vibao vya kubadilishia wachezaji ( Digital Substitution Board)

    ulifananisha mdau bongo hakuna hivyo vibao, Azam itakuwa wamemzuia asinunue kwanza mbaka TFF inunue ifikapo mwaka 2030
  5. zukuboy

    Vibao vya kubadilishia wachezaji ( Digital Substitution Board)

    haujaeleweka unaposema ni vizuri kuwa navyo na polepole tutafika, kikubwa ni kufunguka na kununua na vionekane uwanjani nadhani hilo ndio suluhisho, ni aibu kwa Taifa uwanja mzuri Vibao vya miaka ya 40 iliyopita
  6. zukuboy

    Vibao vya kubadilishia wachezaji ( Digital Substitution Board)

    Wadau naomba niulize, Kwanini Tanzania hatuna digital substitution board kwenye viwanja vyetu vya mpira tatizo ni bei au? Matokeo yake tunatumia vibao vilivyopitwa na wakati wakati mwingine hadi kuchora kwa peni kwenye karatasi, Uukijaribu kuchunguza bei zake sio kubwa na mapato ya viingilio...
  7. zukuboy

    Ali Kiba - Mwana Dar es Salaam (video)

    Mimi naamini Director na Team nzima ya Production waliipitia vizuri sana video hii kabla hawajai Launch, So ni Brilliant idea from AliK..tatizo wabongo tumekremisha Maigizo kama ya Ndomo...Video nzuri sana
  8. zukuboy

    Root Huawei Y-300

    Ku-root ni kubadilisha mifumo mizima ya Simu hasa za Android kama imefungiwa na Mtandao husika, Kwa huawei mbaka uwe na infinity box, Google utaiona hiyo box au nenda kkoo inagarimu 15000
  9. zukuboy

    Toba! Eti wamefukuzwa kazi, Huu ndio uonevu na ubabaishaji wa viongozi wetu.

    Nadhani ujumbe umefika kwa wahusika, Kwamba Mkubwa hakosei
  10. zukuboy

    Msaada: Gari la Mwanza

    SuperSami 45,000
  11. zukuboy

    JamiiForums' FREE iPad & iPhone/iPod Touch app is now released

    Wht about blackberry os7? Msitusahau
  12. zukuboy

    Waziri Mkuu awaamuru Madaktari kuripoti kazini Kesho!

    hapo kweli njia panda
  13. zukuboy

    Sitaki urais, ni mzigo - Pinda

    hayo ndio maneno yao siku zote tumeshawazoea?hawana jipya..ikifika siku utasikia anapigiwa simu ya maoni
  14. zukuboy

    Ikulu kwa rais

    hivi inakuwaje siku umelala nyumbani kwako alafu asubuhi unaamka unajikuta upo kitandani kwa mhe.Rais alafu yeye anaoga bafuni wakati huo first lady bado hajaamka anamalizia usingizi pembeni yako..je utafanyaje wananchi wakuelewe?
Back
Top Bottom